Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
MATUNDA YA 4R ZA RAIS SAMIA, WAKULIMA NA WAFUGAJI MAMBO SHWARI Falsafa ya 4R ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa nguzo muhimu katika kujenga Tanzania yenye misingi imara ya kijamii, kisiasa, na...
1 Reactions
10 Replies
762 Views
Taarifa yao hii hapa PIA SOMA - Leo katika historia: Jenerali Mstaafu David Musuguri alizaliwa Januari 4, 1920. Atimiza miaka 102
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Wakuu, Wanachama wa CCM zaidi ya 200 Kata ya Kia Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro wamejitokeza kuchukua fomu zakugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa...
2 Reactions
5 Replies
303 Views
1. Ndugu zangu Watanzania, wa dini zote, vyama vyote vya siasa, kanda zote nchini na rika zote, ni wakati wa kujiuliza: [ISPOILERNi wapi tumekosea hadi kushindwa kufikia mafanikio ya kweli ya...
4 Reactions
18 Replies
509 Views
Hapa kuna orodha ya baadhi ya marais wa kike duniani, wasifu wao, na bara wanakotokea. Muhimu ni kunote kwamba Samia Suluhu Hassan ndiye rais pekee wa kike barani Afrika kwa sasa. 1. Samia Suluhu...
0 Reactions
24 Replies
1K Views
Itaongeza heshima nchini. Siongelei adabu, nnaongelea heshima. Heshima ndio inajenga nchi sio adabu. Siku moja tu tunaamua shikamoo inaharibu heshima ya mmoja na kumkuuuuuza mwingine so sio...
0 Reactions
20 Replies
490 Views
Hali inakuwa si nzuri kwa vyama pinzani nchini kwenye uchaguzi huu wa serikali za mitaa ambapo kila leo unasikia wanakutana na vibwanga. Leo ACT Wazalendo wanasema wagombea wao bila NIDA basi fomu...
0 Reactions
2 Replies
309 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge...
3 Reactions
68 Replies
2K Views
Nashangazwa sana hawa watu ambao kutwa kumsema askofu shoo kwa maneno yake ya kumsifu Rais samia lakini watu jamii nyingi ya Watanzania ni mandumilakuwili tu leo hii akitokea askofu akimpiga spana...
1 Reactions
4 Replies
433 Views
Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia. Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake. Hana uwezo hata chembe. That says a lot ueledi wa civil services, It’s a shitty county...
101 Reactions
432 Replies
13K Views
Kimsingi mababa Askofu Dr Shoo na Dr Bagonza wanachosema ni kwamba Mpendwa Wetu Mh Rais Samia anabebwa na Kazi zake na wala siyo Kimbelembele Cha Chawa wanaojipendekeza Mababa Askofu wametisha...
0 Reactions
0 Replies
280 Views
Wakuu, Mambo yanazidi kupamba moto majimboni, sasa hivi kulalamika kunapungua, wanaanza kutumia mbinu zao. ===== Chama cha ACT Wazalendo kimetoa mchango wa mbao kwa ajili ya ujenzi wa daraja...
0 Reactions
5 Replies
333 Views
Wakuu, Kwa siku mbili tatu hizi kumetokea changamoto kubwa ya mtandao kwenye upande wa MPESA ambapo watu wamekuwa wakipata changamoto katika kutokea na kupokea pesa kupitia mitandao ya simu...
0 Reactions
5 Replies
543 Views
Sehemu ya mahojiano ya Wakili Msomi Peter Kibatala na Mkuu wa upelelezi Mkoa wa kipolisi Kinondoni, SSP Gerald Ngichi kuhusu kesi nambari 112 ya Mwaka 2018 iliyowahusu Freeman Mbowe na wenzake...
69 Reactions
131 Replies
5K Views
Wasalaam, Kuelekea uchaguzi wa serikali za mtaa mwezi ujao naona CHADEMA mmeamua kulamba matapishi yenu kwa kushiriki uchaguzi ambao kwa vyovyote vile hamuwezi kuashinda kwani kwa 90% wazimamizi...
1 Reactions
19 Replies
420 Views
“Niliishiwa na nguvu wakati aliponiambia kama unaitaka hii nafasi basi lazima tukutane kimapenzi kwanza ndio uipate,” anasema Sharifa. Kitu pekee kilichomjia kichwani kwake ni kuliweka jambo hilo...
0 Reactions
0 Replies
430 Views
Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mtaa wa Longdon kata ya Sokoni One Jijini Arusha, wamedai kuwa hawatashiriki uchaguzi wa kumchagua mwenyekiti wa eneo hilo kutokana na...
4 Reactions
8 Replies
827 Views
Private Public Partnership inafaa pale tu ambapo kuna mtu binafsi ana kitu ambacho serikali haiwezi kufanya, au anaweza kukifanya kwa ubora; Win Win Situation. Sasa katika Suala la Nishati Safi ya...
3 Reactions
14 Replies
665 Views
Nimefuatilia Kwa karibu sana kampeni za Urais wa Marekani Toka wanaanza hadi sasa zimebaki siku 8, wenzetu kidemokrasia wako vizuri sana Nilichogundua ni Kwamba hata Tanzania tukiamua ni Rahisi...
5 Reactions
72 Replies
2K Views
Kwa sasa, Bunge linaendelea na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza maswali kwa Waziri Mkuu pamoja na Mawaziri wanatoa majibu, tuwe pamoja kufatilia yanayojiri kutoka viunga vya...
2 Reactions
6 Replies
332 Views
Back
Top Bottom