Wakuu,
Nadhani niliweka uzi jana kama si juzi kuhusu kiupepo hiki cha wananchi kuhojiwa wakisifia OR TAMISEMI kusimamia vizuri mchakato wa wagombea kuchukua fomu na mpaka tamko la muda kuongezwa...
Wakuu,
Inaonekana kauli za Amos Makalla za hivi karibuni zimewakera sana viongozi wa CHADEMA ambao hivi karibuni wamejitokeza rasmi kumjibu.
Akiwa anazungumza kwenye mikutano tofauti tofauti...
Akizungumza hii leo na waandishi wa habari kuhusiana na zoezi la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa linaloendelea nchini, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya...
Wakuu,
Mambo yanazidi kuwa ya moto, kama ndani kwa moto, nje wataweza kweli kuzima moto? Watatoboa kweli November 27?
===
CHADEMA kimejitokeza hadharani kukanusha vikali tuhuma zinazohusishwa...
Na Irene Gowelle
Baku, Azerbaijan.
Ili kufikia malengo tarajiwa katika matumizi ya nishati safi ya kupikia, Makamu wa Rais, Mhe.Dkt Philip Mpango amesema ni muhimu uvumbuzi na ubunifu wa...
"Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi, awe Mwanachadema, awe MwanaCCM, awe hana Chama ana shida kati ya hizi mbili mosi; hakuwepo wakati wote wa zoezi hili hivyo hajui anachokizungumza au...
Tuyaenzi Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 1964 Milele na Milele. Zanzibar ndio alama yetu pekee tunayoitegemea hapa Visiwani. CCM oyee.
NB: Karibuni katika sherehe ya kusherehekea miaka 60 ya...
Padre Dkt. Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), ametoa kauli nzito akisema kuwa viongozi wa dini lazima waonyeshe wazi kwamba aliyehusika katika...
Ni wazi kuwa Chadema ilijaribu kucheza karata zake kisiasa kadri ilivyowezekana ili kujirudisha kwenye ramani ya siasa Tanzania.
Uchaguzi uliopita uliiacha chadema kwenye anguko kubwa yaani...
Very painful Karne ya ishirini na moja unaruhusu binadamu mwenziyo kuuawa na kuteswa kwa kisingizio Cha kutekeleza majukumu. Nani asiyejua Kuna bahati mbaya na ndiyo maana kwenye makosa ya mauaji...
Wakuu,
Baada ya video kutoka ndio tunajuzwa tukio lilitokea juzi! Bila video kuja kitaa wananchi tujakua lililotokea uchunguzi ungefanyika kweli au ndio lingeisha kimyakimya, pengine na kaka wa...
Mwinyi utendaji wake ni mzuri na hana makelele. Anafanya mambo yake kimya kimya na yanaonekana. Ndo nimeelewa kwa nini Magufuli alimtaka Ali Mwinyi.
Mwinyi anafaa kuwa Rais wa Tanzania Bara kwa...
Wakuu,
Hivi inakuwaje kila mara hawa viongozi wa serikali wakitaka kuchonga sanamu la baba wa taifa huwa wanakosea?
Kuna hili sanamu jipya la Mwalimu Nyerere huko nchini Cuba kiukweli...
Wakuu,
Hawa ndio wahuni waliotajwa kupachikwa CHADEMA kufanya hujuma Uchaguzi Serikali za Mitaa!
Kaka anapayuka kwelikweli kumbe sio siyo mgombea aloyekutana na kashkash za kukatwa majina🤣🤣😂😂...
Viongozi wengi wa vyama vya upinzani wameenguliwa Kwa kigezo hili
Ambapo kimsingi wenye kukidhi hili kigezo ni CCM wenye mabalozi kwenye vitongoji
Ila vyama vingine ni ngumu na haiwezekani Kwa...
Tumeteseka sana miaka mitano iliyopita mtaani kulikuwa kugumu sana kiasi ambacho pona pona yetu ikawa ni kusaka ajira ambazo zilikuwa hazipo both private and public sectors.
Watu kila siku...
Kuna baadhi ya maeneo wagombea wa CHADEMA wameenguliwa lakani wengine wanafurahia mchakato unavyoendeshwa hadi sasa.
=============
Mwenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya...
Mfanyabiashara Peter Zakaria (58), amerejesha mali zote alizonunua kutoka Chama Kikuu cha Ushirika Nyanza (NCU), akiamini kwa kufanya hivyo ataondoa ‘nuksi’ ya kuandamwa na Serikali. Tajiri huyo...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Iringa Imeanzisha Uchunguzi wa Madai ya Uwepo Baadhi ya Wagombea wa Serikali za Mitaa kujitoa Kugombea Baada ya kupewa Rushwa.
Mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.