Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wakati inasimuliwa historia ya maisha ya Mzee Ali Hassan Mwinyi kwenye maisha yake ya uongozi na Professor Mukandala kipengele hiki alikizungumzia, ni kinani hao tuwafahamu kwa mlio na kumbukumbu...
13 Reactions
148 Replies
20K Views
Sasa ni rasmi, Dk Slaa bado ni kada wa CHADEMA, kadi yake iko hai na kailipia kwa miaka 20. Dk akitia jina, Lissu atakumbana na upinzani mkubwa kupata tiketi ya chadema kugombea urais mwaka 2025...
5 Reactions
48 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Unaweza ukaona kama ni jambo dogo lakini kwa jicho la tatu hili ni jambo kubwa sana linalopaswa kudhibitiwa kwa uharaka juu ya Mtu au watu au kikundi cha watu kinachoweza...
5 Reactions
252 Replies
9K Views
MODS naomba msiuunganishe mada hii na nyingine. Mimi mmoja wa waathirika moja kwa moja wa kusuasua kwa TANROADS, na amana yangu inaelekea kuuzwa na benki kutokana na TANROADS kushindwa kutulipa...
10 Reactions
49 Replies
2K Views
Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo. Utekelezaji wa hoja ya Nishati safi ya kupikia, unahitaji zaidi utashi wa kisiasa kuliko ahadi za maneno na kuwagawia bure mitungi ya...
5 Reactions
9 Replies
364 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu CPA Amos Makalla akizungumza na watumishi wa Uhuru Publications Limited (UPL) na Uhuru Fm. Cde Amos...
10 Reactions
52 Replies
3K Views
Hii ni baada ya Gachagua kushindwa mahakamani, Kenya wana sheria na katiba bora ya kuigwa mfano.
0 Reactions
0 Replies
234 Views
NA MARYAM HASSAN WAKATI dunia ikiendelea kupaza sauti juu ya ushiriki na ushirikishwaji kikamilifu wa wanawake katika nafasi mbali za uongozi, Zanzibar haipo nyuma katika haraakati hizo. Kupitia...
0 Reactions
0 Replies
266 Views
Tanzania Bunge linatunga Sheria na kusimamia Serikali Mahakama inatafsiri Sheria Lakini imechukua miaka 5 Tafsiri ya Uhalali wa ubunge wa Halima Mdee na wenzake haujatafsirika Bunge la Kenya...
15 Reactions
50 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, Anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika kongamano la kwanza la kiswahili kimataifa...
9 Reactions
72 Replies
2K Views
Nimepitia sehemu mbalimbali katika mitandao nimegundua Mh Januari makamba anachukiwa na watu wengi, japo wapo wanao mkubali. Wengi wanadai jamaa ni Fisadi, sasa katika serikali hii nani ambaye...
18 Reactions
154 Replies
4K Views
Umefika wakati CDM mjitafakali sana - why mnashinda mitandaoni kufuatilia wenzenu? Msipomtaja Nape hampati usingizi; Msipomtaja January Makamba chakula hakipiti kooni; Msipoikashifu CCM mashamba...
1 Reactions
6 Replies
242 Views
Mwenyekiti wa Chama wa chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema Freeman Mbowe ameungana na wanachama kuwasindikiza wagombea wa vijiji vinne vinavyounda kata ya Machame Narumu, Wilaya ya Hai...
0 Reactions
48 Replies
2K Views
Tanzania tuna utaratibu wa kuwaacha Wanasiasa wafanye wapendavyo kisha wastaafu kwa Amani Hata sasa kuna Wanasiasa wengi wamelitia Hasara Taifa letu kisha wakastaafu ni kurithisha watoto wao...
1 Reactions
11 Replies
295 Views
Zoezi la Uandikishaji Wananchi watakaoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024 limekamilika ambapo kwa mujibu wa TAMISEMI, takriban Watu Milioni 32.9 (94%) wamejiandikisha Kwako...
6 Reactions
44 Replies
1K Views
Hili Swali nimekuwa nikijiuliza Sana Waislam siasa zao hufanywa kwenye mihadhara na Mabaraza ya Sikukuu za Eid na Maulid lakini siyo Ibadan Msikitini Lakini Wakristo kwa mfano hapo Nchi jirani...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
2025 kama CCM itashindwa kuwapitisha Wagombea wa Ubunge na Udiwani wanaokubalika na Wananchi basi Tutapata Tabu sana Wabunge na madiwani wengi wa sasa siyo Chaguo la Wananchi bali Wateule wa...
1 Reactions
0 Replies
264 Views
Siku ya jana niliamua kwenda kuangalia jina langu kwenye ofisi husika kama tulivyoshauriwa, nilifika kwenye ofisi na kuzikuta karatasi zenye majina zikiwa zimebandikwa ukutani. Karatasi hizo...
3 Reactions
10 Replies
438 Views
MAKALLA AFANYA KIKAO NA UONGOZI NA WATUMISHI WA TOT Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu CPA Amos Makalla akizungumza na Watumishi na...
3 Reactions
9 Replies
618 Views
Kutokana na Takwa la KIKATIBA kuwa Mbunge lazima awe Mwanachama wa Chama cha siasa na Mbunge anapoteza SIFA ya kuwa MBUNGE pindi anapofukuzwa UANACHAMA na chama chake. Halima Mdee na Wenzake...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Back
Top Bottom