Wakuu nikiri Mimi ni muumini wa haki bila kujali chama chochote Cha kisiasa.
Maslahi ya taifa na nchi yetu ndo muhimu zaidi kuliko maslahi ya chama au maslahi ya Kiongozi yoyote kwenye nchi hii...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bi. Veronika Mueni Nduva, alipofika Ikulu...
Hakika uchaguzi za serekali za mitaa wengi tunafahamiana na nathubutu kusema chaguzi hizi ni "" tega nikutege, mwiba!""
Bwana mmoja katika mtaa wangu, ambaye tunafahamu kweli namaanisha in and...
Resilience
Reconciliation
Reform
Rebuild
Ingawa zimeletwa kwa kiingereza, mama alimaanisha kujenga serikali inayojali misingi ya 4Rs inayowakilisha Maridhiano, Uthabiti, Mageuzi na Ujenzi Upya...
Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X
"Kata ya Marangu Mashariki Kijiji cha Lyasongoro Msimamizi wa uchaguzi amewawekea wagombea wa Chama cha Demokrasia Maendeleo...
Salaam Wakuu,
Katika Uchaguzi wa 2020, rais Samia kipindi hicho akiwa Makamu wa rais, alisema hata ukipigia kura chama kingine, CCM itashinda.
Kwa kinachoendelea kwenye Uchaguzi wa Serikali za...
Wakuu,
Vitu vingine mpaka vinachekesha, ni zaidi ya vituko!:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:
=====
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 -...
Bila shaka ni wazima wa afya njema?!
Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania?
Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali...
Tundu Lissu akizungumza na waandishi wa Habari Mkoani Singida amesema wagombea wao wengi waliwekewa mapingamizi hata kabla ya majina yao kubandikwa
Singida tulisimamisha wagombea takriban 1225...
Ni mwendo wa kuwa chawa tu mpaka uhakikishe kambo yako imefungwa vizuri kwenye mtu uanze kula!
====
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: Special Thread: Orodha ya...
Inasikitisha sana kuona nchi inayofuata utawala wa kidemokrasia inakumbwa na mambo yasiyofuata sheria, taratibu, na kanuni kila inapofika wakati wa uchaguzi. Wagombea wengi kutoka vyama vya...
Wizara hizo yaani Wizara ya Fedha, Wizara ya Mambo ya Ndani, Wizara ya Ulinzi, Wizara ya Uchumi na Mipango, Wizara ya Mambo ya Nje na Wizara ya Uchukuzi ndizo mawaziri wake Wanahudumu Bara na...
CHADEMA hebu jitathminini. Kama mmeshindwa kulinda haki yenu, kaeni kimya, acha CCM wasonge mbele. Kila kona ni malalamiko ya kuenguliwa kwa Wagombea wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Unakuta...
Mwenyekiti mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Dodoma, Aisha Madoga, ameahidi kupambana kuhakikisha wagombea wa chama hicho walioenguliwa katika uchaguzi wa serikali za...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) katika wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga, hivi karibuni imeficchua kwamba baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa wanatoa rushwa kwa wagombea...
Ndugu watawala wa jamhuri ya muungano wa Tanzania bado muna muda wa kujirekebisha.
Msipuuzie kelele za umma mtakuja kulia kilio Cha kusaga meno
Walinda nchi uchoka kulinda tawala zisizoeleweka...
Mwenyekiti wa CCM, Jimbo la Nungwi, Ali Adibu Mbwana
Pia Polisi walisema gari lilikuwa halina Plate Number, mzigo huu hapa
Pia soma:
~ Zanzibar: Vijana wawili wauawa na wengine 2 kuumizwa...
If the theory hold kwamba next president atatokea Bara na atakuwa mkristo, na kama utabiri wa siasa za Tanzania utaendelea kuwa sahihi kama ilivyokuwa kawaida ya nchi yetu, kiongozi ambae...
Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania (CHADEMA), Freeman Mbowe amewataka watu chama hicho walinde kura na kuhakikisha hakuna kura inapotea wa inaibiwa katika uchaguzi ujao wa Serikali za...
Wakuu,
Ni mwendo wa maigizo tu mpaka kieleweke.
=====
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewaomba wanachama katika maeneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.