Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Uongozi wa CCM Wilaya ya Dodoma Mjini chini ya Mwenyekiti Charles Mamba umeendelea na mikutano ya mfufulizo na mabalozi wote 2000 wa Jimbo la Dodoma Mjini katika kujiweka sawa kuelekea katika...
0 Reactions
1 Replies
198 Views
Wanabodi, Miongoni mwa sifa kuu za ziada na za pekee za rais wetu Mhe. Dr John Pombe Joseph Magufuli, ni sifa ya kuwa mkweli daima toka ndani ya nafsi yake. Linapokuja suala la kuusema ukweli...
16 Reactions
211 Replies
27K Views
Wakuu, Kumbe CCM wana tawi hadi huko Uchina? Leo nimeona tawi la UVCCM huko nchini China likimpongeza Rais Mwinyi kwa anayoyafanya huko Zanzibar katika utawala wake. Soma pia: Shamira...
0 Reactions
2 Replies
178 Views
Bado sijapata jina la shehe huyu, lakini hakika kasema bila woga kwa kunukuu maandiko tunayoyaamini kuwa ni matakatifu. Anayebisha anaye mpinga basi atuonyeshe naye kuwa shehe hapo kapotosha wala...
38 Reactions
344 Replies
8K Views
TAARIFA KWA UMMA Chama cha ACT Wazalendo kimeendelea kupokea taarifa zinazoonesha wagombea wetu mbalimbali Nchini hawajateuliwa kwa sababu zisizo na mashiko kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi...
2 Reactions
21 Replies
895 Views
Misuguano kidogo tu polisi washatoa barua. Hii nchi ina mfumo wa vyama vingi na ni kawaida kushindana kisiasa. Uchaguzi wa serikali za mitaa mnaandika barua za nini? Mimi sio mfuasi wa chama...
3 Reactions
17 Replies
548 Views
TAARIFA KWA UMMA Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa jana Novemba 08, 2024 akizungumza Waaandishi wa Habari jijini Dodoma alisema kuwa wagombea walioenguliwa wakate rufaa na kuwa...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Katibu Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Amos Makalla, amewashauri viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kumaliza migogoro iliyopo ndani ya chama chao. Amos Makalla...
0 Reactions
3 Replies
219 Views
Tangu mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, sijaona viongozi wa CHADEMA wakieleza mkakati wa kushiriki na kushinda uchaguzi huo. Badala yake, wamejikita kwenye malalamiko dhidi ya...
2 Reactions
7 Replies
255 Views
Kwa drama zinazoendelea kwenye mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa zinaonesha kwa jinsi gani tuna matatizo. Ka uchaguzi haka kadogo drama za kijinga zinainuka ambazo hazina maana...
1 Reactions
2 Replies
165 Views
Kwanza mtanisamehe sana kwa mwandiko mbaya na mpangilio mbovu wa aya yote hayo yanasababishwa na mimi kuishia elimu ya msingi.. Naandika thread hii nikiwa na machukungu sana na hali ya kisiasa ya...
3 Reactions
4 Replies
200 Views
Nakumbuka Rais mstaafu Mwinyi alisema kazi zilizowashinda wao Watatu ( Mwinyi, Mkapa na Kikwete) kwa miaka 30 mwendazake shujaa Magufuli alizifanya kwa miaka 3 Juzi Kati Katibu mkuu wa CCM Dr...
10 Reactions
49 Replies
928 Views
CCM hawana jambo dogo, nyinyi mnajitoa wao na vyama vingine wanashiriki uchafuzi huo. Kwa kuwa vyama vingine hivyo havina nguvu ya kupambana CCM vinajikuta vimesaidia ccm kuingia madarakani...
2 Reactions
5 Replies
253 Views
Tanzania tuna vyama vya siasa takribani 18 kama sijakosea. Vyama ambavyo vimekua vikilalamika tangu wakati wa uandikishaji wapiga kura nawaona CHADEMA, CUF NA ACT. Hii inadhihirisha kwamba wale...
1 Reactions
2 Replies
288 Views
CHADEMA tumejikaanga wenyewe wagombea wetu kuenguliwa katika Kinyang’anyilo cha serikali za Mitaa Na Amosi Kagilwa, Kanda ya Pwani. Vilio na kwiki vimetawala leo kila kona ya nchi kutoka kwa...
-3 Reactions
21 Replies
813 Views
Makaburi yamebomoka mizizi imekatika, Limebaki shina tu, Zile zama za zaman zimeisha, Kiburi na dharau zilikuponza, Ulipenda kutumia nguvu kuliko akili, Ulikataa maonyo ukakumbatia kiburi...
6 Reactions
22 Replies
843 Views
Mimi kama kijana mwenye ndoto zangu binafsi, mwenye maisha ya hali ya kawaida, mwenye mambo kibao ya msingi ambayo nahitaji kuya-achieve nilikaa chini na kufikiria ni mazingira gani natakiwa...
4 Reactions
10 Replies
381 Views
Bunge limeagiza Serikali kwenda haraka katika Jimbo la Kwela mkoani Rukwa kwa ajili ya kusaidia mgogoro kati ya wananchi na taasisi ya kidini ya Ephata Ministry ambao umesababisha watu kadhaa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), John Mrema amedai kuwa fomu za wagomea wao zimechezewa: "Kilosa kule mkoani Morogoro wagombea...
6 Reactions
45 Replies
3K Views
ASKOFU ATATIZWA SABABU ZA KUTEULIWA WAGOMBEA WA CCM NA KUENGULIWA KWA WAGOMBEA WA CHADEMA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA. Ndugu Watanzania! Tumeletewa malalamiko yafuatayo kuhusu uteuzi wa majina...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Back
Top Bottom