Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mwandishi wetu. Wakati chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Moshi Mjini kikijinasibu kupitia Mbunge wa Chama hicho Jimbo la Moshi Mjini kuwa waliahidi ahadi 10 ambapo wanadai 9 zimekamilika na moja ya...
3 Reactions
11 Replies
611 Views
Ni wazo Tu, Kama Itawapendeza.Kuna watu wengi sana ambao wamepotea na kuuwawa katika harakati mbalimbali za kidemokrasia.Je itakuwa ni Jambo zuri kama Tukiwajengea Mnara wa Kumbukumbu ambapo...
1 Reactions
8 Replies
289 Views
Makamu wa Rais Dr Mpango amesema Ili kumuenzi General Musuguli Watanzania wote Askari na Raia ni Lazima kujitoa hata ikibidi Kufa Kwa ajili ya kulinda Uhuru na Heshima ya Taifa letu. --- Dk...
7 Reactions
59 Replies
2K Views
Mchungaji Msigwa amesoma Adui Namba Moja wa Demokrasia hapa Nchini ni Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe Msigwa amesema kuna msemo unaosema "Msakata Rhumba maarufu anajua muda wa kuondoka...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
TBC SIASA ZA TANZANIA hamzijadili kama mnavyochambua SIASA ZA nje. Mambo ya kina mdee bungeni na utekaji watu mmekaa kimya ila siasa za Kenya mnazichambua vema
2 Reactions
8 Replies
321 Views
Utangulizi Katika muktadha wa afya ya umma, ni muhimu kuwa na ufuatiliaji wa haraka na wa kina wa matukio yanayoathiri jamii. Katika eneo la Kijiji Cha Itumbi, kata ya Matundasi, wilaya ya...
3 Reactions
15 Replies
802 Views
Nikiangazia trend za kisiasa ambapo watu wenye asili ya Afrika wanachukua hatamu za kimamlaka na maeneo mengine muhimu basi napata hisia hawa wenzetu wapo kwenye hatua za mwisho za kiuhama dunia...
4 Reactions
23 Replies
789 Views
Wakati Ule ulikuwa ni Utani wa kawaida hasa kutokana na Zile degree za Sanaa ( arts) na ni Wakati ambapo Ngoma ya Wamakondw yaani Sindimba ilikuwa Maarufu sana Lakini Utani Ule sasa ni kama...
13 Reactions
46 Replies
2K Views
Ni sawa na Kanisani inatupasa kumuongelea zaidi Yesu Kristo mtenda Muujiza badala ya Shetani Mlale Unono 😀
0 Reactions
1 Replies
93 Views
Mwenyekiti wa Baraza la Wakristo Tanzania (CCT) Askofu Dkt. Shoo amewataka Wananchi kuchagua viongozi Wenye Hofu ya Mungu wa mbinguni " Ukichagua Mbunge akuwakilishe Bungeni tangu siku anakanyaga...
3 Reactions
18 Replies
565 Views
Wakuu, Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000. Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi? ==== Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba
0 Reactions
3 Replies
200 Views
Wakuu, Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000. Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi? ==== Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba
0 Reactions
0 Replies
113 Views
Orodha ya baadhi ya waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA, Hawa wote siku wanahama CHADEMA walisema Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti Mbowe, Hizi ni baadhi ya " Quotes " zao 1. Zitto Zuberi...
22 Reactions
177 Replies
5K Views
Wakuu, Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000. Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi? ==== Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba
0 Reactions
2 Replies
230 Views
Taarifa ndio kama unavyoisoma hapo Juu, Hatutaongeza neno
15 Reactions
40 Replies
1K Views
Wakuu, Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000. Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi? ==== Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba
0 Reactions
0 Replies
118 Views
Siku nne zijazo wamarekani watapiga kura kuchagua rais na wawakilishi wao. Mwisho wa uchaguzi ni matokeo na namna yatakavyopokelewa na jamii. Vyombo vya habari vya Marekani vimeanza kuandika kwa...
0 Reactions
0 Replies
138 Views
Wakuu, "CCM imetufika pabaya leo watumishi wa umma wanashindana kujikweza ndio maana badala ya kuzalisha taifa la watalaam leo tuna taifa la 'chawa' na sasa hivi wamepita uchawa wamekuwa mende...
0 Reactions
2 Replies
222 Views
Dk. Tulia Akson unavuna ulichopanda kutokana na udhaifu wako hadi unasababisha Mawaziri wanakudharau na wanalidharau Bunge kwa kuwa wanajua halina cha kuwafanya. Tulia ni majuzi tu ukiwa IPU...
0 Reactions
0 Replies
123 Views
Back
Top Bottom