Kwa upendeleo unaona onekana Sasa kwa chama Cha CCM na ubaguzi dhidi ya vyama vya upinzani, hasa kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa nashauri ya kwamba ni muda Sasa watanzania waulizwe Kama...
Uwezekano wa kuving'oa vyama vya siasa kongwe barani afrika unaendelea vyema, ni zamu ya hapa kwetu, muhimu mtawala akubali kushindwa na akabidhi kwa amani madaraka.
Aliesoma ndio aliekusudiwa...
Jina la Jakaya Kikwete limeitwa mambo machache sana ninachokumbuka ni taasisi ya kibingwa ya moyo JAKAYA KIKWETE CARDIAC INSTITUTE.
Nyerere ndio anaongoza jina lake kuitwa maeneo mengi MAGUFULI...
Jana 17/9/2023 Rais Samia alivyofika Ruangwa baadhi ya wanawake walimpokea kwa kugaladala chini, wakisema hawakutegemea kama Rais Samia anaweza kufika Ruangwa na kwamba wanashukuru sana.
Chadema iingize wanachama wake ccm. Wanachama maarufu watangaze kuachana na chadema, kisha wapokelewe kwa shangwe na nderemo huko ccm. Wasiokuwa maarufu mamia kwa maelfu, wachukue kadi za ccm...
Waziri wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama akigalagala ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika jimbo...
Wasalaam.
Naliwashauri hapa hapa kabla hata zoezi la kuandikisha wapiga kura halijaanza. Niliwasihi chadema wasithubutu kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa na chaguzi nyingine mpaka...
Kulizungumzia Jeshi la Polisi Tanzania haimaanishi kutishia ama kuingilia usalama wa nchi.
Soma hii taarifa yao hapa chini
Pia soma: LGE2024 - Polisi: Kuna chama cha Siasa kinapanga kufanya...
Kwa mara nyingine tena napenda kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, punguzeni kulia lia, chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma.
Ebu jiulizeni, mmeanza kulia tangu lini?
Baada ya kulia mmepata...
Ndugu wa Tanzania lipo jambo mbele ya Taifa linakuja kama jambo la masihara. Ila Mungu huko Mbinguni moyo wake umekataa kwenda na kiongozi mkubwa ktk Taifa la Waungwana wana wa Mzee Nyerere na hii...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ametumia mtandao wa X kulalamika kuhusu vitendo vya ubakaji wa Demokrasia unaoendelea kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Mbowe ameandika;
"Taifa...
Kumekuwa na Sintofahamu kuhusu mchakato wa baadhi ya vyama vya siasa kupata wawakilishi kuelekea uchaguzi wa serekali kuu na uchaguzi wa mwakani.
Vyama vingi vya siasa vimekua vikilalamika...
Mwenyezi Mungu ametupa macho na ufahamu ili tusifanye makosa hayo tena. History inatuambia hakuna mahali popote mauwaji ya kisiasa yalileta amani au mataifa hayo kuwa nabutulivu.
Mauaji...
Ndugu zangu Watanzania,
Siku ya kesho Zaidi ya Nusu Billion ya watu Duniani Kwote wataelekeza macho na masikio yao Nchini Cuba .pale Ambapo kinara wa Dunia wa kupigania matumizi ya nishati safi...
Boniface Jacob amewaasa wanachama wa CHADEMA kutokuwa na sifa kama za nzi ambao hata wakiwa wengi mtu akipiga tu mkono wanapoteana bali wawe kama nyuki ambao hata wakiwa watatu panakuwa hapakaliki.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameongoza kikao cha Ujumbe wa Serikali ya Tanzania uliowasili Havana, Cuba kwa ajili ya maandalizi ya...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni ngumu sana kumtenganisha baba na mama. Like father like mother, sasa tunarudi misiri tulikotoka.
Wagombea wote wa chadema katika wilaya ya kilosa wamepigwa chini...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani Boniface Jacob amesema mkoa wa DSM una Mitaa 636 na Wagombea wa Chadema 571 wamekatwa na kubaki 45 tu
Watanzania Kwa Umoja wenu mnaombwa kuiombea Chadema...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kimewaalika waandishi wa habari katika makao makuu ya Mikocheni kutoa tamko kuhusu hali ya kisiasa inayoendelea hivi sasa nchini...
Kuwa na ajira au kazi ni kigezo cha kuwa kiongozi wa serikali za mtaa?
Pia soma
- LGE2024 - Askofu Mwamakula: Mtaa wa Stop Over mgombea wa CHADEMA ameenguliwa kwa kuandika ni mjasiriamali, huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.