Wakuu kwema,
Watu wasiyojulikana siyo maneno mageni kwetu, na mambo haya yameanza kitambo kuanzia enzi za Kikwete na Ulimboka (kusoma tukio hilo zaidi hasa kwa Gen Z soma hapa - Kiongozi wa...
Hao mabwana wanazo mbinu nyingi za kulazimisha ushauri wao wa kizalendo utiliwe maanani.
Hiyo ya kupenyeza taarifa nyeti kwa vyombo vya habari, wanaharakati na wapinzani ni moja ya njia za awali...
Dar es Salaam
MWANDISHI wa Habari wa Gazeti la Tanzania Daima Andrew Chale ameanza kuishi maisha ya wasiwasi baada ya watu wasiojulikana kufanya jaribio la kumteka.
Chale alisema kwamba siku ya...
Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwa imeendelea kuwekeza kwenye...
Ofisi ya msajili wa Vyama vya Siasa nchini inadaiwa kuongeza gharama za usajili kwa asilimia 9,900, gazeti la JAMHURI limeelezwa.
Awali, gharama za usajili zilikuwa ni Sh 25,000 kwa usajili wa...
Moja ya kauli za Lisu kwenye press yake ya leo, amesema hivi: (sitanukuu neno kwa neno, nitanukuu muktadha tu)
"Hapa katikati tuliletewa lugha laini tukaingia kwenye maridhiano. Tukadanganywa...
Kwa muda mrefu Sasa, Chama cha Mapinduzi kimeongoza kwenye dira ya siasa kwa kuwa na Sera zinazo kubalika kwa wananchi na kwa ujumla kufanya vizuri katika kipindi ambacho wawakilishi wake wamekuwa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi, Masanja Musa Katambi akizunguza na Waandishi wa Habari, leo Novemba 12, 2024.
Amezungumzia Kata ya Itenka iliyopo Halmashauri ya Nsimbo Wilaya ya...
Elon Musk tajiri namba moja dunia hakuna alichokosa dunia hii lakini amempambania Trump kwa nguvu moja na Trump amemteua kwenye position fulani baada ya kushinda.
Sasa tajiri namba moja dunia...
Mnyonge mnyongeni lakini haki yke mpeni aisee Rais samia amefanya mengi sana kwa muda huu mfupi mpka watu wameshangaa kwa hayo mazuri aliyoyafanya japo aliikuta nchi katika hali ngumu lakini...
CHAMA CHA MAPINDUZI
TAARIFA KWA UMMA
Dodoma, Tanzania
Chama cha Mapinduzi, kimepokea kwa mstuko mkubwa taarifa za kifo cha Katibu wa CCM Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa, Bi Christina Kibiki...
Vijana wa kitanzania bila kinga ya system ni watu waoga sana
Nyerere aliwahi kusema“Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini , si vijana waoga ,akina ndiyo bwana mkubwa...
Wakuu
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Idrissa Kitwana Mustapha, amefanya ziara na kukagua maeneo mbalimbali ndani ya Mkoa wa Mjini kwa kutumia helikopta. Na si hivyo tu, akaenda mbali zaidi...
Tumepokea taarifa ya Waziri wa Nchi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kuongeza muda wa rufani za wagombea na kuelekeza wagombea wetu walioondolewa kwa sababu ya ngazi ya udhamini warejeshwe...
Kauli ya CDF, mkuu wa majeshi Gen Jacob John Mkunda, kwamba kuna wakimbizi wamepewa nafasi nyeti serikalini naona ni kauli dhaifu na inawachafua zaidi wao kama walinzi namba moja wa mipaka ya...
Nimemskiliza Mama Samia Suluhu Hassan akisema utekaji wa siku akiwa madarakani ni drama
Zipo Drama Kweli ndani ya matukio ya kutekwa Ila si kila tukio ni la kupuuza,
Tuna matukio mengi sana ya...
Kama kawaida si kila kitu lazima kiandikwe Ila kuna ya msingi ya kuandikwa ambayo yana toa ushauri na kuwezesha kurekebisha panapotakiwa kurekebishwa.
Wengi tuliamini na kuamini kwamba kuna...
Msikilizeni huyo shuhuda.
Anadai Mzee Ally Kibao aliumizwa vibaya kichwani, na alitobolewa macho.
"Nilikuwa na abira wangu sasa wakati napita nilikuta watu wengi sasa hapa ilibidi nipaki...
Mwenyekiti wa Kamati ya Rufani Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara Khalifan Matipula ametoa wito kwa wagombea ambao hawajawasilisha mapingamizi yao kuyawasilisha mapema...
Naandika kwa masikitiko makubwa sana kutoka moyoni mwangu,naamini baadhi ya Viongozi wa Chadema kwa makusudi wamekubali kutapeliwa na wametapelika dhidi ya matapeli wa CCM
Hii inadhihilisha ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.