Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Baada ya kutafakari kwa kina .nimeamua kuacha kabisa na siasa. 1. Nimesikiliza na nimesoma historia ya siasa ktk vitabu na nimewaikiliza wanahistoria nimegundua madaraka matamu, kumuondoa mtu...
11 Reactions
39 Replies
1K Views
Kwenye vyeo vya wakurugenzi wa taasisi, mashirika, n.k. unaweza kuwakuta wazanzibari wawili tu kati ya 10. Mfano kuna mabalozi 9 tu kati ya 45 Mawaziri wapo wachache Kwenye nafasi za ajira...
7 Reactions
65 Replies
1K Views
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi hivi karibuni alikuwa kwenye mahojiano na kituo cha habari cha DW ambapo katika mahojiano Kabudi na mtangazaji Sudi walizungumzia mambo...
15 Reactions
99 Replies
9K Views
Mwenyekiti wa Ngome ya Wazee Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo, Yasin Mohamed Gumsani amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu Novemba 4, 2024 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Taarifa ya...
0 Reactions
3 Replies
593 Views
Nauliza tu Ili kupata ufahamu kama Ofisi ya David Kafulila inatenda kazi zake hadi Zanzibar Nimeona kule Zanzibar PPP inafanya Vizuri Visiwa vilivyokuwa mapori Sasa vinaboreshwa kiuwekezaji...
3 Reactions
30 Replies
500 Views
Kiongozi wa kitaifa hapaswi kufikiria na kutenda kikabila, kijimbo, kidini, kijinsia au kikanda maana watu wote (makabila, dini, majimbo, wilaya, mikoa, jinsia, kanda) kwenye taifa wanamtegemea...
3 Reactions
6 Replies
422 Views
Nimeona niulize haya sababu kinachoendelea inabidi ukiangalie kwa macho yako na sio kusikiliza kinachosemwa.... Sababu Siasa zishakuwa Ulaghai...
0 Reactions
1 Replies
197 Views
Kifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi. Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
34 Reactions
498 Replies
55K Views
Hapo zama za kale niliamini kwamba unapoteuliwa kuwa msaidizi wa Mh. Rais basi wewe umepanda cheo na ni kiongozi mkubwa sana kwenye mfumo wa utumishi wa umma. Mabadiliko yaliyowaondoa Ikulu akina...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Wakuu, Kama mnakumbuka Julai 21, 2024, Nape alivuliwa rasmi cheo cha Waziri wa Habari na tangu hapo ni kama alienda kujificha kwenye handaki. Alijiondoka X(Twitter) na hakufanya interview hata...
14 Reactions
59 Replies
3K Views
Wanabodi, Rais Magufuli aliposema vita vya uchumi ni mbaya ni kuliko vita vya kawaida, alikuwa right. Hili ni bandiko kuhusu vita kubwa, ambayo mimi nimeipa jina la Magufugame vs Musevenyatta...
28 Reactions
130 Replies
14K Views
Wanabodi Kuna msemo usemao "ukiona mwenzako ananyolewa, wewe tia maji tia maji" Tanzania tunajenga reli ya SGR, wenzetu Kenya wametangulia, ila reli yao imeanza kwa kuwa ni a white elephant...
45 Reactions
224 Replies
27K Views
Hata kama ni Marekani lazima CHADEMA ionyeshe kuwa haina double standard kwa kuamua kususia kazi zao. Kumekuwa na matamko kadhaa za kutaka tususie kazi za wasanii wa Tanzania wanaoisapoti CCM kwa...
1 Reactions
10 Replies
579 Views
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ametoa wito kwa taasisi na watu binafsi wenye nia njema kujitokeza na kuchangia matibabu ya watoto wenye matatizo ya...
0 Reactions
7 Replies
471 Views
Salaam, shalom!! Walimu wa shule inayomilikiwa na Jumuia ya wazazi CCM iitwayo Ivumwe high school iliyopo Jiji la Mbeya, wamefunga geti la shule Kwa kutumia nguzo ya tanesco kushinikiza muhasibu...
9 Reactions
70 Replies
2K Views
Najua watu mnaogopa kuchangia mada kama hizi kutokana na sababu zinazofahamika, lakini kunyamaza hakuna msaada wowote. Hii ni kwa sababu hata Mabubu wametekwa na kupotea, Tusiache kupaza Sauti...
8 Reactions
47 Replies
2K Views
Kwanini taifa halijifunzi tu kwa kila maandiko na ushauri tunaoutoa wadau? Miaka 7 nyuma niliandika kisa muhimu kutoka Buenos Aires nchini Argentina, Niliandika nikionya serikali ya Hayati...
4 Reactions
9 Replies
436 Views
KKKT Ina MKUU MMOJA TU Naona KKKT imepamba moto kutokana na matamshi ya mmoja wa Maaskofu wake. Kwa kimbelembele nilicho nacho naomba umma wa watanzania uelewe yafuatayo: 1. KKKT ina Mkuu mmoja...
33 Reactions
187 Replies
8K Views
Ukipiga mchungaji kondoo wote watatawanyika, ukiwa nje unaona msitu lakini ukingia ndani ya msitu unaanza kuona miti. Umoja wa kupigania Tanganyika sasa kwisha habari yake, sioni tena Mwabukusi...
8 Reactions
36 Replies
1K Views
Back
Top Bottom