Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Tangua ujio wa Chadema zaidi ya miaka thelathini iliyopita, ni haswa chini ya uongoze wa Mzee Mbowe kumekuepo na snitofahamu kati ya viongozi wanohoji na ambao ni wasomi dhidi ya viongozi ambao...
1 Reactions
28 Replies
483 Views
Wakuu, Lema ameyasema haya baada ya uchaguzi wa kiongozi wa chama mkoa wa Arusha, mnyukano wa CHADEMA jana unazidi kuweka fukuto. Mambo yanazidi kuwa moto. ==== Lema asema bora watu 10 wenye...
0 Reactions
7 Replies
561 Views
Mimi ni CCM lakini namkubali sana Tundu Antipas Lisu tangu akiwa mwanaharakati za Mazingira na baadaye Siasani. Ujumbe huu wa Rais Trump utamfaa sana Tundu Lisu katika nyakati Hizi Ngumu...
3 Reactions
4 Replies
352 Views
Akiwa Ikungi Singida Shujaa Magufuli Mwaka 2020 aliwaambia Wazee Kuwa alitamani kufanya KAZI na Tundu Antipas Lisu na alishamuandalia Cheo kizuri lakini Lisu alikataa na kusema atagombea uRais...
0 Reactions
3 Replies
272 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akihojiwa na Kituo cha NTV cha Kenya amesema “Upinzani unahitaji kuwa na Uongozi wenye maono makubwa na yasiyokuwa na mawenge tofauti na ilivyokuwa hapo...
9 Reactions
63 Replies
3K Views
Ikumbukwe kuwa ni takribani 20% ya wananchi ndio walisema wanapendelea mfumo wa vyama vingi uanzishwe nchini na 80% waliukataa kwa madai kuwa kwa wakati ule taifa halikuhitaji na wala halina...
8 Reactions
59 Replies
4K Views
Huwezi ukaudanganya umma siku zote. Kwa vyovyote vile ilijulikana kuwa Kutakuwa na Uchaguzi wa SM mwaka huu na mwezi huu. Lakini inashangaza kuona CDM wapo kwenye mchakato wa uchaguzi wa ndani wa...
0 Reactions
15 Replies
440 Views
CHADEMA haipo salama hata kidogo kutokana na kuwepo kwa matabaka ndani ya chama hicho yana wakatisha tamaa wanachama wa chini wenye mapenzi ya dhati na chama hicho. Ni ajabu sana kuona ndani ya...
3 Reactions
65 Replies
5K Views
Au tusubiri na press conference ya Mwenyekiti wa CHADEMA taifa ili kuthibitisha kwamba CHADEMA imegawanyika vipande au makundi matatu yanayojitegemea? Nakumbuka niliwahi kukomenti mahali kwenye...
6 Reactions
50 Replies
2K Views
Mimi sio mfuasi wala mwanachama wa CHADEMA, Ila kwenye Kushauri nitamshauri. Mkichukua ushauri wangu sawa, mkiukataa sawa pia. Mbowe amekua mwenyekiti kwa miaka zaidi ya 20. Kwa maana kabla...
3 Reactions
58 Replies
2K Views
Chadema imejengwa katika Misingi ya kibepari na Ubepari una kanuni zake Freeman Mbowe ataendelea Kuongoza Chadema Ili ifikie Malengo iliyojiwekea Atakapong'atuka basi Bilionea Sugu Moto Chini...
3 Reactions
13 Replies
353 Views
Ni hilo tu Mbowe ulishatangaza 2023 unastaafu na Mungu wa mbinguni alisikia pia Dunia ilisikika. Mungu anasema Ukiahidi Timiza. Mungu wa mbinguni mfanyie Wepesi Freeman Mbowe wa Chadema 😀 Pia...
1 Reactions
42 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu sana, CHADEMA wamekuwa wakilaumu kukwama kwa maridhiano kwa sababu ya CCM kutokukubaliana na madai yao mengi. Jambo hili liliwashangaza Watanzania wengi wanaofuatilia siasa, kwani...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
Kipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k. Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye...
32 Reactions
151 Replies
3K Views
https://m.youtube.com/watch?v=n0BhBYsZeyw Dkt. Grace Magembe naibu katibu mkuu OR TAMISEMI awapa ukweli waandishi wa habari na serikali kwenda kijiditali katika kuelimisha umma wakati wa semina...
3 Reactions
10 Replies
380 Views
Akizungumza kwa niaba ya Baraza la Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Fredrick Shoo, ametoa wito kwa...
0 Reactions
2 Replies
255 Views
Tanzania ni nchi iliyojaliwa utajiri mkubwa lakini ikaishia kuwa maskini tokana na kuwa na watawala au maafisa mafisadi. Tokana na kifo cha hivi karibuni cha Lawrence Nyasebwa Mafuru, acha...
20 Reactions
33 Replies
2K Views
Utunzaji wa mazingira na kupambana na mabadiliko ya tabianchi ni masuala muhimu kwa maendeleo ya nchi yoyote, hasa zile zinazokabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa, kama ilivyo kwa...
1 Reactions
2 Replies
369 Views
Baraza la Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) limewataka wananchi kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27. Wito huo umetolewa na Askofu Mkuu wa...
0 Reactions
3 Replies
328 Views
Salamu zangu zikufikie Mh. Majaliwa, pole na kazi, ningependa kujua ni nini kimekusibu, kutoka mbele na kukemea suala la mauaji na utekaji ndani ya inchi yetu? Mbona mwanafunzi akipotea huwa...
5 Reactions
68 Replies
2K Views
Back
Top Bottom