NATURAL GAS REFINERY NI NINI???
Ni kiwanda kinachochakata gesi asilia kupitia joto kubwa sana ili
kuitenga na maji, carbondioxide, hudrogen sulfide, mercury, na hydrocarbons ili upate gesi...
28 September 2024
https://m.youtube.com/watch?v=Q_op3a827-s
Rais Samia mgeni rasmi mkutano wa Jumuiya ya Kiislamu Shia TMSC. Hayo yamebainishwa na makamu mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislamu Shia...
Katika utafiti mdogo niliofanya baadhi ya kuzungumza na wananchi, wataalamu wa masuala ya kisiasa, kumebainika kwamba kuna upungufu mkubwa wa wananchi wanaofuatilia vikao vya Bunge la Jamhuri ya...
Kuna mambo siyo ya kuyaletea mzaha hata kidogo, Wengi yamewakuta na wengine wametwaliwa moja kwa moja kutokana na kile kinachoitwa ndoto anazooteshwa Godbless Lema iwe kwa kutamka hadharani au...
KADA Maarufu wa CCM na mfanyabiashara aliyeahidiwa Ubunge Jimbo la Morogoro Mjini na Shujaa Magufuli ndugu yetu Rostam Aziz amesema Uwekezaji umeendelea kuimarika kutoka Viwango vidogo hadi...
Yapo madai kwamba mikutano mwingine ya Chadema inaruhusiwa na Polisi lakini baadaye Polisi wanaizuia kutokana na shinikizo kutoka ndani ya Chadema.
Sasa tunakwenda kwenye huu Uchaguzi wa Serikali...
Wanabodi,
Hivi kweli kwenye nchi ambayo wanafunzi wanakaa chini na hawana hata vyoo huko mashuleni, mtu ambaye umeaminiwa na wananchi na wanawake wenzio kweli unaenda kugawa computers huko CCM...
Kwema wakuu!
Kila nikijitahidi kumtetea naona inakataa. Kila nikijaribu kuona Kama itawezekana naona haiwezekani.
Anaweza fanya mazuri kuliko waliopita lakini jicho langu kutoka nyota ya Tibeli...
Umezuka mchezo nchini wa watawala kutoheshimu haki za raia, kutoheshimu viapo vyao. Na hii yote ni kwa sababu ya Kibri cha madaraka. Kibri cha kujiona "wakubwa" na kwamba ni untouchable.
Kwa...
Vijana na wazee wa CCM hawana aibu, hawajawahi kuwa na aibu na hawatakuwa na aibu. Msipoangalia wagombea wa CHADEMA ambao hawajaenguliwa baadhi watauliwa na wengine kupewa ulemavu wa kudumu.
Hebu...
Hili la kudai kuwa Tanzania HAKUNA utawala wa sheria naona linazidi kusemwa kila siku. Sasa hebu tuweke hata kwa "hisia" Tu list ya matukio unaona yanathibitisha kukosekana kwa utawala wa sheria...
Mc Mashuhuri duniani GARA B ameonyesha nia ya kugombea jimbo la Segerea kwenye uchaguzi 2025. Kupitia Chama Cha Mapinduzi. Hakika Segerea mpya yaja. Wana Segerea kazi kwenu.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameshiriki Misa Takatifu katika Parokia ya Mtakatifu Paulo na kuongoza harambee ya kumalizia ujenzi wa jengo la ofisi za Jimbo Katoliki la Bunda ambapo jumla...
CHADEMA ndio chama pekee kinachotegemewa na Watanzania kama mbadala wa CCM, mateso ya Watanzania dhidi mtesi CCM yanatarajiwa kuondolewa na CHADEMA, Kama ilivyokuwa kwa ANC ya South Africa, CCM ni...
KWA HISANI YA MARTIN MARANJA MASESE (MMM)
UFAFANUZI WA (The Political Service Retirement Benefits Act [CAP. 225])
Wanufaika wa Sasa: -
. Mke wa Mwl, Julius K. Nyerere, Maria Nyerere.
• Wake wa...
Huyu mtu ametukosea sana, ambapo watanzania wenzake walipomwambia kwamba tunapotaka kwenda kwa huyu mama (Rais Samia), alikataa kabisa na kuwabishia kwa nguvu.
Tunaomba General Mabeyo aombe radhi...
Viongozi na wafuasi wa CHADEMA wamekuwa wahanga wakubwa sana kwa manyanyaso na kila aina ya dhuluma.
Mara tu wanapofanyiwa hayo wamekuwa wakijitokeza kwenye Vyombo vya habari na kulalamikia...
Raisi Samia amekuwa akiwatoa wasomi diplomasia ambao wanajua na kupendwa na kuweka machawa ambao hawasaidii nchi.
Mama Mulamula alitolewa baada ya kupata umashuhuri . Makamba baada ya woga wa...
Taarifa ni kwamba mikakati ya Ushindi imeanza kutekelezwa na CHAWA Wengi wamejikita nje ya mfumo kwa Sababu Kasungura ni Kadogo baada ya Wafadhili wa ndani kugutuka
Kuna chuki kubwa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.