Tanzania ni miongoni mwa Nchi 10 ambazo Zitachangia Idadi Kubwa zaidi ya watu kufikia mwaka 2037.
Kati ya Nchi hizo 10,Nchi 5 zinatoka Bara la Afrika ikiwemo Tanzania ambayo itachangia watu mln...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe.
Wiki mbili zilizopita kwenye safu hii niliandika mada ya kumpongeza Spika wa Bunge, Dr. Tulia, kwa kazi nzuri aliyoifanya kwenye Mabunge...
Kwa kusema ule ukweli Tanzania ina mipango mibovu na inakwenda kama mwendo Wa kinyonga
Tulizoea kuona kila wiki kupata taarifa za bwawa la umeme Rufiji lakini Siku hizi hatupati. Wanatusaulisha...
Siku Moja Ruge Mutahaba RIP wa Clouds enzi hizo aliniambia Katika Tasnia yao huwezi kuwapata ma Super Star kutoka Oysterbay na Masaki bali Temeke na Manzese
Nikamuuliza why?
Akasema Vijana...
Tundu Lissu mbinafsi hajajiandikisha kupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa awapigie wengine waliogombea lakini 2025 atataka watu wampigie kura
Hii sio sawa. Ukitaka kupigiwa kura pia wapigie...
Ndugu zangu Watanzania,
Hivi Ndivyo Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu Mstaafu na Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa mstaafu Ndugu Abdulhaman Kinana...
Hali ya upatikanaji wa Maji kwa sasa kwa Mji wa Geita ni asilimia 75 kwa Wakazi wasiopungua 360,000. Mji wa Geita ni moja ya miji ambayo inakuwa kwa kasi hasa kwa shughuli za kiuchumi na...
Rais Dk. John Magufuli akizungumza jambo na Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema wakati akitoka kutoa heshima za mwisho kwenye msiba wa marehemu Tryphosa Simon Sanga ambaye ni Dada wa Mbunge wa...
Viongozi wa serikali na wananchi wa Dodoma wanatoa heshima za mwisho kumuaga marehemu John Kijazi chuo kikuu UDOM.
Prof Ndalichako ambaye ni waziri wa elimu ndio anaongoza watumishi na wananchi...
China imesaini mkataba wa kuendeleza SGR ya Kenya hadi Kisumu na Naivasha
Mpango ni SGR ya Kenya kuungana na Tanzania kutokea Rwanda huku ikipitia nchini Uganda
Tawi lingine litaendelea Sudan...
Wote poleni kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na mtu aliyeipenda nchi yetu kwa dhati kabisa Mh. Rais John Magufuli.
Kufuatia msiba huu mzito nchi yetu inaenda kupata Rais Mwanamama Mh. Samia Hassan...
Kamati ya Uongozi Taifa ya ACT Wazalendo imekutana kwenye kikao chake cha kawaida kilichofanyika jana tarehe 02 Novemba, 2024 katika Ukumbi wa Jurna Duni Haji, Makao Makuu ya ACT Wazalendo, Dar es...
Yeeeerrrrreeeeh wanajamvi!
Sisi wachache 1% hatufiki hata elfu mbili kwenye idadi ya watu zaidi million 60 nchini tumebarikiwa na hela na mali nyingi tunaiombea CCM itawale milele.
CCM inabana...
Mwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi anatajwa kuwepo kwenye timu ya Wanasheria kwenye kesi itakayofunguliwa London dhidi ya Kampuni ya Tigo.
Soma Pia:
Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu...
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bajeti ya Bunge la Tanzania Olan Njezya amesema Haki ya Utegemezi Nchini Tanzania inatosha ambapo watu 87 kati ya 100 ni wategemezi.
Kwamba watu wenye uwezo wa...
Naona Start TV wanaruhusu Odemba, mwandishi wao aendeshe vipindi vya kukashifu bila hata kutoa haki ya kusikiliza upande wa pili.
Nashauri Makonda au watu wengine wanaokashifiwa na Odemba katika...
Waziri Kiongozi Mstaafu, Shamsi Vuai, amekosoa matumizi ya serikali, akiyaita ni mabaya na yasiyo na tija. Akichangia Bungeni mwelekeo wa bajeti ya 2025/26 na mpango wa maendeleo wa Taifa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu amezungumza sababu ambazo zimemfanya kutoshiriki kujiandikisha kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.