Utangulizi:
Katika taaluma ya sheria kote dunia, na kwa kipekee hapa nchini Tanzania, ili mtu akidhi vigezo vya kuwa mshauri, au kuwakilisha watu mahakamani, au kushauri mambo msingi ya kisheria...
1. Songas kampuni binafsi iliyoingia mkataba wa kuzalisha umeme na kuiuzia TANESCO mwaka 2004 kwa kutumia mitambo ya gesi. Songas iko Ubungo mataa kama unaatokea Mwenge kwenda Riverside ama...
Habari Wana Siasa. Hongera sote Kwa majukumu na michango inayosaidia kuendekeza mbele maslahi mapana ya Mama TANZANIA.
Wiki hii katika habari imetangazwa wanachama wa CCM karibu 300 jimboni...
Asalaam Aleykum wana jamvi.
Taarifa zilizogonga vichwa vya habari wiki hii ni kung'olewa madarakani kwa chama tawala cha Botswana ambacho kimekuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 50.
Hizi habari...
Wanabodi,
Makala yangu gazeti la Mwananchi.
Wiki iliyopita kwenye safu hii nilimpongeza Spika Dr. Tulia, kwa kazi nzuri aliyoifanya kwenye Mabunge ya Dunia, IPU kwa kuwakoromea maspika wenzake...
Wakuu,
Mambo yanazidi kuwa moto kuelekea uchaguzi mkuu 2025.
Baada ya kushindwa kesi na wadada wanaodhaniwa kufanya biashara ya kuuza mwili sasa atinga vijiweni kusikiliza kero za wananchi...
Kwangu mimi hii ndio orodha ya viongozi bora Afrika kwa sasa.
1. Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania)
2. Dkt. Tulia Ackson (Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa IPU)
3. Rais Hakainde Hichilema...
Sikilizeni, Nyie vijana hasa wale mnaopata nafasi za kuongoza jaribuni kukaa mbali na matendo mabaya ya rushwa pamoja na ufisadi kuna siku majina yenu yatajadiliwa kwa mema kama...
Kutokuwepo uelewa wa namna ya kufungua akaunti ya kufanya malipo mbalimbali ya Halmashauri nchini wa Tausi Portal ni chanzo cha maafisa mapato kujinufaisha. Huenda wizi huu unafanyika katika...
Kifo cha Mlevi wa Misenyi na Aibu Kwa “Mashine ya Propaganda” ya Chadema
Wachambuzi wengi wa mambo wameonya mara kadhaa kuwa masuala mengi hapa nchini yanayodaiwa kuwa na changamoto ama yanakuzwa...
Wananchi wa mkoa wa Dar es salama wameandamana mpaka kwenye ofisi zao, wakilalamika juu ya Rushwa, na kuiba kura kwa baadhi ya watinia nia ya uchanguzi wa serikali za mitaa.
Swali je, TAKUKURU...
MOja kwa moja kwenye mada,siku za karibuni kumekuwa na zoezi la serikali kutoa pesa kuchangia makanisa.
Makanisa mbalimbali likiwemo Kanisa Katoliki, Takatifu la Mitume, ambalo makanisa yake...
Mbunge wa Sumve (CCM), Kasalali Mageni, ameelezea wasiwasi wake kuhusu mchakato wa ajira serikalini unaotegemea ‘connection’, akidai kuwa mfumo huu unazalisha watumishi wasiokuwa na sifa...
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Dar es Salaam wamendamana wakiwa na mabango katika ofisi za makao makuu ya chama kwa kile wanachodai kuwepo kwa wizi wa...
https://www.youtube.com/watch?v=MBMd95jalzs
Prof. Kitila Mkumbo aeleza mafanikio ya uwekezaji wa DP World na Mradi wa SGR
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais -Mipango na Maendeleo, Mheshimiwa Prof...
Rais wa Jamburi ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.
Balozi Siwa ameapishwa leo tarehe 28 Agosti, 2023...
Yaani tumepigwa kila sehemu
Nyerere Bora tulimtambua Kama mjamaa
Mwinyi alikuwa shamba la bibi lakini watu wote aliwapa fursa sawa kupitia ruksa.
Mkapa akaja na kulipa madeni na utandawazi...
Tanzia.
Joseph Elemedius (57) ambaye alikuwa amechukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa Kijiji cha Kalagala Wilaya ya Missenyi ameuawa usiku wa kuamkia leo. Joseph ameuawa wakati akisubiri uteuzi...
Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari.
Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.