Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa Frank George Mwakajoka, amesema wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wamekiuka kanuni za uchaguzi kwa kuwaondoa wagombea...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
Waziri wa TAMISEMI, Mohamedi Mchengerwa ametangaza kuongeza muda wa Kamati za rufani za Wilaya wa kupokea, kusikiliza na kutoa uamuzi wa rufaa iliyowasilishwa kwa muda wa siku mbili zaidi kutoka...
0 Reactions
3 Replies
687 Views
CCM imepagawa na uchaguzi mkuu mwakani.. Bado haijiamini licha ya kufanya maandalizi mengi ya mbinu chafu kushinda CCM na viongozi wake wote wanatambua hawapendwi kabisa Tanganyika na huko...
27 Reactions
57 Replies
3K Views
Wakuu, Wakati akijibu swali la mwandishi kwenye mkutano wake na waandishi Singida; (Uchaguzi umekwisha wanatakiwa wajipange upya, je, wanaimba mwimbo mmoja) Tundu Lissu amesema; ====== "Mimi...
8 Reactions
60 Replies
3K Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko Septemba 6, 2024 jijini Dodoma amekutana na kufanya mazungumzo na balozi mpya wa Uingereza nchini. Marianne Young. Lengo la mazungumzo...
1 Reactions
2 Replies
280 Views
Chief Kisendi Josephat Nkingwa ambaye ni Mwenyekiti wa Machifu wa Usukumani, ameyasema hayo wakati akiwa katika viunga vya Bunge ambapo aliambatana na Machifu wengine, pamoja na Mapadri kutembelea...
39 Reactions
101 Replies
5K Views
Hivi vikundi vilipigwa marufuku na serikali lakini CCM bado inavitumia, ukifuatilia kwa undani zaidi unaweza kuta ndivyo vinavyotumika kwenye matukio mengi ya utekaji na uhalifu nchini na kulindwa...
0 Reactions
13 Replies
583 Views
Hali ya raia kuzuia polisi kukamata watu nchini Tanzania ni jambo linaloweza kuashiria mabadiliko makubwa katika mfumo wa utawala na usalama wa raia. Katika kipindi cha hivi karibuni, kumekuwa na...
9 Reactions
37 Replies
2K Views
Wakuu, Ukisikia vituko majimboni ndio hivi :BearLaugh: :BearLaugh: , mwenyewe yuko proud hapo kwenye picha hana hata haya:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh: ==== Mbunge wa Kinondoni Mhe. Tarimba...
0 Reactions
2 Replies
327 Views
Wakuu ripoti ya Daudi Mwangosi RIP imeshatolewa na MCT... Fungua attachments hapo chini. ************** Ripoti ya kamati ya Nchimbi TAARIFA YA UCHUNGUZI WA KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI WA...
33 Reactions
284 Replies
39K Views
Aliandika Comrade #Ben_Rabiu_Wa_Saanane. Nilifunzwa kusema ukweli, nikafunzwa kutilia shaka kila kitu. Doubting Everything. Leo Rais Magufuli amemteua Mkurugenzi Mkuu Mpya wa Usalama wa...
48 Reactions
134 Replies
25K Views
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego amevitaka vyombo vya ulinzi mkoani humo kuwasaka wafuasi 13 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo Diwani wa Kata ya Ntuntu, Omary Nkonki...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nyuma ya keyboards tuna watanzania wengi sana ambao ni majasiri and welevu sana. Kuna watanzania wenye IQ kubwa sana na mawazo mazuri sana . Watanzania walioko huku wanauwezo wa kumkashifu au...
40 Reactions
149 Replies
3K Views
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, ametoa wito kwa viongozi na wanasiasa wa mkoa huo kufanya siasa za kistaarabu badala ya siasa za chuki na zinazogawa wananchi akisema hazitavumiliwa...
0 Reactions
1 Replies
246 Views
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Hai na Msimamizi wa Uchaguzi, Dionis Myinga amekanusha malalamiko yaliyotolewa na baadhi ya wanaotajwa kuwa wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti kwa baadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
226 Views
Wakuu, Hawa wanamvua nguo Nchimbi aliyesema demokrasia yetu bado changa na hivyo OR TAMISEMI ilegeze kamba kidogo! Watu maefurahia zoezi yeye anataka waonekane wanoko! ==== Baadhi ya viongozi...
0 Reactions
0 Replies
167 Views
Wakuu, Kama vile imekuwa mashindano kuangalia wapi wataengua waombea wengi kuliko wenzao! ===== Jumla ya wagombea 350 wa nafasi mbali mbali za uogozi wa Serikali za Vijiji na Vitongoji...
0 Reactions
0 Replies
204 Views
Wazanzibari wakati fulani wakisema kuwa Tanganyika imevaa koti la Muungano huwa nawaelewa. Hivi Waziri Mkuu huwa anafanya kazi za Tanzania ama huwa anafanya kazi za Tanganyika ndani ya Tanzania...
0 Reactions
21 Replies
687 Views
Wakuu, Mambo yanazidi kuiva.. ==== Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) katika kuhakikisha inatoa Elimu ya Mpiga Kura kwa makundi mbalimbali katika jamii, Novemba, 2024 imetoa elimu hiyo kwa...
0 Reactions
2 Replies
238 Views
Wakuu, Kwahiyo lile gari alilotoa Rais Samia kupitia Makonda kwa yule shehe Arusha, TAKUKURU.... au basi! ==== Kuelekea katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 Mwaka...
0 Reactions
0 Replies
255 Views
Back
Top Bottom