Nimeona kwenye vyombo vya habari na kwenye mitandao, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiwasema waislamu wanao mkosoa HMh Rais, kuwa kwa uislamu wao wasifanye hivyo.
Hapo naingia wasi wasi mkubwa...
Julius Kambarage Nyerere was a Tanzanian anti-colonial activist, politician, and political theorist. He governed Tanganyika as prime minister from 1961 to 1962 and then as president from 1963 to...
Viongozi wa upinzani mmepata sababu na ushahidi wa kutangaza kujitoa kwenye huu uchaguzi wa kihuni.
Kinachofanyika na serikali ya CCM ni kuona watu wote hawana akili kabisa ni mapunguani. Ni...
KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitatumia 4R za Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kufanya kampeni za kistaarabu...
Mahamud Zuberi ndiye anayeendesha kipindi ambapo ni kipindi mahsusi kwa wachezaji wa zamami kueleza historia yao mpira hadi wakaibuka kuwa maarufu. Hivyo, watazamaji tunakuwa na hamu ya kumsikia...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amesisitiza kuwa Wizara yake itaendeleza jitihada za kutafuta fursa za Lugha ya Kiswahili duniani kupitia...
Nimeshangazwa na hii style ya hiki chama
Wanahamasisha sana watu kupiga kura Hali inayowafanya tuwaone kuwa wanataka kushindanishwa kwenye sanduku la kura
Lakini ajabu ni kuwa wanawaengua...
Hii ilikuwa ni message kubwa sana, ila hadi leo imechukuliwa kirahisi. JPM aliielewa vizuri ndiyo maana akamwambie akachukue form ya ubunge, halafu akammwaga mazima, huku Ole Sendeka, Mrisho Gambo...
Viongozi wa upinzani mmepata sababu na ushahidi wa kutangaza kujitoa kwenye huu uchaguzi wa kihuni.
Kinachofanyika na serikali ya CCM ni kuona watu wote hawana akili kabisa ni mapunguani. Ni...
Siku ya jana Katika kipindi cha bunge jioni Mbunge Mkongwe na aliyewai kuwa Rc, na aliyekuwa mpambe au chawa wa Hayati Edoward Lowassa wakati wa siasa za urais mwaka 2010 Christophe Ole Sendeka...
Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob (Boni Yai) akizungumza na wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi wa chama hicho mkoa wa Dar es Salaam katika uchaguzi wa serikali za mitaa...
Kuelekea Uchaguzi mkuu wa Serekali za Mitaa ambao unatarajiwa kufanyika Tarehe 27 Novemba Mwaka huu. Baada ya tafakuri ya kina, Kuna swali moja kubwa nimejiuliza kuhusu CHADEMA(Chama cha...
BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MAMA SAMIA SULUHU HASSAN
YAH: CHANGAMOTO ZA UENDESHAJI WA ZOEZI LA UCHAGUZI NCHINI NA HASARA INAYOPATIKANA KWA TAIFA...
Miradi ya Gesi Asilia ya Kimiminika (LNG) duniani kote hutofautiana kwa gharama kutokana na sababu mbalimbali za kiufundi, kijiografia, na kiuchumi. Hapa kuna orodha ya miradi 20 ya LNG pamoja na...
Sio bahati mbaya rais Samia amekwenda Marekani wakati huu taifa hilo lenye nguvu zaidi duniani likiwa katikati ya mtanange mkali wa uchaguzi. Na mara hii ni kati ya mhafidhina Donald Trump na...
Novemba 8, 2024, madiwani 10 wa vyama vya upinzani wa Halmashauri ya Mtwara wamesusia kikao cha Baraza la Madiwani.
Hatua hiyo inatokana na kile wanachoeleza kuwa kutokubaliana na maamuzi ya...
https://m.youtube.com/watch?v=y9oF0mu09zQ
Mtakwimu mkuu wa serikali atetea takwimu zilizotolewa na TAMISEMI kuhusu waliojitokeza kujiandikisha katika daftari la mkaazi, lililo maalum kwa ajili ya...
Kuna ka mfanano kati ya Kamala Harris na Samia suluhu
1. Wote ni wanawake ambao wamekuwa Makamu wa Rais wa nchi zao kwa Mara ya kwanza
2. Wote wamerithi kugombea kiti cha Urais kutokana na wenza...
CHADEMA ni Kama Sikio la Kufa
Msemo maarufu wa wahenga usemao Mfamaji haachi kutapatapa, unaakisi hali halisi ya Chama Cha Maendeleo na Demokrasia kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.