Tuna chini ya miezi 12 sasa Ili Uchaguzi mkuu ufanyike
Hima Mawaziri wote tokeni hadharani mtuambie mmelifanyia nini Taifa la Tanzania Ili mtupe Wepesi wa kumkabili Tundu Lisu kwenye kampeni za...
Tunaipongeza serikali kwa kuajiri madaktari wengi sana mwaka huu hasa tamisemi.
Pamoja na hilo kumekuwa na malalamiko mengi sana kwa wale ambao wamesha oa na waliomba kupangiwa katika mikoa...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Tehama mh Jerry Silaa amekabidhiwa Ofisi ya Wizara yake mpya
Jerry Silaa amekabidhiwa Ofisi na Maafisa Waandamizi wa Wizara
=========
MAKABIDHIANO YA OFISI KWA...
Jerry Silaa, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeeleza kutoridhishwa na kitendo cha Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
Ndaisaba George Ruhoro Mbunge Wa Jimbo la Ngara Kwa kutambua na kuthamini mchango wa Elimu katika maendeleo ya Taifa ameendelea kupambana ili kuhakikisha mazingira ya Elimu kwa watoto wa...
Assistants Returning Officers ambao wengi ni maafisa watendaji wa kata wakishirikiana na wakurugenzi polisi na usalama waliwashurutisha walimu kuongeza majina ya wapiga kura hewa kwenye vituo sasa...
Nimemsikia akiongea mahali mchambuzi huyu wa mambo ya kisiasa anasema Tanzania ina Rais jina tu lakini kiuhalisia mamlaka ya rais wa Tanzania ni ya kifalme.
Sii Baraza la mawaziri wala bunge...
Habarii ndugu zangu Watanzania??,
Nilikuaga nachukulia suala la UCHAWA ni la watu wachache wasiojitambuaa Leo nimengudua ndugu yangu Ninaemheshimu Sana na ana Masters kabisa na yeye ni Chawa...
Chama cha ACT Wazalendo kimejiandaa kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji kwa kuhakikisha tuna wagombea wa kutosha. Taarifa tunazozipokea zinaonesha kuna hujuma kubwa...
Wadau mtakumbukwa MO Dewji mfanyabiashara mkubwa nchini alitekwa tarehe 11 Oktoba 2018 na kupatikana tarehe 20 Oktoba 2018
Baada ya kupatika Polisi walidai wamemkamta dereva taxi kuwa ndiye...
Katika kuonyesha imani, mapenzi, utii, kumkubali, kumtakia mema yote makubwa na madogo, kumhusudu, kumsifia na kumtukuza, napendekeza rahis wetu mtukufu mwenye maono, mpendwa na mpendeka...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Amemmiminia na kupongeza Rais mteule wa Marekani Mheshimiwa Donald Trump. ambaye ni...
Haijawahi kuwa sera ya Marekani chini ya Rais wa Republican au Democrats kuchochea wanawake wapewe madaraka katika nchi za Africa, hili jambo watu wanalirudia rudia sana kuonyesha kwamba...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina leo tarehe 07 Novemba, 2024 amerejea tena Bungeni kuedelea na vikao vya Bunge baada ya kufungiwa kutokuhudhuria vikao 15. Adhabu iliamuliwa na wabunge wengi...
WAKATI umefika sasa Zanzibar kuondokana na dhana kuwa nafasi za Wanawake Viti Maalum kuwa ni za watu aina fulani pekee na badala yake lazima uwepo ukomo wa kuondosha suala hilo.
Tumeshuhudia...
Watanganyika Nawasabahi .Nimekuwa najiuliza Sakata la TUNDU LISSU na MO DEWJI Watu hao Mmoja alipigwa Risasi Dodoma Makao Makuu ya Nchi Mchana Kweupe kwenye Lango la Nyumba aliokuwa anaishi na...
Mkurugenzi wa kampuni ya walinzi waliomsaidia Mo Dewji usiku baada ya kuachiwa na watekaji amsema ,siku hiyo walinzi wa kampuni yake wakiwa kwenye doria za kawaida maeneo ya viwanja vya Gymkhana...
Makusanyo ya mapato ya makampuni ya bia nchini yameshuka kwa karibu asilimia 20, hali inayoonekana kusababishwa na kupungua kwa wanywaji wa bia kufuatia ongezeko la ushuru wa bidhaa lililowekwa na...
Hali hiyo hupelekea CCM madhubuti, kupata ushindi wa kishindo kwenye chaguzi zote huru, za haki na za wazi na kisha kushika dola, kuunda serikali, kuongoza nchi kwa mafanikio makubwa sana.
CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.