Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wakuu, Naona tunarudi 2019 ki style, chupa imebadilishwa tu design lakini kamnyweso ni kalekale. ==== CHADEMA Wilaya ya Dodoma Mjini kimedai kubaini taarifa za wagombea wake kuenguliwa katika...
0 Reactions
3 Replies
400 Views
Dr. Ulimboka alikuwa anatetea haki ya huduma za Afya kwa wote lakini malipo yake alitekwa na kuumizwa sana. Toka tawala zilipofumbia macho kutekwa na kuteswa kwake ndipo wanasiasa wakaona njia...
0 Reactions
6 Replies
443 Views
Hili ni funzo kwa CCM kuwa pamoja na kuwarubuni wasanii wote kuwa machawa kipigo kipo pale pale! Mara festival ya mama, mara marathon ya mama, mara madaktari wa mama nk nk! Wananchi wamemchoka na...
24 Reactions
49 Replies
2K Views
Hili Taifa litaangamizwa na unafiki na uchawa.Samia anasifiwa kwa kupigania nishati safi na salama ya kupikia, ipi hio na wapi? Mbona kasi ya mikaa na kuni iko juu sana? Nani asie jua matumizi ya...
4 Reactions
8 Replies
359 Views
MBUNGE ABDULLAH MWINYI ATAKA MAZUNGUMZO YA MRADI WA LNG YAKAMILIKE HARAKA ILI MRADI UANZE KUNUFAISHA WATANZANIA Mbunge wa Jimbo la Muhonda, Mhe. Abdullah Ali Mwinyi Akichangia Bungeni Jijini...
0 Reactions
0 Replies
159 Views
https://www.youtube.com/watch?v=52E6JA0VI7c
0 Reactions
1 Replies
172 Views
Masuala yanayohusiana na utekaji nyara wa watu yanapovihusisha vyombo vya dola kama polisi, huibua wasiwasi mkubwa kuhusu haki za binadamu, utawala wa sheria, na uwajibikaji wa mamlaka. Katika...
1 Reactions
3 Replies
716 Views
ANGUKO LA CHADEMA Linapozidi Kuonekana – CCM yazidi Kuimarika kwa Wapiga Kura. Katika mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa, vitongoji, na vijiji, CHADEMA imeonyesha kushindwa kusimamisha...
3 Reactions
8 Replies
386 Views
Viongozi wawili wa Wizara ya Kilimo na Wizara ya Maji wamekutana leo tarehe 4 Septemba 2024 jijini Dodoma na kuahidi kushirikiana pamoja katika miradi ya maji na umwagiliaji ikiwa ni utekelezaji...
1 Reactions
2 Replies
236 Views
Tumsikilize Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam
1 Reactions
2 Replies
273 Views
Wanabodi Wakati naendelea ku recover shock ya Wamarekani kuamua kumchagua tena yule Trump, kuliko kuchagua Rais mwanamke, kitu ambacho ni ubaguzi wa wazi kwa jinsia ya kike, kitu ambacho ni...
13 Reactions
81 Replies
2K Views
Leo ndio siku ambayo Spika wa Bunge atafungua Bahasha yenye jina la Waziri Mkuu na kisha Bunge kuketi kama kikao kumpitisha ama kumkataa Waziri Mkuu Mteule. Tujiunge mahala hapa kwa ajili ya...
0 Reactions
764 Replies
107K Views
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Ndani ya CCM haitatokea Mwanasiasa kama kachelo marehemu Membe, aliweza kumpinga wazi wazi Raisi Magufuli juu ya demokrasia, ndani ya CCM. Aliweza...
6 Reactions
57 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amewataka wale waliokuwa wakipinga mkataba wa uwekezaji wa kampuni ya DP World katika Bandari ya Dar es Salaam kujitokeza...
8 Reactions
121 Replies
3K Views
Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara, amesema kuwa hatoweza kurejea Bungeni iwapo Serikali haitachukua hatua za kutatua changamoto za migogoro ya wakulima na wafugaji, miradi ya maji...
1 Reactions
11 Replies
819 Views
Heshima kwenu wakuu. Natanguliza conflict of interest. Mwaka 2025, endapo Kassim Majaliwa hatakuwa mgombea, basi Samia ajiandae kwa yaliyomkuta Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, ambaye...
14 Reactions
48 Replies
1K Views
MASACHE KASAKA: TUNATAKA TUONE MPANGO WA MAENDELEO YA TAIFA UNABORESHA MAISHA YA WATANZANIA "Mipango ya Serikali imekuwa ikipangwa kila mwaka, kuna ya miaka 25 na kuna ya miaka 5. Ni Mipango...
0 Reactions
0 Replies
158 Views
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) amemjibu Mbunge wa Kisesa Luhaga, Joelson Mpina kuhusu hoja ya DP World kukusanya kodi akieleza kuwa amelidanganya Bunge, jambo...
2 Reactions
5 Replies
746 Views
Ni swali ambalo nimejiuliza kwa muda kidogo. Tunapataje uwiano katikati ya mambo haya?! Bepari atanuna, but na sisi tuko non aligned, Sijui tinafanyaje
0 Reactions
1 Replies
168 Views
Kumekuwa na Majigambo mengi na makubwa sana baina ya watu wa Kanda ya Ziwa wakiwakilishwa na Mwanza dhidi ya watu wa Nyanda za Juu Kusini Wakiwakilishwa na Mbeya. Sasa kulingana na Haina ya haya...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Back
Top Bottom