Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hayupo wa kushindana na mama,I wish her all the best Yaani wewe ni mpuuzi kweli kweli,watanganyika 60 million hakuna wa kumwondoa mzanzibar!. Hivi kuna mtanganyika anaweza kuongoza Zanzibar...
3 Reactions
0 Replies
32 Views
Mapinduzi ya Zanzibar yaliendeshwa na bwana John Okello. Hili halina ubishi. Mapinduzi yalianza saa tisa za usiku yakiongozwa na Okello na watu mia kadhaa wakiwa na silaha za jadi. Walivamia...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Wa Tanzania, tujivunie hata hapa tulipofikia, reli yetu ni moja kati ya reli ndefu sana. Uganda wana kilometa 227 ambazo watajenga kwa miaka minne. Kwa wastani wa reli yetu, Uganda wangejenga kwa...
3 Reactions
39 Replies
1K Views
Hawa vijana hawawezi jipigania, hawawezi shinikiza ajira, haeawezi oaza sauti zao, hawa wanataka mtu baki awapiganie, na apigwe Mabomu na Polisi wakati anawapigania wao wakiwa kwenye keybord...
5 Reactions
8 Replies
462 Views
Hongera sana Mbunge Kunambi Kwa kuwasemea na kuwatetea Watumishi. Sio tuu kwamba wadogo Wanaonewa Bali wanachomekwa kwenye madudu ya wakubwa kuwalinda hao wakubwa Wala rushwa. Amazingira haya...
5 Reactions
15 Replies
739 Views
Napita hapa Kondo Bahari beach ambapo Tanroads wamefanya marekebisho makubwa ya barabara wiki chache zilizopita Ndio nashangaa huo ukata wa miaka 20 ni huko Vijijini Kwa akina Lucas na...
0 Reactions
10 Replies
416 Views
Waziri Mchengerwa ni kiongozi ulijibebea sifa nyingi kutokana na utendaji wako Hivyo Kwa tu wa chini yako kuharibu mchakato huu muhimu Kwa maendelea ya vijiji na Miata ni busara achia ngazi...
2 Reactions
20 Replies
590 Views
Katika Dunia ya Leo Mtendaji anaogopa kugawa Fomu za uchaguzi Kwa Chadema? Huu ni Upumbavu uliotukuka utakaosababisha Watanganyika waamini ni kweli Chadema ina Wanachama milioni 17 Inakera sana 😂
9 Reactions
43 Replies
994 Views
Kesi ambazo tunaweza shinda kwenye Mahakama yoyote ile Tanzania ni zile Individual ambazo Serikali haina masilahi nazo na wala hazina impact yoyote kkwa Serikali. Kesi yoyote ambayo ina negative...
2 Reactions
3 Replies
230 Views
Chama kikuu Cha Upinzani nchini Chadema limesema Katika leja yake kina Jumla ya Wanachama milioni 17 Source: East Africa Radio
6 Reactions
83 Replies
2K Views
Wakati wa Kujiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa Uliofanyika tarehe 11 - 20 Oktoba, 2024, Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa...
1 Reactions
1 Replies
139 Views
Mbunge wa Conchesta Leonce Rwamlaza ameonyesha nia ya mabadiliko ya Katiba kutoka na Ufujaji wa Pesa za Maendeleo na Tozo mbalimbali katika ngazi ya Halmashauri unaofanywa na watumishi wa...
2 Reactions
5 Replies
269 Views
Kwa nini kesi iahirishwe mpaka tarehe 20 Novemba wakati upelelezi umekamilika? Upelelezi ukikamilika kinachofuata ni kusoma maelezo ya awali yaani Ph. Sasa hapa kwa nini kesi itajwe tar 20? Hapa...
9 Reactions
42 Replies
2K Views
Binafsi simpendi Samia not personal but kwa vitu vyote anavyofanya kwa watanganyika. Katoa Toto afya kadi kwa watoto watanganyika Kaongeza mfumko wa Bei kuanzia nauli, vocha, mafuta, Shilingi ya...
13 Reactions
92 Replies
2K Views
Jambo la Haki ya Kuheshimu Uchaguzi wa Viongozi na Uchaguzi wenyewe Linafanyika ulimwengu wote wa wastaarabu. Wafanyao hivyo mfano kwa uchaguzi huu wa serikali za mitaa ambako Watendaji wa Kata...
1 Reactions
2 Replies
159 Views
Akizungumza na mwanablog Magendela kupitia SALMA MADAI IT ANAYETEMBEA NA NDOTO ZA RAIS DKT SAMIA Novemba, 2023, mdada mrembo wa sura na umbo, ameelezea ndoto za kuwa Rais wa Tanzania siku baadae...
2 Reactions
48 Replies
1K Views
Tanzania imepaa mpaka nafasi ya 6 toka nafasi ya 16 mwaka 2022 kati ya nchi 54 za Afrika kuwa na mtandao bora wa barabara kwa mujibu wa Takwimu za mtandao wa Statista. Hii ni kwa sababu ya kazi...
2 Reactions
14 Replies
494 Views
Wakuu, Jana nilikuwa naangalia takwimu za Watanzania ambao wana matatizo ya moyo kitaalamu Cardiovascular Disease (CVD) Kulingana na report kutoka kwenye tovuti ya Geospatial Health, 13% ya...
0 Reactions
0 Replies
173 Views
Wakuu nawasalimu. Kama taifa tupo katika kipindi cha uchaguzi Mkuu na Serikali za Mitaa ambao umepamba moto kwa hivi sasa. Huu ndio wakati wa Vyama vya Siasa nchini kukuza ushiriki wa wanawake...
0 Reactions
5 Replies
302 Views
Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete ametoa ushauri kwa Jamii kuwatumia Wazee kupata uzoefu na maarifa huku akiweka msisitizo wa kauli aliyowahi kuambiwa na Baba wa Taifa Mwl. Nyerere kwamba ukitaka...
7 Reactions
73 Replies
3K Views
Back
Top Bottom