Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Jumatatu 30/09/2024 Rais Samia Suluhu Hassan alizindua kitabu kipya cha tawasifu ya Edward Moringe Sokoine. Kitabu hiki cha aina yake kina dosari lukuki. Inafikirisha sana ikitiliwa maanani kama...
43 Reactions
115 Replies
9K Views
Kazi aliyoifanya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan (Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) amewafanya hata wapinzani wakose cha kusema, hakuna cha kusema; kama kuna mtu hapa anafahamu sera yoyote...
4 Reactions
111 Replies
2K Views
1. Kupoteza Ushawishi kwa Umma: Chadema kimekosa mvuto kutokana na kukimbiwa na wanasiasa wenye uwezo wa kushawishi, wanasheria mahiri, na wanataaluma wakubwa. Wakati zamani walijenga hoja na...
-1 Reactions
11 Replies
436 Views
Serikali inapambana sana kusaidia wananchi wapate HATI zao kwa wakati. Wizara ya Ardhi imekuwa mstari wa mbele sana kuhakikisha kilio cha HATI kinaisha, na tumekuwa mashahidi kwa sasa serikali...
2 Reactions
7 Replies
534 Views
MATOKEO - LIVE: Wakuu, Tunawaletea matukio na matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yatakavyokuwa yakitangazwa. Orodha rasmi ya wagombea...
60 Reactions
2K Replies
162K Views
Zoezi la kuchukua fomu za kugombea nafasi ya Mwenyekiti na Wajumbe wa serikali ya mtaa kwenye Mtaa wa Mailimoja B halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani limelazimika kusimama kwa zaidi ya...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Mbona naona kama hakuna mtu anayejitutumua na kutosha kuwa mpinzani sahihi wa Rais Samia kwenye uchaguzi mkuu!
0 Reactions
6 Replies
249 Views
Wanabodi, leo nilikuwa naangalia TBC Ardhio. Nikashuhudia Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akirudia kazi yake ya zamani ya utangazaji wa TV Reporting akiripotia TBC live mubashara moja...
12 Reactions
64 Replies
8K Views
Nashauri kura hizo ziwe sensa ya ushindi wa CCM nchini kote. Zijumlishwe, ili kupima kiwango cha kura za Rais Samia mwaka 2025. Na pia zitumike kupima sehemu zinazolegalega, ili zikaimarishwe...
0 Reactions
11 Replies
313 Views
Tanzania, nchi yenye utajiri wa rasilimali na tamaduni mbalimbali, inazidi kujiandaa kwa mabadiliko makubwa ya kisiasa na kijamii. Moja ya malengo makuu ni kuwezesha wanawake kushika nafasi za juu...
12 Reactions
143 Replies
4K Views
"Rais tuliyenaye mama Samia (Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) haitaji kupigiwa debe kwa njia zisizofaa kwa sababu Mungu ameshamuweka ni Rais wetu sio tu wa...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Bunge la Tanzania Leo limeanza kikao vyake jijini Dodoma ambapo bunge ili litajadili taarifa za kamati tatu muhimu, ambazo zimewasilishwa na kamati hizo za kudumu kamati hizi zimewasilisha taarifa...
0 Reactions
11 Replies
633 Views
Kheri ya siku ya mfanano wa Kuzaliwa Kwako , Comrade Hayati Dkt JOHN POMBE MAGUFULI. Uli wanyoosha sana chawa wa ccm
41 Reactions
105 Replies
5K Views
Katika shindano la stories of change 2024 nilieleza kuwa tume huru kuundwa na chama kimoja cha siasa sio demokrasia wakati nchi ina mfumo wa vyama vingi vya siasa. Nilisema Kwa chama kimoja kuunda...
0 Reactions
1 Replies
228 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama...
0 Reactions
6 Replies
399 Views
Kama kawaida, Bunge linaendelea muda huu na ni kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza na mawaziri wanajibu hoja husika, tuwe pamoja kufatilia yanayojiri kutoka viunga vya mji wa...
1 Reactions
38 Replies
1K Views
Napenda siasa napenda democracy japo sidhani kama ni democracy. Napenda siasa yenye mrengo wa kiuchumi na kiusalama wa Taifa. Nimeona mabadiliko ktk serikali ya Japan nikatamani taifa langu...
4 Reactions
19 Replies
731 Views
Wakuu Mambo yanaonekana kuwa si shwari huko ndani ya Chama Cha Mapinduzi kama tunavyoaminishwa Siku ya leo wanakijiji wa Mtaa wa Viwandani, Kata ya Unga Limited, wameonyesha kutoridhishwa na...
3 Reactions
17 Replies
716 Views
Maana sijawasikia ACT Wazalendo wakitamba kuzoa Mitaa Pemba na Unguja Naomba Ufafanuzi 🐼
0 Reactions
7 Replies
258 Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) Halima Mdee, amewasilisha taarifa ya kamati hiyo mbele ya Bunge inayoonyesha mapungufu makubwa kwenye Halmashauri...
2 Reactions
8 Replies
523 Views
Back
Top Bottom