Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
1. Nani mmiliki halali wa gesi ile ya Mtwara? 2. Serikali inalipwa in terms of kodi au ilishalipwa kwa mauziano ya moja kwa moja, au mwekezaji kawa mmiliki mpangaji kwamba serikali itakabidhiwa...
13 Reactions
46 Replies
2K Views
Wakuu, Wakienda kukata rufaa wanakuta ofisi zimefungwa! Imekuwa kama mchezo wa paka na panya! ==== Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI), Mohamed...
0 Reactions
6 Replies
394 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mohamed Mchengerwa, (TAMISEMI), amesema kinachofanyika kuhusu ofisi za watendaji kudaiwa zimefungwa ni propaganda kwa kuwa...
0 Reactions
13 Replies
580 Views
Upinzani ni lazima waelewe huwezi kuwa na serikali ya kitaifa bila katiba kufanyiwa mabadiliko na hawa CCM hawatafanya mabadiliko. Yaani chama ambacho kinaengua wanakijiji mnafikiri watawapa kazi...
0 Reactions
2 Replies
186 Views
Ni aibu hii sio nchi aliyoiacha Mwalimu Nyerere ambayo ilikuwa ni mwenyeji wa vikundi vingi vya wapigania uhuru na kutoa hifadhi ikiwepo Makao Makuu ya Kamati ya Ukombozi ya Bara la Afrika...
17 Reactions
84 Replies
2K Views
Serikali ya Samia inakabiliwa na hali ya kushangaza, ambapo magari madogo ya watu binafsi yamechukuliwa kufanya kazi za Tanesco katika kila wilaya na kila mkoa wa Tanzania bara. Hali hii inatia...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Siku Rais Samia alipomteua Mchengerwa kuwa Waziri wa TAMISEMI, alimsifia kuwa Mchengerwa ana kifua kipana!! Kila mmoja alitoka na tafsiri yake juu ya kauli hiyo ya Rais Samia. Lakini wengi...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu sasa hii nchi yetu pendwa Tanzania imekuwa imesimamisha kimaendeleo na upotofu wa chama tawala cha CCM Upotofu ni kwa wana CCM kujilinganisha na chama tawala cha kidikteta cha...
3 Reactions
3 Replies
325 Views
Wanabodi, Niko hapa jijini Washington DC, mji mkuu wa Marekani, pamoja na mambo mengine, nimepata fursa ya kuushuhudia uchaguzi wa Marekani, ambapo nchi ya Marekani inaitwa The Biggest Democracy...
10 Reactions
86 Replies
2K Views
TAARIFA KWA UMMA TUNAITAKA SERIKALI KULIFANYIA MABADILIKO MAKUBWA JESHI LA POLISI, KIMUUNDO NA KIUTENDAJI ACT Wazalendo tumepokea kwa huzuni na masikitiko makubwa taarifa za kuuliwa kikatili kwa...
2 Reactions
7 Replies
902 Views
Moja ya mambo yanayovuruga sana wanadamu ni mambo ya imani ambayo msingi wake ni kuamini bila kuhoji na kuhoji ni sawa na kukufuru(unamezeshwa). Maajabu zaidi ni kuwa tuna vitabu viwili ambavyo...
23 Reactions
116 Replies
2K Views
Kufa unatembea ni kubaya Sana Bora kufa na kuzikwa Watawala wa sasa wanatembea wakati wamekufa kiroho CCM inatwala wakati imekufa kiroho Serikali ya awamu ya 6 imekufa kiroho Ila kimwili...
1 Reactions
1 Replies
228 Views
Wakuu, Kumekucha...kumekucha huko, mpaka tumalize uchaguzi huu tutaona mengi. ===== "Magufuli aliruhusu mambo yanayotokea 2019 na 2020, tulinyamaza watu (wengine) wakashangilia, Mungu...
6 Reactions
37 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Singida Mjini, Shahibu Mohamed amesema wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi Singida Mjini ndio waliowawekea mapingamizi wagombea wa Chadema na si wagombea wa CCM Kuna mgombea wa...
0 Reactions
2 Replies
268 Views
Nauliza tu maana nchi yetu haina Dini na vyama vya siasa havinaga Dini Lakini vinapenda kufanya Mikutano ya Waandishi wa Habari kwenye kumbi za Makanisa Hivi ni kwanini hasa maana mifano ni...
3 Reactions
20 Replies
366 Views
Wakuu, Tunakuza chawa kuanzia vyuoni, namna hii wazee wataendelea kutuburuza kama wachache wenye akili wataendelea kulalamika badala badala ya kuchukua hatua na kubadilisha haya. ===== Kwa...
8 Reactions
81 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko muhimu katika uongozi wa taasisi mbili nchini kwa kuteua viongozi wapya. Taarifa kutoka Ikulu iliyotolewa tarehe...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Watu wanaopambana wakiwa ndani ya mfumo ni 1. mpina ndani ya ccm 2. Lisu ndani ya chedema. Watu wanaopbana nje ya mfumo ni 1. Petter msigwa yupo ndani ya ccm lakini anapambana na...
1 Reactions
22 Replies
447 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Tundu Lissu amesema katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu 2024 umekishwa kikubwaa watapigania wagombea waliobaki tu lakini huu kifupi umekwisha...
1 Reactions
6 Replies
794 Views
Huyu aliyeshitakiwa hapa alikuwa Mkurugenzi wa Halmashauri (DED), Kama Kawaida huyu naye alisaidia wizi wa kura kwenye eneo lake, Lakini leo yamemfika na hakuna wa kumtetea.
5 Reactions
10 Replies
985 Views
Back
Top Bottom