Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wakuu CHADEMA wamemjibu Makamu Mwenyekiti wa chama chao, Tundu Lissu ===== Hivi karibuni kumeibuka tena wimbi la hoja mbalimbali ambazo zilishawahi kuibuka siku za nyuma na ambazo...
6 Reactions
83 Replies
4K Views
Wanabariki utekaji. Wanabariki uuwaji. Wanabariki wizi wa kura. Wanabariki majina feki. Wanaiba hela za umma. Wanafitinisha jamii. Wanadhulumu maskini. Haya na mengine mengi wanasiasa hawataiona pepo.
9 Reactions
25 Replies
678 Views
Wakuu, Baada ya tukio la jaribio la kumteka mfanyabiashara Deogratius Tarimo, maarufu kama Deo Bonge, lililotokea eneo la Kiluvya hivi karibuni, picha za watuhumiwa zilisambaa na kuibua mjadala...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
Wagombe wa Chadema katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Wilaya ya Ubungo wametia kambi katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo mpaka jioni hii. Hawatatoka hapo mpaka wamejua hatma ya rufaa...
0 Reactions
4 Replies
324 Views
Habarini wanajukwaa, Siku ya jana, Sativa alikaa kwenye mahojiano na kituo cha habari cha Mwanzo TV Plus. Katika mahojiano hayo Sativa aliendelea kusisitiza kuwa Faustine Mafwele pamoja na...
17 Reactions
136 Replies
9K Views
Madai ya rushwa na matumizi mabaya ya fedha yamekuwa yakitajwa, huku wakosoaji wakimlaumu Mbowe na viongozi wa chama kwa kukosa uwazi na kushindwa kuleta mabadiliko ya kweli. Swali...
2 Reactions
8 Replies
452 Views
Wakuu, Naona hii kesi ya mfanyabiashara aliyekuwa almanusura atekwe na "watu wasiojulikana" (Deo Bonge) huko Kiluvya imeanza kuchukua sura mpya. Akiwa na vyombo vya habari hivi karibuni mmiliki...
24 Reactions
204 Replies
11K Views
Yaelekea kuna habari mpya hapa baada ya Aisha Machano,yule mdada ambaye ni too serious ,kwamba yupo mtu mwingine...
4 Reactions
84 Replies
4K Views
Viongozi mliopo humu, mjue na mtambue ambacho kinaendelea halmashauri ya wilaya ya Masasi. Wagombea wa upinzani wamekalishwa siku ya tatu mfululizo pasipo maelekezo ya aina yeyote. Hii inaonesha...
6 Reactions
14 Replies
735 Views
Siasa za chuki mbaya sana mwenye nyumba hataki kupangisha mwanachadema tena alipata kulipwa Kwa mwaka anaulizia vitambulisho vya vyama Nazi kwelikweli MTU anaacha kufanya Maendeleo anaweka siasa...
0 Reactions
10 Replies
306 Views
MBUNGE NDAISABA RUHORO AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI KATA YA MABAWE, NGARA MHE. NDAISABA GEORGE RUHORO Mbunge wa Jimbo la Ngara amehudhuria Mkutano wa hadhara Kata ya Mabawe ulioandaliwa na...
0 Reactions
0 Replies
151 Views
Mtu anayeamini kuwa CCM bado ni chama halisi anajidanganya. Kwa sasa, ni genge la watu wanaoendekeza udhalimu, kusifia na kutetea uovu. Chama kimeshikiliwa na watu wanaotenda uovu bila kujali...
2 Reactions
12 Replies
602 Views
Waziri Bashe amesema alikuwa akikutana mara kwa mara na Lawrence Mafuru iwe Ofisini au nyumbani kwake kwa lengo la Kupata maarifa mbalimbali ya kukuza Kilimo ikiwemo BBT na mikakati mingine Bashe...
1 Reactions
3 Replies
254 Views
Wakuu, Kumbe nchi ina uhaba wa sarafu za Shilingi na hatuambiwi? Siku ya Leo akiwa msibani kwa Lawrence Mafuru Rais Samia alikumbushia amekumbushia kipindi ambacho kulikuwa na uhaba wa Shilingi...
11 Reactions
62 Replies
4K Views
Wakuu, Kama mnavyokumbuka wakuu tukio la Deo Bonge lilitrend mtandaoni majuzi, huku tukio hilo likiwa limetoka Novemba 11, kama ambavyo taarifa ya polisi ilieleza. Ayo TV walikwenda chap kwa...
0 Reactions
4 Replies
529 Views
Kwenye msiba wa mafuru alisikika samia akimsifia mafuru alsaidia kupungua kwa uhaba wa dollar swali kivip kwa sababu anaye-control supply ya dollar ni u.s federal reserve sasa mafuru anahusikaje...
1 Reactions
6 Replies
446 Views
Hii ndio Taarifa mpya zinazozunguka kote mitandaoni, jioni ya leo kwa saa za Tanzania Unaambiwa Mauzo ya nguo hizo yamepanda ghafla hadi kuwatia hofu wauzaji wake, Si Magwanda wala Madela...
15 Reactions
67 Replies
2K Views
Suala la mikopo ya chap chap yenye riba kubwa maarufu 'kausha damu' limejitokeza katika mkutano wa hadhara wa Katibu wa NEC, Itikadi, Mafunzo na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Kigaila adai Magufuli amekuwa mwaka 2021 tukiwa na miaka 60 ya uhuru ameacha tunadaiwa deni la Taifa Triolioni 59, sawa na wastani kwa Mwaka Trilioni Moja moja. Samia yuko Madarakani mwaka wa...
38 Reactions
104 Replies
3K Views
Hawa wakaskazini wanaomshambulia Tundu Antipas Lisu wajiangalie wasije kusababisha Freeman Mbowe anaonekana ni Mkabila kama ilivyokuwa kwa Gachagua Mbowe kama alivyo Gachagua ni Mtu wa Mlima...
0 Reactions
8 Replies
252 Views
Back
Top Bottom