Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nauliza tu maana hata yule Queen tuliona Jeneza tu Bila kujua kilichomo na hata mazishi ilidaiwa ni Siri ya royal family Hapa nyumbani pia kuna Watu walidai Gavana mstaafu yuko US anadunda licha...
1 Reactions
1 Replies
184 Views
TAMISEMI kipindi kingine angalieni namna ya kuwasaidia kujaza form wapinzani. Ukiangalia tu elimu ya Mwenyekiti, uje kwa viongozi wa kanda unaweza pata picha mgombea wa kitongoji au mtaa
2 Reactions
15 Replies
484 Views
Ni Nchi ya ajabu kupata kuiona! Unakuta Askofu, Sheikh, Katekista, Maalim na hata manabii uchwara ni sehemu ya machawa makuu ya wafanya siasa. Hovyo!
4 Reactions
11 Replies
272 Views
Hatua ya Kihistoria kwa Tanzania. Rais Samia Suluhu Hassan anakwenda kuandika historia kwa kuwa Rais wa kwanza mwanamke kuhudhuria Mkutano wa Viongozi wa G20. Huu ni ushindi mkubwa unaoonesha...
2 Reactions
4 Replies
463 Views
The recent report regarding the incredible legal claim figures in the Oryx/Oilcom arbitration case has raised significant questions. According to an article in The Citizen, the final award issued...
1 Reactions
1 Replies
883 Views
Kesi anazosimamia Wakili Msomi Kibatala kwa asilimia 95 zinapata ushindi. Mara nyingi Wakili huyu anasimamia kesi za wapinzani lakini anapata ushindi. Kwa kuwa Tanzania tuko wamoja na nchi ni...
2 Reactions
6 Replies
373 Views
Wakuu, Nadhani wengi tumekutana na tulio lililotrend jana, video ya inayomuonesha 'Bonge' akipambana na watu waliokuja kumteka na kufanikiwa kuwazidi nguvu, wakimuachia zawadi ya pingu. Kama...
9 Reactions
35 Replies
2K Views
Uongozi wa chama hiki ambacho wengi wanadai wanakiamini kila mtu mbabe, hapo ndio watanzania wajue aina ya watu wanaotaka kupewa uongozi wa nchi, Tundu Lissu ni makamu wa mwenyekiti chadema...
2 Reactions
6 Replies
355 Views
Hapa wilayani Arumeru usiku wa kuamkia leo yalipita manyunyu kidogo sana ya mvua, ajabu umeme umekatika kuanzia usiku mpaka sahizi hautarudi. Huu mfumo wa umeme una nini. Je ingetokea dhoruba...
1 Reactions
1 Replies
167 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amewaonya Viongozi wazembe ndani ya Chama chake Lissu amewaomba Viongozi wa Chadema DSM suala la kuvumilia Viongozi wanaopewa rushwa na CCM Ili...
4 Reactions
15 Replies
949 Views
Tukio la kusikitisha sana limetokea Kiluvya Madukani -Dar ,katika Hotel ya Rovvenpec tar.11/Nov/2024. Ikionesha watu wakimteka Ndg. Deogratius Tarimo(Deo Bonge) na kumlazimisha kuingia kwenye...
42 Reactions
352 Replies
20K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ataongea na Waandishi wa Habari huko Singida, Mkutano uliopangwa kufanyika kwenye Ukumbi wa Kanisa Katoliki. Inatarajiwa Mtikisiko Mkubwa sana kutokea...
9 Reactions
78 Replies
3K Views
Tangia Mtela Mwampamba amalize degree yake ya kwanza pale chuo cha ualimu-DUCE na kupangiwa kituo cha kazi na serikali huko Mwanza hajawahi hata kuripoti kituoni hapo. Mtela Mwampamba aliukana...
16 Reactions
88 Replies
15K Views
Dkt Emanuel Nchimbi juzi kasema kuna vyama walishiriki kuvianzisha na vimekua kwa sasa vyama ambavyo wameanzisha na vimekua ni vifuatavyo. CHADEMA, ACT-WAZALENDO ni vyama ambavyo vyote...
0 Reactions
3 Replies
286 Views
Ndugu zangu Watanzania, Napenda niwaambieni ya kuwa Ikulu ni jumba moja kubwa sana lenye kila aina ya watu,idara na viongozi mbalimbali nyeti ambao wengine inawezekana kabisa hawajawahi kuonekana...
2 Reactions
0 Replies
122 Views
Dkt. Fredrick Shoo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), hivi leo amezungumza na waandishi wa habari kuhusiana na zoezi la Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa linaloendelea nchini. Dkt...
3 Reactions
19 Replies
822 Views
Tanzania is committed to achieving universal health coverage (UHC), which means that all Tanzanians have access to quality healthcare services without financial hardship. The government has made...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Salaam, Shalom!! Chama Cha DEMOKRASIA na Maendeleo CHADEMA, kilianzishwa May 1992 na Ndugu Mtei aliyewahi kuwa Governor wa Benki kuu ya Tanzania. 1. Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2000, CDM...
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Friends ladies and gentlemen... I can confirm to you without fear of contradictions, muungwana anaandaa madini na nondo za maana sana right now. Hakuna mkuu wa taasisi muerevu, anaweza kukaa...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Back
Top Bottom