Sheria, Kanuni na taratibu zimetungwa kwa ajili ya chaguzi za Serikali za Mitta. Iweje leo tunaziacha na kufuata uamuzi wa mtu binafsi. Kama mgombea kakosea sheria, kanuni na taratibu kwa nini...
Ni wiki sasa tangu nione kukatika kwa umeme maeneo mbali mbali hapa Dar.
Hivi navyoandika hapa mtaani nilipo umeme umekatika na jana pia ulikatika najiuliza je, kuna mgao?
Kama kuna mgao kwa...
Tukiangalia tulipojikwaa mwaka 2019 na 2020 ni hakika Bwana yule alivuruga kila kitu, haya mengine yote yaliyotokea baadaye na yanayoendelea kutokea ni matokeo tu uvurugaji wa 2019-2020...
Bwana Mushi;
1. Una elimu gani
2. Umri wako
3. Uzoefu wako kwenye biashara
4. Unafanya biashara Gani?
5. Utafanyaje ukichaguliwa, kutokuingiza siasa kwenye biashara?
6. Ni nini msimamo wako...
Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Mheshimiwa Mohammed Chande Othman, Jaji Mkuu Mstaafu wa...
Umefika muda wa Tundu Lissu kuanzisha chama chako maana inaonekana Chadema kuna viongozi wanaangalia maslahi yao bali siyo ya nchi.
Hawana tofauti na mafisadi wa CCM, naamini utaondoka na...
Ukiachilia mbali hekima na busara za kiuongozi na kimamlaka kumpitia mbali, saikolojia na uzalendo wake ni wa mashaka zaidi ukilinganisha na hao wengine japo nao familia ziko ughaibuni.
Hana...
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa aliyoisambaza kwa vyombo vya habari.
Makamu Mwenyekiti wa sasa wa Chadema ni Tundu Lissu, ambaye kama ataitaka tena nafasi hiyo basi atalazimika kupambana na Wenje...
Kwa kadri miaka ilivyozidi kusonga mbele, imani yangu kwa CHADEMA imeendelea kupungua. Nilivyokuwa nikikua kisiasa na kuchambua kwa undani zaidi kuhusu mfumo wa uongozi wa ulimwengu wa kisasa –...
People's power! Bila shaka Mh. Tundu Lissu ni mzima wa afya njema. Pole na kulipigania hili pendwa taifa hili. Mwanasiasa mwenye msimamo mikali zaidi Tanzania, mzalendo namba moja Tanzania...
Msaidizi wa MEMBE 'Allan' anachokizungumza baada ya KUREJESHWA na WATU wasiojulikana.
Akizungumza kwa namna alivyoachwa njia panda ya Segerea amesema “Nilishushwa sehemu ambayo niliona ni sehemu...
Hii naomba Serikali kupitia @wizara_elimutanzania , @owm_tz @ormipango_uwekezaji waone hili.
Nchini Tanzania sasa hivi kuna tatizo kubwa sana la upungufu wa Accomodation Hostels kwa Wanafunzi wa...
Wakuu,
Taarifa nilizozipata punde zinaonyesha ndugu Allan Kiluvya ametekwa jana usiku maeneo ya Mbezi.
Allan anadaiwa kuchukuliwa na watu takribani 7 waliokuwa na silaha.
Benard Membe ambaye...
Rais Wangu na Mwenyekiti wa chama changu kwanza Pole kwa kazi nzito unazofanya
Kuhusu mauaji wanaokupa Report wamekudanganya! Clip ya Slaa kuhusu Chadema kuteka katibu wake ni jambo la kisiasa na...
Ukweli usiofichika ni kwamba Tundu Lissu ameshakataliwa na mfumo wa serikali hata mfumo wa CHADEMA.
Tundu Lissu ni mtu ambaye muda na dakika yoyote anasubiri kutupwa nje ya CHADEMA kama alivyo...
Tundu Lissu amekuwa akihusishwa na matukio na matamshi ambayo yamezua mjadala ndani ya CHADEMA.
Miongoni mwao ni kauli yake kwamba tayari amekusanya fomu za urais kwa uchaguzi wa 2025, jambo...
Ukija kwa sasa nje ya Nyerere ambaye aliweza kukiri makosa yake kadhaa na kukosoa chama chake! Naona mwingine anayeweza kuthubutu ni Tundu A Lissu,
CHADEMA ni chama tegemeo la Ukombozi kwa...
Endapo Chadema itarudia Ujinga wa 2015 wa kubadili Gia angani kwa Tundu Lisu basi wajue sisi Watanzania wapenda Demokrasia hatutakubali
Kuna tetesi kwamba wale mawaziri wawili machachari...
Wanajukwaa hiki kijembe cha Kigaila moja kwa moja kinamlenga Msigwa, anasema kamwe usifikirie kwa kutumia tumbo, maana njaa ikishahamia kichwani ni shida.
Naona Lissu anawatukana viongozi wenzake kwa lugha za mafumbo. Kama anajiamini si awaseme hao anaodai wanapokea fedha? Kwanini aendeshe siasa za majungu?
Nashauri kamati kuu imuite ajieleze, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.