Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Leo nimeunganisha matukio ya vyama vikongwe vya siasa Afrika ambavyo vimeonesha weledi wake na kufanya nchi zao ziwe za kupigiwa mfano Afrika. Chama cha kwanza ni chama cha United National...
23 Reactions
90 Replies
2K Views
Mnada wa kwanza wa korosho uliofanyika 11/10/2024 ulifunguliwa kwa bei ya TSh 4150/= kwa kilo moja ya korosho. Kwenye mnada huu kulikuwa na tani chache sana za korosho. Ukafuata mnada wa pili...
14 Reactions
71 Replies
3K Views
Kwa namna hiyo CCM lazima ipate ushindi wa 98.5% ACT Wazalendo ni Chama tawala pamoja na CCM Vyama vingine vyote ni Vyama Rafiki wa CCM Chadema Maridhiano ni Chama Shirika na CCM Chadema...
0 Reactions
0 Replies
175 Views
Zama mpya na mambo mapya. Samia Suluhu Hassan ndio Rais mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kula kiapo leo, akichukua nafasi ya Hayati John Pombe Magufuli. Baada ya kula kiapo...
63 Reactions
201 Replies
60K Views
Japo alijenga vitu, Hayati John Pombe Magufuli alibomoa. Japo tunaweza kumlaumu Rais Samia kwa uchawa, kimsingi aliyeuumba ni Magufuli. Ukiachia mbali kutupiga changa la mato kwa kudai alikuwa...
0 Reactions
0 Replies
132 Views
Utangulizi Mheshimiwa Dkt. Rehema Nchimbi, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma; Waheshimiwa Mawaziri; Waheshimiwa Wakuu wa Wilaya, Wabunge, Wenyeviti na Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya na Miji...
3 Reactions
27 Replies
5K Views
https://www.youtube.com/live/2CiAzcAM92M?si=ipoSlBpKzwhZhvkQ Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anatarajiwa kuongea na waandishi wa habari muda wote kuanzia sasa. Fuatilia updates kadiri...
7 Reactions
50 Replies
2K Views
Mkuu wa Wilaya ya Babati, Mhe. Emmanuella Kaganda ameeleza kwamba ujenzi na matengenezo ya barabara na madaraja unaofanywa na Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) wilayani Babati...
1 Reactions
9 Replies
388 Views
Wakuu, Kazi kweliweli, huku Nchimbi anawaambia TAMISEMI walegeze kamba Demokrasia yetu bado changa, huku wanasema kila kitu kipo byeeee! Tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini :BearLaugh...
1 Reactions
7 Replies
451 Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake wamekuwa na utaratibu wa kutengeneza tatizo na kulitatua wao wenyewe ili waonekane wema kwa Wananchi na tasisi za ndani na nje ya nchi Pia soma CCM...
0 Reactions
3 Replies
399 Views
Wataalam wa siasa naomba mnifafanulie kama Hisani ni Demokrasia au Udikteta Mfano: Kwa Hisani ya CCM Mlale Unono 😀😀
1 Reactions
2 Replies
172 Views
Mh. Freeman Mbowe na John nyika wanasalimia kwa jina la jamuhuri wa Muungano wa Tanzania! Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Poleni na changamoto za kisiasa mnazokumbana nazo, kwa ajili ya...
1 Reactions
62 Replies
1K Views
Amos Makalla, ametoa msisitizo kwa TAMISEMI kutenda haki kwa vyama vyote vilivyosimamisha wagombea katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji. Amesema katika uchaguzi huo...
4 Reactions
45 Replies
2K Views
Hivi ni kweli Sifa kuu ya kachaguliwa kuwa Kiongozi wa Kitongoji, Kijiji na Serikali ya Mtaa ni Kujua Kusoma na Kuandika Kiswahili au English? Nauliza tena ni kweli au Lisu amechapia tu Nimekaa...
0 Reactions
8 Replies
192 Views
1. Kumuengua mgombea kisa Hana shughuli ya kiuchumi ni upumbavu wa hali ya juu Kuna wazee walio na umri wa miaka 60 na kuendelea ambao wengi wao hawana majukumu ya kiuchumi ya kuzalisha mali je...
7 Reactions
9 Replies
414 Views
Friends and Our Enemies, Katika mkutano wake na vyombo vya habari leo hii,Makamu Mwenyekiti wa Chadema anasema kwamba mabillion ya mapesa yanahongwa kwa makanisa na maaskofu ili kuzibwa midomo...
3 Reactions
95 Replies
3K Views
Wazo la Lord Mayor DSM wa zamani Hayati Kitwana Kondo ilikuwa DSM kuwe na Usafiri wa Treni za kisasa Chini ya Shirika la Usafiri DSM ( UDA) Wakati ule tukiongea na KK alisema tutaleta Treni za...
4 Reactions
7 Replies
492 Views
Wakuu, Baada ya kuwepo kwa sintofahamu ya kuenguliwa kwa wagombea wa upinzani, Amos Makalla amejitokeza hivi karibuni na kusema kuwa vyama vya upinzani vinafanya upotoshaji Makalla amesema kuwa...
1 Reactions
9 Replies
381 Views
Back
Top Bottom