Wachambuzi wa Kisiasa ni lazima waelewe suala hili.
Tamisemi iko chini ya Ofisi ya Raisi.
Kwa msingi huo Raisi ndiye Waziri wa Tamisemi.
Waziri wa Nchi ofisi ya Raisi / Makamu wa Raisi / Waziri...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam Abas Mtemvu amewataka wanachama wa CCM wasioteuliwa katika kura za maoni kutulia na kuongeza nguvu kazi kwenye uchaguzi.
Mwenyekiti Mtemvu...
Mwanadishi wa Habari unakuwa chawa, wananchi wanatapa watahabarishwa na kupaziwa sauti inapohitajika?
====
Ikiwa zimesalia siku chache kufanyika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, hamasa kwa...
Chama cha ACT Wazalendo kinatoa Taarifa kwa Umma kuwa wagombea wake 51423 katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji wameenguliwa kwa sababu ya udhamini wa chama ngazi ya Kata...
Leo nilitaka kurudia kutazama tukio la jana la kilele cha Mbio za Mwenge na Kumbukumbu ya Miaka 25 ya kifo cha Hayati Mwalimu Nyerere, Oktoba 14 pale Mwanza, nimejiuliza maswali mengi kuhusu hili...
Kiukweli kila chama kipambane na Hali yake Kwa sababu hata hapa Jf tulimsihi sana Mwenyekiti Mbowe atujuze wanachojadili na CCM kule mafichoni lakini akakataa Kata Kata
Leo Maji Yako shingoni...
Chama cha upinzani Chadema kwa muda sasa wameshindwa kuunganisha nguvu ya umma dhidi ya serkali. Sasa ni serikali yenyewe imeleta kiwashio cha bomu. Chadema sasa inatakiwa ku detonate na nchi...
Usiporuhusu ushindani kwenye biashara yako huwezi kujua ubora wa bidhaa zako kwenye soko, vile vile usiporuhusu uchaguzi huru huwezi kujua kama wananchi bado wanakiunga mikono chama chako...
Mwaka 2014 na Mwaka 2015 Chama cha Mapinduzi (CCM) kilikuwa kimeingia rasmi kipindi cha kuanguka na kutoweka katika medani za siasa. Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kuandikisha idadi kubwa ya wananchi katika daftari la wapiga kura ikiwa ni maandalizi ya...
Wakuu
Kama ilivyo kawaida kipindi cha uchaguzi, zawadi za kimkakati ndizo hutawala kwa Wabunge kuelekea uchaguzi.
Leo, tarehe 11 Novemba 2024, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Kufuatia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika mnamo tarehe 27 Novemba, 2024 Mahakimu wote wa Mahakama mkoani Pwani wamepatiwa mafunzo ya namna bora ya kuendesha mashauri ya...
Wakuu inaonekana sekta ya bandari huko Zanzibar inazidi kukua na kuonesha ubora wake duniani
Na hii ni baada ya hivi karibuni Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi kwa kushirikiana na Shirika...
Wakuu,
Kumbe vijana Tanzania tumetoa tamko na hamsemi, mna siri nyinyi:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:
====
Vijana Wazalendo nchini wamesema watandelea kumlinda Rais Samia kwa wivu mkubwa...
Tunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, kumekuwa na ripoti za kuenguliwa kwa wagombea, hususan wa upinzani, na wanaotekeleza hayo ni ninyi watendaji wa mitaa. Naomba kuwaasa ndugu...
Kwamba nyumba yetu haina protocol maalum ya kufahamishana hali za kiafya za wanafamilia!
Mara ya mwisho wanafamilia kupata taarifa rasmi ni mwaka 2014 alipofanyiwa upasuaji JK. Tena mpaka vyombo...
Wakuu,
Tunaendelea katika episode nyingine ya Mama anaupiga mwingi na kunenepesha ng'ombe siku ya mnada!
=====
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini, Felician Mtahengerwa, ameendelea na ziara zake...
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na mambo ya nje hapo jana, kudai kuwa baadhi ya wagombea wa Chama hicho kwenye uchaguzi wa...
Wakuu,
Tambo zinazidi kurushwa, ni kweli watashinda, au mbeleko itasaidia washinde? Lucas Mwashambwa Tlaatlaah johnthebaptist
=====
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.