Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewapongeza Mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali Duniani kwa kazi nzuri ya uwakilishi ambayo inaonekana kwa kuongezeka kwa masoko ya...
Wakuu,
Mambo ni motoo, safari hii hakuna kujiengua safi. Sasa na nyie CHADEMA mbadilike, watu wanatumia mbinu zilezile na mnadakwa vile vile, inabidi mnyumbulike na kuja na mbinu mpya za kujibu...
Sina mengi ya kuandika ushauri wangu vyama vya upinzani vinavyojielewa jiondoeni, hacheni kutoa kauli za safari hii hatukubari wakati mkitishwa tu na migambo mnakimbia ushauri wangu jiondoeni...
Jana jioni nilikaa eneo fulani nikiwa napambana na hamu ya kunywa bia (nimeacha ulevi ila day by day sio rahisi kusema kweli) nikasikia makelele Bar ya jirani. Ingawa sio mpenzi sana wa mpira...
"Mtia nia wa mtaa wa Mji Mpya uliyopo kata ya Kwembe Jimbo la Kibamba amekatwa kwa sababu tu aliandika kazi ni mjasiriamali, hivi kwani jamani ujasiriamali siyo kazi? Kwenye mtaa huu ameteuliwa...
MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amesimulia namna alivyookolewa na aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo katika sakata la makontena ya vifaa vya ofisi za...
Ni vilio kila kona kutokea Serengeti hadi Kilosa makamanda wanadai Majina yao yamekatwa kugombea Uongozi wa Serikali za mitaa
Kupata vimbwanga vingine wakati wa Uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa...
WAGOMBEA 30 wa nafasi Uenyekiti kupitia Chama cha Wananchi( CUF) katika Wilaya ya Kinondoni wameenguliwa kugombea nafasi hiyo kwa madai ya kushindwa kujaza anuani kwenye fomu za kugombea.
Nipashe...
Kutokana na sintofahamu zinazoendelea nchini za kibaguzi kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa, Nina ombi moja kwa Viongozi wa serikali na chama Cha CCM wafanye jambo moja ili tuondokane na hii...
Wakuu,
Vuguvugu la uchaguzi wa serikali za mitaa limeendelea kushika kasi.
Kupitia mtandao wa X, kada wa ACT Wazalendo amefichua kuwa baadhi ya wagombea wa ACT Wazalendo wameenguliwa kwa kile...
Wakuu,
Ameandika haya Mwanaisha Mndeme wa ACT Wazalendo kupitia ukurasa wake wa X;
"Wagombea wa ACT Wazalendo Kata ya Katoro Bukoba takribani 150 wameenguliwa kwa sababu ya udhamini wa chama cha...
Jeshi la Polisi wilayani Same, mkoani Kilimanjaro limezuia mkutano wa hadhara uliokuwa umepangwa kufanywa na Makamu Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA Bara, Tundu Lissu tarehe 6 Novemba 2024, na...
Wakuu
Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma na Naibu Waziri kivuli wa Fedha, Mipango na Hifadhi ya Jamii wa ACT Wazalendo kupitia ukurasa wake wa X ameanika taarifa hii kutoka huko...
Wakuu,
Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma na Naibu Waziri kivuli wa Fedha, Mipango na Hifadhi ya Jamii ACT Shangwe Ayo kupitia ukurasa wake wa X ameweka taarifa hii, inaonekana...
Yusuf Manji enzi za uhai wake
Mfanyabiashara maarufu na aliyekuwa mdhamini wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji amefariki dunia jana Jumamosi Juni 29, 2024 saa 6 usiku katika Jimbo la Florida nchini...
Nimemsikia Balile anasema waziri wa habari Jery Silaa ni mchungaji wao na wao vyombo vya habari ni kondoo wake waziri! Haya ni maajabu na hii ni kauli ya hovyo sana. Utaiwajibishaje serikali kwa...
Wakuu,
Moto unazidi kufuka.
====
"Kwa miaka mitatu, tangu Januari 2022, tumekuwa Mitaani na Vijijini kuimarisha chama chetu ACT Wazalendo.
"Tumehakikisha kuwa tumepata wanachama wengi wazuri...
Watu Wengi wanadhani ukishakuwa na KADI ya Chama Cha siasa basi tayari unatosha kuwa Mwenyekiti au Mjumbe wa Serikali ya Mtaa
Haiko hivyo ni lazima uwe na Sifa za Kiutumishi zinazokuwezesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.