Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nimeiangalia clip yako ukikabidhi ofisi ya wizara ya mambo ya nje kwa Thabiti Kombo, uso wako umenyon'gonyea sana japo unajaribu kutabasamu kuficha hisia zako lakini uso wako unakataana na...
3 Reactions
60 Replies
4K Views
JAJI wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Anorld Kirekiano amemsafisha Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwenye kashfa ya utoaji wa vibali vya sukari baada ya kuitupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mpina...
1 Reactions
13 Replies
773 Views
Kwanza kabisa ni kuwag'oa viongozi wenye vinasaba na CCM kama Mbowe na Mnyika. Pili ni kuleta mabadiliko makubwa kwa kuwapa elimu Wananchi kuwa CCM sio ile ya enzi za Mwalimu bali sasa ni ya...
2 Reactions
17 Replies
892 Views
Kwa tafsiri sahihi isiyogemea chama chochote cha siasa UZALENDO ni hali ya mtu kuipenda nchi yake na kuwa tayari kuifia. Kwa nyongeza ni pale raia anafikia hatua ya kupambana na mtu yeyote bila...
4 Reactions
16 Replies
438 Views
Sijaridhishwa na Rais wa nchi kuwakilishwa na Waziri Mkuu katika shughuli ya kuwaaga makamanda 14 wa JWTZ viwanja vya Ngome Wizara ya Ulinzi waliofariki huko DRC kwa kuwa Rais ana shughuli...
79 Reactions
431 Replies
39K Views
Swali Korofishi: Hivi sisi kama taifa ni kuwa tulikuwa tumedekezwa, tumedeka au tumedekeka mno? Maana, kuna baadhi ya mambo yanapotokea hadi unashangaa tulikuwa ni watu wa aina gani? Sukari...
17 Reactions
83 Replies
6K Views
"Mimi nikasema si vibaya nikajumuika na vijana wenzangu (UVCCM) Wilaya ya Chato katika ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UVCCM Wilaya ya Chato na kuhakikisha inakamilika, nikasema nichangie kidogo...
12 Reactions
113 Replies
7K Views
Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya nchini kuacha mara moja kamatakamata ya bodaboda isiyo na tija akisema Maaafisa usafirishaji (bodaboda) na Maafisa wa...
1 Reactions
7 Replies
511 Views
Niaje waungwana Japo mimi sio mchambuzi mzuri wa mambo ya siasa, lakini nina imani kuwa wengi mtakubaliana na mimi kwamba utawala wa awamu ya nne na ya sita vinafanana sana, sema tofauti ipo...
0 Reactions
0 Replies
186 Views
Ujio wa noti na sarafu mpya ni mbinu laini ya kupambana na ufisadi bila lawama yoyote ile Nampongeza Rais Samia kwa kuamua kuzirudisha kijanja hela za aliowaruhusu wale kwa urefu wa kamba zao
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Katika sifa za wagombea wa serikali za mitaa, wameongeza sifa moja mpya, eti asiwe mlevi kupindukia, nini kimewafanya CCM kuongeza sifa hii? Huko vijijini, statehe ya watazania ni pombe, kuna...
2 Reactions
8 Replies
478 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita...
15 Reactions
275 Replies
9K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuimarisha Uhuru wa Kuabudu na kuziagiza Taasisi za Kidini kuendelea kuiombea Nchi amani na...
3 Reactions
14 Replies
925 Views
I will be short Watu tuna hustle sana kupush mambo yetu huko serikalini. Mambo ya viongozi ni chap sisi wengine ni hustle ya miezi kadhaa mambo mambo magumu sana. Tukutane 2025, Watanzania kama...
7 Reactions
42 Replies
980 Views
Watu wanaodaiwa kuwa ni Askari wa Jeshi Polisi mkoa wa Dodoma wamefanya upekuzi katika nyumba ya mwanachama na kigogo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Honesty Msacky nyumbani kwake...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
SAMIA HEALTH SPECIALISATION SCHOLARSHIP PROGRAM 2024/25. ORODHA YA WATAALAM WALIOPATA UFADHILI WA MASOMO MWAKA 2024/2025. JINA LA PROGRAMU & IDADI YA NAFASI 1. Super-Specialization 44 2. Mmed...
1 Reactions
13 Replies
735 Views
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema CCM iliweka katika Katiba yake kwamba Marais wastaafu wawe Wajumbe wa Kudumu wa Kamati Kuu lakini alipoingia Kikwete kama Mwenyekiti wa CCM...
11 Reactions
36 Replies
2K Views
Kama mjuavyo Commonwealth Heads of Government Meeting tarehe 25-26 Oktoba 2024 huko Samoa. Nani anapeleka agenda yetu huko? World Food Summit, Rome, Italy kama kawaida.
2 Reactions
13 Replies
5K Views
Salaam, Hivi sasa, imekuwa kama desturi katika maeneo ya Uswahilini ndani ya jiji la Dar es Salaam, ambapo baadhi ya wagombea huwalipa wanawake na vikundi vya ngoma ili waje kucheza kiholela na...
2 Reactions
6 Replies
353 Views
Back
Top Bottom