Enyi wana CCM wa kweli, jifunzeni toka kwa wenzenu. Naona mmezoea kutumia propaganda kujisafisha ilhali wananchi wenye akili wanaona jinsi mlivyo wachafu na mnanuka.
Haya sasa ndugu zenu wa...
Kuna kila dalili kwamba Lissu akaondoka Chadema Muda wowote kuanzia sasa..
Nimekuwa nikifuatilia muenendo wa muda mrefu kati ya Lissu na Chama chake ni kama wameparanganyika..
Lissu ana support...
CHADEMA ISIJIFICHE KATIKA UCHAGUZI WA MAREKANI, LISSU AELEZA MADHAIFU YAO
Uchaguzi wa Marekani kwa sehemu kubwa unahusu maslahi ya Marekani. Wamarekani hawapigi kura kwa maslahi ya taifa au watu...
Wanaotaka labda tuwe na rais asiye na kwao wala ndugu wala baba na mama wala mme au mke au watoto wala familia, basi watwambie ttutampata wapi?
Ukweli haunin'ginii, ni lazima utaegemea tu, ni...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Amos Makalla, ameeleza kupata ukakasi mkubwa kuhusu hatua ya kiongozi ambaye ni mwanasheria na anayejua haki na demokrasia, lakini anakataa kutumia haki...
Katika kujaribu kuiokoa CCM , Jeshi la Polisi limezuia Mkutano wa Hadhara wa Tundu Lissu uliopangwa kufanyika leo 06/11/2024.
Hoja dhaifu ya Jeshi hilo ni kwamba Mkutano huo ukifanyika itakuwa...
Wakati huu wa Vita ndipo Wamarekani wamemchagua Yule aliyeutambua Mji wa Jerusalem kama Mji Mkuu wa Israel
Si mwingine bali Donald Trump
Unadhani ni kwanini? Au ndio kila aibarikiye Israel...
▪️Kukutana na Mabalozi zaidi ya 2000
▪️Mabalozi wagawiwa vitendea kazi
▪️Mwenyekiti Mamba awataka kuhimiza wanaCCM kushiriki uchaguzi
▪️Mbunge Mavunde awahimiza kuhakikisha ushindi wa CCM...
Huyu mbunge Orani Manase Njenza yupo bungeni tangu 2015 mpaka sasa na sijawahi kumsikia akizungumza bungeni, iwe kuuliza swali au kuchangia hoja licha ya jimbo lake kuwa na mzigo wa kero.
wabunge...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo tarehe 05 Novemba, 2024 ametembelea Maonesho ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea jijini Havana.
Maonesho...
Najua kwasasa rais Samia yupo Havana nchini Cuba, karibu kabisa na jimbo la Florida, jimbo ambalo Master Donald Trump the Great amepiga kura.
Naomba Rais wetu ampongeze kupitia kurasa zake za...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Yusuf Juma Mwenda kuwa Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB), kuanzia leo Machi Mosi, 2022
Kwa mujibu...
Baada ya kukaa nchi ya USA kwa muda mrefu pamoja na mapungufu mengi wamefanikiwa sana kwasababu hizi
1. Wana mfumo imara ambao kiongozi yeyote anaweza kushinda na kushidwa
2. Mahakama na mfumo wa...
Kwa kweli Mimi hata mwanamke akiwa na sifa simchagui sababu za kufanya hivyo ninazo.
Mwanamke hakuumbwa kuongoza kama ingekuwa hivyo pale Eden angeanza Eva lakini alianza Adam kuthibitisha hilo...
Tenda: TR36/002/2023/2024/W/98 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Mbezi Victoria kuelekea Bunju kupitia Mpigi Magoe
Wakuu naomba kuelewa mchakato wa barabara ya kutokea Mbezi Mwisho kwenda Bunju...
Kwanza sikiliza hii:
Tundu Lissu anasema katika voice note hii;
"...Inabidi mawakili wakusanye ushahidi wote unaohitajika na kisha waandae hati ya mashitaka...."
".....Kwa kifupi ni kuwa, kuna...
Nasimama na Lissu: Kwa nini CCM itashinda Uchaguzi wa Mitaa
Katika kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, ushindi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) unazidi kuwa wazi kwa kila...
Ufisadi wa Kutisha Halmashauri ya (W) Rorya
Waziri wa Tamisemi Mhe Mchengerwa
Kamanda Mkuu wa kupambana na Kuzuhia Rushwa (PCCB)
Mkurugenzi Mkuu Idara ya Usalama wa Taifa
Tunawaomba mtume...
"Uchaguzi wa Marekani umeisha, Wachambuzi rudini kuchambua uchaguzi wa Vijiji na Mitaa. Kuna mambo mengi ya kutazama. Sura ya siasa imebadilika kabisa.
1. Huu ni uchaguzi wa namba, ukubwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.