Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Sijui kwa nini watawala siku zote wanapoambiwa tumechelewa sana huwa wanakimbilia kuifananisha Tanzania na Marekani huku wakiacha mifano sahihi kama Korea Kusini, Singapore, Malaysia, Vietnam, na...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Kama tunavyofahamu mwaka huu 2024 na 2025 Nchi yetu ya Tanzania itakuwa katika Uchaguzi ambapo mwaka 2024 utafanyika uchaguzi wa serikali za mitaa november 27. Mwaka 2025 uchaguzi mkuu. Sasa kuna...
0 Reactions
0 Replies
133 Views
Tunakumbushana Tu maana kwa Kawaida Binadamu ana hulka ya kusahau alikotoka Prof Kitila alikuwa Injini ya Chadema na Kafulila alikuwa Injini ya Bavicha Uchumi unapaa haupai? Unapaaaaa...
4 Reactions
23 Replies
889 Views
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, katika nafasi yake with full power and Authority kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anasimama kama taa ya matumaini na maendeleo kwa taifa letu...
1 Reactions
10 Replies
714 Views
Mnamo mwaka 1910 nchini Marekani kulikuwa na watu wenye uwezo mkubwa kiuchumi ambao walikutana pamoja katika kisiwa cha Jekyll katika pwani ya Georgia.Watu hawa J.P Morgan,William Rockefeller na...
32 Reactions
101 Replies
20K Views
Wakuu, Kishingo anauliza, mitaa ya kwenu kimeshapita? Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Nadhani mnakikumbuka kisa cha mgiriki aliye sema serikali yote kaiweka mfukoni wakati wa utawala wa Mwl nyerere, Matokeo ya jambo hilo ni nchi kukithiri kwa Rushwa,ubadhirifu wa mali za umma,dili...
3 Reactions
21 Replies
615 Views
Huu ndio Ujumbe wake alioutoa leo huko Katavi Tuendelee kuchukua na kurejesha fomu kwa Wakati
1 Reactions
7 Replies
439 Views
Nimekua nikijiuliza sana kila naposikia kauli za watendaji na viongozi wetu. Utasikia mama katuletea hela kwaajili ya mradi huu. Nabaki na maswali nijuavyo Serikali hujiendesha kwa kodi za...
2 Reactions
6 Replies
447 Views
SHEMSA MOHAMED ASHIRIKI ZIARA YA KIKAZI YA MHE JUMA AWESO ALIYOFANYA MKOA WA SIMIYU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shamsa Mohammed, ameshiriki ziara ya kikazi ya...
0 Reactions
1 Replies
228 Views
Tunapo karibia uchaguzi mkuu pesa itatafutwa kwa njia yoyote ile ikiwemo ya halali na ya haramu. Hatuwezi kupuuzia jambo dogo kama hili la kubadilisha fedha ambazo kimsingi zilisha pita muda wake...
2 Reactions
4 Replies
713 Views
Lema huwa anapenda sana kuleta mambo ya kidini katika siasa kana kwamba dini inaweza kutatua jambo lolote katika siasa, hivi huko CHADEMA kumegeuka kuwa nyumba ya ibada?! Lema aache kuwa...
2 Reactions
64 Replies
1K Views
Hivi karibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa akiwa Mkoani Dar es Salaam katika Ukumbi wa Ofisi Ndogo ya TAMISEMI, alisema jumla ya watanzania 31,282,331...
0 Reactions
1 Replies
167 Views
Kanisa Katokili Nchini kupitia Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Nchini Dkt. Charles Kitima limelaani kitendo cha watoto wadogo kuandikishwa kwa ajili ya kupiga kura kitendo ambacho ni kibaya...
19 Reactions
110 Replies
4K Views
Siku chache baada ya kuzagaa kwa taarifa za tukio la kada wa chama cha mapinduzi(CCM),Ibrahim Shayo a.k.a Ibraline kumshushia matusi mazito meya wa manispaa ya moshi,Zuberi Kidumo,wanachma wa...
0 Reactions
1 Replies
278 Views
Hashim Rungwe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) akihojiwa na Edwin Odemba anasema: “Kila tukienda kwenye mikutano ya vyama vya Siasa CCM inachukua pesa za wananchi...
11 Reactions
14 Replies
2K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi, jana tarehe 27 Oktoba 2024, amezindua soko jipya la Jumbi katika wilaya ya Magharibi B, mkoa wa Mjini Magharibi. Hafla...
0 Reactions
0 Replies
207 Views
25 October 2024 Zuberi Mwinyi Katibu Mwenezi taifa wa ADA TADEA " Wapinzani Hatukujiandaa kwa Uchaguzi wa TAMISEMI 2024, Tusiilaimu CCM https://m.youtube.com/watch?v=WKMTl38WQd8 Zuberi Mwinyi...
1 Reactions
19 Replies
904 Views
Tuliambiwa hata United Kingdom Bandari wamewapa watu.., ni kweli UK hata uzalishaji siku hizi hawafanyi kama zamani magari yao yote ni mali za wengine..., UK baada ya ukoloni kuisha ilijikita...
0 Reactions
0 Replies
182 Views
mwaka 2019 wagombea wengi wa CHADEMA walienguliwa kwa sababu ya mapungufu makubwa kwenye ujazaji wa fomu za uteuzi. Mwaka 2024 CHADEMA wamejifunza somo sasa viongozi wote wanawasaidia kujaza fomu...
0 Reactions
3 Replies
315 Views
Back
Top Bottom