Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwema Wakuu! Pattern za Kisiasa Mwaka huu kuelekea uchaguzi zimekaa kiajabu sana. Katika intelejensia patterns hizo zinaweza kuonyesha lengo au matokeo yanaweza kuwa kitu gàni. Kwa siasa za Miaka...
4 Reactions
32 Replies
1K Views
Wakuu nafikiri wote tumesikia kuwa wagombea kadhaa wameenguliwa kugombea nafasi mbali mbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kile kinachodaiwa kutokuwa na shughuli za kuwaingizia kipato...
4 Reactions
10 Replies
412 Views
Mkuu wa KKKT Askofu Dr Malasusa amesema Wachungaji hawanaga vyama vya siasa bali hutumikia Watu Wote Wenye vyama na wasio na vyama Askofu Dr Malasusa amewataka Wanasiasa kutowavutavuta kwenye...
2 Reactions
12 Replies
496 Views
Katika Halmashauri ya Jiji la Arusha, Mkoa wa Arusha, wagombea tisa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameondolewa kwenye mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Anonymous (bada)
Kuambiwa ukweli kunauma sana, lakini ndio dawa pekee inayofaa kutatua changamoto iliyopo katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kilimanjaro. Nakumbuka watu walifurahi hususani Wana CCM...
0 Reactions
0 Replies
123 Views
Wakuu, Inaonekana mambo yameendelea kuchemka huko CCM. Imefikia hatua hata viongozi wa CCM wameanza kukosoa jinsi mchakato wa Uchaguzi Wa Serikali unavyoenda. Soma pia: Luhaga Mpina kufungua...
11 Reactions
27 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mpaka sasa Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Rais Mstaafu wa awamu ya nne anashikilia rekodi ya kupata kura nyingi na kwa asilimia kubwa katika awamu yake ya kwanza...
4 Reactions
89 Replies
2K Views
TAARIFA KWA UMMA SMZ iweke hadharani gharama zote za matengenezo ya Viwanja vya Amani na Gombani ACT Wazalendo tumepokea kwa mshangao mkubwa taarifa ya Zanzibar Footbal Fideration (ZFF)...
1 Reactions
5 Replies
597 Views
Tulipokuwa TANU Youth League tulikuwa tunafundishwa thamani Binafsi ya kiongozi mmoja mmoja nadhani Freeman anakumbuka vizuri Sasa, thamani ya Meddy hapo Chadema bado ni Kubwa sana ikumbukwe pia...
2 Reactions
11 Replies
305 Views
Na; John Marwa Siku chache kabla ya siku ya uteuzi wa wagombea wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara wa chama kikuu cha upinzani nchini yaani Chama cha Demokrasia na...
1 Reactions
3 Replies
324 Views
Hoja yangu: Kama kweli CHINA pamoja na sheria zake ngumu za kupambana na rushwa na ufisadi wanaona PPP ndio njia sahihi ya wao kutekeleza baadhi ya miradi yao ya maendeleo sisi TANZANIA...
20 Reactions
118 Replies
2K Views
Wakili Madeleka popote ulipo, tunaomba uwasaidie Hawa wananchi wanaotapeliwa kwa kupitia jina la Ikulu. Nadhani wewe na Ex Mayor Bonny ndio mmebakia wenye uchungu na raia. Kuna mtu anatumia jina...
3 Reactions
50 Replies
1K Views
Kumekuwa na kelele za CHADEMA karibu Nchi nzima wakilalamika kwamba wameenguliwa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu 2024. Mimi naomba kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, kama ni...
3 Reactions
6 Replies
356 Views
Nakumbuka kabla hajateuliwa kuwa Balozi wa Malawi Komredi Polepole alisema hii ya Rais Samia bado ni ile ile awamu ya 5 na kwamba awamu ya 6 itaanza 2025 Chadema walimpinga sana Komredi Polepole...
1 Reactions
11 Replies
474 Views
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Kudai katiba mpya kwa CCM au wanasiasa ni sawa na kudai uhuru kutoka kwa "mkoloni" kwa sababu ya ubinafsi (egoism). Katiba ndio injini ya nchi yoyote ile...
4 Reactions
11 Replies
444 Views
Mbali na mishahara minono (paid in major strong currencies USD, GBP, CAD), 1. Kulipiwa nyumba, sehemu za hadhi ya juu 2. Ada za watoto kwenye shule za kimataifa 3. Tiketi za ndege daraja la...
3 Reactions
16 Replies
898 Views
Akiwa nchini Cuba Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza dhamira yake ya kuunganisha lugha ya Kiswahili na lugha ya Kihispaniola ambayo ni lugha ya pili kwa kuzungumzwa na watu wengi duniani baada ya...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
.nimepita mitaa mingi wananchi wanawaongelea na kuwajua wagombea wa CCM tu .mitaa mingi haina ofisi za vyama vya upinzani . CHADEMA tunafocus mambo hasi kama wizi ,wagombea kutokuwepo-wagombea...
0 Reactions
14 Replies
603 Views
Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi kituo cha Usa River, Demetrida Sweethbert Thadeo Mkazi wa Momela, wilayani Arumeru Mkoani Arusha, anahojiwa na polisi katika kituo hicho akituhumiwa kukodi...
39 Reactions
365 Replies
35K Views
Na Mwl Udadis, Tarime Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ameingia katika rekodi ya viongozi wachache Duniani kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa) na...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Back
Top Bottom