"Sisi waislamu tumepata faida kubwa kwa kipindi hiki kifupi. Dini yetu na Mungu wetu wamesaidia mmoja wa waumini wetu ameshika uongozi wa Nchi yetu. Kama mama huyu asingekuwa ametengenezwa vizuri...
Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini, unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, waandishi wa habari nchini wametakiwa kujiweka mbali na mapenzi ya chama chochote cha siasa ili waweze...
Niko hapa Magomeni mwembechai naona Waswahili, Wamanga na Waarabu wanapongezana kwa Ushindi wa Trump
Hata ukiangalia Al Jazeera news ni furaha tupu kwa Ushindi wa Trump
Sababu ni nini hasa?!
Mpendwa Wetu Mh Rais Samia amesema ni Wazi Wafanyabiashara wenye Mabasi wataathirika kufuatia Ujio wa TREN ya SGR lakini bado wanayo fursa ya kwenda sehemu nyingine ambako TREN ya Umeme haifiki...
https://www.jamiiforums.com/threads/donald-trump-ashinda-urais-wa-marekani.2274221/
JF mods huu uzi umewekwa muda ambao matokeo USA bado hayajatoka kufikia hao wajumbe 270
Pili haukuwa na...
Nakusalimia kwa jina la Jamhuri wa Muungano! wa Tanzania, Pole na majukumu na heka heka za uchuguzi.
Kwa usalama wako ndani ya mkutano mkuu, mpinzani mkubwa wako ni January makamba.
Kijana huyu...
Nikiwa kwenye mizunguko yangu ya kibiashara mkoani songwe nimekutana na Jambo ambalo limeni shangaza kidogo Kama sio Sana
Tunduma Kuna soko lakimataifa la mazao linaitwa mataifani
soko hili...
Kwa ufupi ni kuwa wabunge na madiwani waliopo madarakani kwa maeneo mengi wameshiriki kuvuruga uteuzi ndani ya CCM.
Kwa fursa walizonazo wameshawishi wasiowapenda waondolewe katika maandalizi ya...
Tanzania imempoteza kiongozi muhimu na hodari Gen David Musuguri.
Nimekuwa nikifuatilia vyombo kadhaa vya habari ambavyo vimekuwa vikitujuza juu ya historia ya Gen Musuguri.
Nimesikiliza kwa...
Kwa Mujibu wa Kinana na Majaliwa mwaka 2025 CCM itatoa fomu Moja tuu ya mgombea Urais Kwa sababu ni utamaduni wa ccm mgombea Rais lazima aendelee kuwa mgombea Kwa awamu ya Pili.
My Take...
Wakuu,
Huyu Makonda ni mkuu wa mkoa au ni katibu mwenezi wa CCM?
Hivi karibuni wakati anaongea mbele ya Rais Mwinyi, Makonda alisema kuwa haoni kitu kitakachomzuia kumpigia kampeni Rais Mwinyi...
Marekani ipo katika kipindi cha uchaguzi ambapo tarehe 5 watapiga kura kuchagua Rais wao.
Iwapo atashinda kamala Harris atakuwa mwanamke wa kwanza baada ya miaka 200 ya uhuru wa nchi huyo kuwa...
Main media karibu zote, Magazeti karibu yote, TV stations karibu zote zinaripoti uchaguzi wa Marekani kwa undani kabisa, kuna chaneli zimekesha zinaripoti huo uchaguzi, lakini cha ajabu hapa kwetu...
Tusome kwa pamoja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ibara ya 12 (6) Kwa madhumuni ya kuhakikisha usawa mbele ya sheria,
Mamlaka ya Nchi itaweka taratibu zinazofaa au zinazozingatia...
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Askofu Jude Thaddeus Ruwa'ichi kupitia mahojiano aliyofanya na Tumaini TV amesema:
"Uchaguzi wa serikali za mitaa ni zoezi la kiraia, ni fursa ya...
Habari wanajamvi!
MH Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo K .Peter Pinda, alikuwa msimamizi mkuu wa Uchaguzi wa Botswana kwa mwavuli wa Jumuiya ya Maendeleo Ya kusini mwa Africa SADC.
Nakuomba Mfikishie...
Waziri wa TAMISEMI na Taasizi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (PCCB) tumeni kikosi kazi kuchunguza Halmashauri ya Wilaya ya Rorya kuna ufisadi wa kutisha.
Kampuni ya Ongujo Invesment...
KUMB: PPR/2024-11/01
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROLI KUANZIA JUMATANO, TAREHE 6 NOVEMBA 2024
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza...
Ali Karume wakati wa uchaguzi uliosusiwa na CUF 2015 alimcheka marehemu Seif, na alimsema sana marehemu na hatimaye akawa waziri baada ya uchaguzi.
Hivi sasa Ali Karume kafukuzwa CCM wakati Peter...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.