CCM yarejesha aliyoyafanya 2015 na 2020 kwenye u haguzi mkuu na serikali za mitaa.
Hakuna asiyejua kuwa chini ya uongozi wa Hayati JPM wapinzani walienguliwa almost everywhere mpaka wabunge wengi...
Wakuu,
Hivi karibuni mwanaharakati wa haki za binadamu na mwanamitandao maarufu nchini Tanzania Godlisten Malissa amefanya mahojiano na kituo cha Jambo na kugusia mambo mbalimbali yanayoendelea...
Wasimamizi wa vituo vya kujiandikisha wapiga kura wanalipwa 350000, kwa mmoja ,kituo kimoja wakiwa wanne ni zaidi ya 1.2m ,kwa nchi nzima ni mabilion ya pesa !! Kwanini mnathamini mchakato na sio...
Wakuu,
Wakati sarakasi za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa zikeindelea kushika kasi, CHADEMA nao wameendelea kukisuka chama chao.
Hivi Karibuni Omary Toto amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa...
Salaam Wakuu,
Kama Mnavyokumbuka, May 3, 2012, aliyekuwa Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete alimteua Mwenyekiti wa wa NCCR-Mageuzi, james mbatia kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Nimesoma kwamba katibu wa CCM wa wilaya ya Kilolo ameshambuliwa na kuuwawa kwa risasi na watu wasiojulikana. Hivi karibuni huko Songwe kulikuwa na tukio jingine la katibu wa CCM kuvamiwa wa watu...
Tundu Antipas Lisu anaposema Chadema imejaa Rushwa ni lazima aeleweke na Wazalendo wote
Rushwa ya kwanza ni Wabunge wa Viti Maalum
Wabunge hawa aka COVID-19 wamo Wenza wa viongozi wa juu
Pili...
Wakuu,
Baada ya kuangalia huku na huko nimegundua hii video ni kutoka Uchaguzi wa 2015, hizi ahadi ni kama zile za 'Ndio Mzee' kwenye wimbo wa Prof. Jay.😂😂
Kwa kiwango cha uchawa kilichoongezeka...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-
1. Amemteua Bw. Nehemia Kyando Mchechu, kuwa Msajili wa Hazina. Kabla ya uteuzi huo Bw. Mchechu...
Wakuu,
Kwani kampeni tayari zimeshaanza?
Hivi karibuni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), na Mbunge wa Isimani, William Lukuvi, ametangaza mpango wa kujenga mabwawa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ameibua wasiwasi juu ya uwezo wa vyombo vya usalama nchini kuchunguza kesi za mauaji na utekaji zinazoshika kasi hivi karibuni.
Lissu amesisitiza kuwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa amesema ya kuwa CHADEMA ina wanachama Laki 4 pekee nchi nzima.
Ambapo katika kuthibitisha madai hayo ameweka na ushahidi.hivyo...
Imeshangaza nilivosikia katibu wa CCM Nchimbi akisema Chama chenye wagombea wengi cha upinzani ni ACT kwamba kina wagombea Zaid ya 3000
Me nimetoka Ngara hadi Dar sijaona mtaa wala Kijiji chenye...
Kuna baadhi ya viongozi wana vyeo ila hawazijui katiba, sheria za nchi, kanuni, miongozo, na taratibu. Elimu iendelee kutolewa, na kila mwenye kujua jambo amfundishe mwenzake.
Tusome Katiba ya...
Aliyekuwa mpambe wa wa Rais Magufuli, Kanali Benard Paul Mlunga akimsikiliza Brigedia Jenerali Ibuge (hayupo pichani) ambaye ni Mkuu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa.
Kanali Mlunga alijipatia umaarufu...
Chama chetu kina utaratibu ambao unatutaka watu wote ndani ya chama kufuata na kutii ilani, katiba, kanuni, miongozo, na taratibu zetu zote. Chama kinakataza unafiki na fitna; kinataka ukweli. Kwa...
Baadhi ya Watia Nia Uenyekiti wa Mitaa na Vitongoji mliomwaga mihela ya rushwa mkapenya mmezienda kinyume taratibu za CCM na kuikiuka sheria iliyopelekwa bungeni na Rais na kupitishwa, mnatajikiwa...
Tumekuwa tukiruhusu baadhi ya wajanja, majangili, manyang'au, na matapeli walio na sura ya unyenyekevu wavae sare za chama, wagombee uongozi, huku tukipuuza malalamiko ya wanyonge. Tumeasi viapo...
Wakuu
Ipo siku sisi kama watanzania tutaruhusu nchi yetu iingie katika kipindi kigumu zaidi Cha kiutawala ambapo tutajikuta tumeruhusu kutawaliwa na mtu asie mtanzania halisi bila sisi kujijua...
Mwenyekiti Kanda ya Kaskazini na Mjumbe wa Kamati kuu - CHADEMA Godbless Lema amesema kama yeye angekuwa Rais wa Tanzania basi angeondoa hotel zote zilizojengwa porini.
Kama serikali ingefikiria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.