Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
ACT WAZALENDO YACHARUKA HUJUMA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KYANG'OMBE, RORYA Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu ametoa Wito kwa Waziri wa TAMISEMI kumuwajibisha Mkurugenzi wa Halmashauri...
1 Reactions
3 Replies
416 Views
Hii ndio Taarifa ya sasa kutokea Jijini Mbeya, kwamba Wagombea wote wa Chama hicho wa Jimbo la Mbeya Mjini wanafanyiwa semina elekezi kuelekea kwenye Uchaguzi huo. Bali hatutatoa siri ya...
3 Reactions
20 Replies
703 Views
TAARIFA KWA UMMA Kwa mujibu wa Kifungu cha 5(1) kikisomwa pamoja na jedwali la Sheria ya Shirika la Posta ya Mwaka 1993 Kipengele cha 1(1)(b) pamoja na Tamko la Waziri Na. 845 lililochapishwa...
0 Reactions
2 Replies
500 Views
Huyu Hapa ni Abbas Tarimba, Mbunge wa Kinondoni ambaye hajui hata alipataje Ubunge huo akijikuta kakaa kwenye kijiwe ambacho hata haelewi amefuata nini. Tarimba anatajwa kuwa ni miongoni mwa...
22 Reactions
61 Replies
2K Views
Jenerali Tumainiel Kiwelu amefariki tarehe 18 Mei 2021 na atazikwa shambani kwake Mbezi Luis Dar es salaam tarehe 22 May 2021 Bwana ametoa Bwana ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe. Pia soma -...
16 Reactions
179 Replies
31K Views
Wakuu, Yaani kauli anaitoa kiongozi wa CHADEMA halafu wanaenda kuhojiwa CCM kusemea kauli hiyo, kutakuwa na kutoegamia upande hapo ukizingatia tupo kwenye kipindi cha uchaguzi? Mnategemewa...
0 Reactions
1 Replies
222 Views
Kwa mtizamo wako, je unaona mfanano wowote kati ya hivyo vyama? Kwa mfano - kwa upande wa USA, Democratics wengi wanaishi mjini na wengi ni graduates wa vyuo. Lakini pia demo wengi ni wahamiaji...
0 Reactions
19 Replies
554 Views
Ndio maoni yangu. Uchaguzi huu utakuwa na matokeo mabaya zaidi kwa Wapinzani kuliko ule uliopita. Kama ahueni yoyote itatokea, labda itakuwa katika Uchaguzi Mkuu wa 2025. Lakini mwaka huu...
0 Reactions
1 Replies
274 Views
Hapa ni Dar es salaam, Je Ile hoja ya Wapinzani kuwa CCM inabeba watu kwenye Malori bado iko na nguvu yoyote kwa umati huu wa Karne hapa Jijini? Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Arusha. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa...
10 Reactions
85 Replies
17K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka...
5 Reactions
68 Replies
12K Views
Akizungumza kupitia jukwaa la KumekuchaClub la mtandao wa kijamii wa Clubhouse Novemba 03, 2024, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amesema haya: Muda wa...
5 Reactions
60 Replies
1K Views
Miaka 64 iliyopita familia moja ya kitajiri mkoani Kilimanjaro ilipata mtoto wa mwisho wa kiume ikamuita "Freeman" kwa maana ya mtu huru. Jina lake na mazingira yake ya malezi na makuzi ndiyo kitu...
18 Reactions
27 Replies
1K Views
Rais Mwinyi ameondoka kulekea China kwenye ziara ya maonesho ya bidhaa mbalimbali, ikumbukwe last week alikuwa Doha Qatar kwenye kongamano la familia. Mhe. Rais Samia alikuwa Marekani kwenye...
4 Reactions
47 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amekiri wazi kuwa chama chake kinapata wakati mgumu kupata wawakilishi wa Uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa kutoka na hitaji la wingi wa Wagombea...
1 Reactions
9 Replies
638 Views
Na declare Interest Mimi sina chama na ni Mtanzania nimeishi Rwanda miaka 10,Ni mtaalamu wa Fedha na Pia nimeshiriki kutoa mbinu za Uchaguzi na Ushindi kwa vipindi tofauti Tanzania kwa ufupi...
11 Reactions
33 Replies
5K Views
KATIBU wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla, amewataka wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kuwa na subira. Amesema watakaokatwa licha ya kushinda kura za...
0 Reactions
9 Replies
645 Views
Siasa ni Sayansi Fikiria kama Tundu Lissu angejiandikisha kupiga Kura mtaani Kwake Iwe Tegeta au Kijijini Ikungi hilo zengwe ambalo lingeuandama Mtaa huo Halafu 2025 ingesemekana TAL hakubaliki...
4 Reactions
18 Replies
583 Views
Kunaendelea kuchangamka uchaguzi serikali za mitaa mkoa wa Ruvuma wanachama mmetuboa. Hii nimeikuta ofisi ya TAKUKURU Chama cha Mpinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma kwa kweli mnatuchosha wanachama...
0 Reactions
0 Replies
205 Views
Naona watu wanajiongeza juu Kwa juu. Hakuna magendo Wala Michele/sukari zilizo-expire Ni mwendo wa kimya kimya! NB : Petrol station aliyopiga stop Jery Slaa (Barrel - Mikocheni) ipo mbioni...
3 Reactions
12 Replies
623 Views
Back
Top Bottom