MAKALLA AMPONGEZA LISSU KUKIRI CHADEMA HAINA WAGOMBEA SERIKALI ZA MITAA.
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amoss Makala amesema Chama hicho Kipo tayari na...
Sasa ni rasmi, Balozi wa Marekani nchini Tanzania anaondoka. Hii ni baada ya ushindi wa kinbunga wa Donald Trump. Kwa taratibu, anaposhinda Rais wa chama tofauti, hubadili mabalozi wote dunia...
Wakuu,
Vyama vya kusindikiza na kukamilisha ratiba.
Katibu Mkuu wa Chama Cha National League of Democracy (NLD) Doyo Hassan Doyo amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuleta sera ya 4R...
Ndugu zangu waandishi wa habari TZ,
Tujifunze kutokuwa na bias kwenye utoaji wa habari ili kutokuwajengea watu confidence ya uwongo.
Waandishi wa habari wa nchi za magharibi walitoa habari zap...
Leo kwenye kipindi cha asubuhi cha Wasafi fm wameruhusu kupokea simu za malalamiko ya ukosefu wa maji, kwa hakika ni huzuni na masikitiko makubwa inaonekana eneo kubwa sana la jiji la Dar halina...
Bunge linaendelea hivi sasa kwa kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanapata fursa ya kuuliza maswali kwa mawaziri, huku mawaziri wakitoa ufafanuzi na majibu kwa maswali hayo. Endelea...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina ameuliza swali bungeni kwa mara ya kwanza baada ya kumaliza adhabu ya kutohudhuria vikao 15 vya Bunge, akitaka kufahamu mkakati wa haraka wa serikali katika...
Wazee baada ya Kamala haris kupigwa na kitu kizito sasa kituo kinachofata ni Tanzania.
Waswahili husema mwenzako akinyolewa na wewe tia maji.
Baada ya siasa za Tanzania kudumaa na kushindwa...
Wakuu,
Tunazidi kulisogelea jambo letu 2025, tushiriki kwa umoja wetu katika uchaguzi wa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 kuhakikisha tunapata viongozi bora.
Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) Michael...
Ukitaka uwapange Ma Rais wetu watano kwa ufasaha sana kwa namna walivyoitendea nafasi waliyopewa ya kuongoza Nchi pamoja na mapungufu na kushindwa kutupatia katiba Mpya utawaweka kama ifuatavyo ...
Matukio ya wagombea kudaiwa kutoa rushwa, kukosekana kwa elimu ya uchaguzi na kutoaminiwa kwa baadhi ya wagombea na wananchi, kumechangia ushiriki hafifu wa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu...
July 04, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan alisema serikali ya CCM itanunua vichwa na mabehewa vilivyotumika (mtumba) na vyenye hali nzuri watavitengeneza.Mradi mkubwa wa thamani ya Sh16 trilioni...
CCM walikua wakimpigia kampeni Kamala
Walijua kabisa akishinda watapata nguvu ya kuaminisha umma 2025.
Kwasababu ya historia ya kamala alikua makamu kama mama yao.
Kwahyo nao wangetembelea huo...
Gharama ya hotuba ya Mwijage bungeni yafika Trilion 33
- Mradi wa kutoa leseni ya kufuga samaki na kutafita wawekezaji ziwa Victoria, Tanganyika, Nyasa trilion 20
- Mradi wa kujenga soko la...
Wakuu,
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi.
Kwa sasa wapo hospitali ya Mkoa, mjini Dodoma...
Katika kampeni nyingi za kisiasa nchini Tanzania, imekuwa kawaida kuona wanawake wakichukuliwa kama wapambe wa wagombea badala ya kuwa wagombeaji wenyewe. Wanawake wamekuwa wakipewa majukumu ya...
Siku za nyuma kidogo nilipiga simu jeshi la zimamoto na katika maongezi yetu na askari aliyekuwa mapokezi nikamuuliza ni kwanini huwa wanachelewa kufika eneo la tukio panapotokea ajali ya moto na...
Huenda bila mashirikiano mema ya Tanzania na Marekani bwana Trump asingeshinda u Rais wa Amerika.
Kwalo, juhudi binafsi za ukuaji wa demokrasia ndani ya Utawala wa Samia zimeufanya ulimwengu uone...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiona vyaelea ujuwe vimeundwa.tupo hapa tulipo tukiwa na utulivu wa kisiasa kwa sababu kuna watu walijitoa kwa jasho na Damu kulilinda ,kulipigania na kulitetea Taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.