Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
I will be short Roman Catholic sio kabisa . Hili kanisa ukilisupport na kulitumia Kama daraja utashangazwa . Dakika za jioni kabisa 😂😂😂 Hata ujitoe vipi kwao wataludi Kwenye utaratibu wao ...
0 Reactions
25 Replies
1K Views
Kama ulidhani Uchaguzi huu ni lelemama, na labda ulitarajia Wagombea wako watapita bila kupingwa kwa vile kuna kitisho cha kutekwa na kuuawa, basi anza kutafakari Upya Hawa hapa ni Wananchi wa...
11 Reactions
48 Replies
2K Views
Huu ni msimu wa siasa za uchaguzi. Ni katika msimu kama huu kunakuwa na maamuzi mengi ya jazba na mihemko kukomoana na visasi. Hali hiyo hupelekea baadhi ya watu kuhama vyama na kujaribu...
0 Reactions
1 Replies
123 Views
Baada ya kuona mchakato wa ndani wa vyama vya siasa kupata wawakilishi kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nimeona nije na ushauri huu hasa baada ya kuona watia nia wengi wakiwa wanaume, hadi...
0 Reactions
1 Replies
253 Views
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti ambaye pia ni Kamisaa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amewasihi wanachama wa CCM waliokosa uteuzi kugombea nafasi za uongozi wa Serikali za Mitaa katika...
2 Reactions
4 Replies
484 Views
Benki Kuu ya Tanzania inatarajia kuanza kuondoa kwenye mzunguko noti za zamani za shilingi ishirini (20), mia mbili (200), mia tano (500), elfu moja (1000), elfu mbili (2000), elfu tano (5000), na...
12 Reactions
83 Replies
8K Views
Ni zaidi ya Wiki moja sasa tangu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, alipotoa agizo kwa Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwachukulia hatua wale waliohusika katika wizi wa vitabu vya majina ya...
0 Reactions
1 Replies
205 Views
Siku kama ya leo miaka 64 iliyopita alizaliwa mtoto aliyekuja kufufua matumaini ya Watanzania,shida za Watanzania zikapata ufumbuzi,matatizo ya Watanzania akayanunua na kuwa matatizo yake,ikawa...
18 Reactions
61 Replies
3K Views
Uchaguzi Mkuu wa 2025 utakuwa ni wa aina yake sana na wale wanaotegemea kubebwa wajitathmini Kwa Upya CCM Kwa mfano inaingia kwenye mchakato wa uchaguzi bila wastaafu Muhimu RIP Mkapa na RIP...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Sioni sababu yoyote ya watu kukusanyana kwa ajili ya zoezi la kwenda kuchukua fomu tu ya kugombea, kwangu naona ni ishara kuwa wanaofanya hivi lengo lao wakishindwa kwenye uchaguzi ionekane...
0 Reactions
0 Replies
349 Views
Tunakumbushana tu Chagua Kiongozi Kwa kura halali Ili mwisho wa Siku Eneo la nchi Yako nzuri lipate Kiongozi mwenye KIBALI Kutoka kwa Mungu wa Mbinguni mwenyewe Nawe unayetaka kuwaongoza Watu...
0 Reactions
26 Replies
388 Views
Rais Dkt. Samia amewarudishia kanisa katoliki Mkoani Arusha eneo lao walilokuwa wanalimiki kwa muda mrefu na bada uongozi wa Mkoa kwa kushirikiana na halmashauri ya Jiji la Arusha na kisaha...
9 Reactions
85 Replies
5K Views
Nimemsoma yule Dada wa Tandika anayeishi Marekani huko X akiwakatalia Chadema kuwabebea Mabango yao kuhusu Soka wakati Mpendwa Wetu Mh Rais Samia atakapowasili Nchini humo Dada wa Tandika...
3 Reactions
12 Replies
678 Views
Wakuu, Hizi ni rushwa kuwashawishi wananchi wafanye wafanye maamuzi, iwe kwa pesa au visheti vyote ni rushwa. Kwanini vinaachwa kuendelea kufanyika? TAKUKURU mnafanya nini? === Mkuu wa mkoa...
0 Reactions
7 Replies
693 Views
NI BORA KIONGOZI MWENYE MAARIFA KULIKO MWENYE ELIMU
3 Reactions
13 Replies
339 Views
Ndugu zangu Watanzania, Napowaambia kuwa David Kafulila ni Chuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa...
21 Reactions
203 Replies
4K Views
Wakuu mmesikia huko alichokisema Dkt. Mpango kuhusu Mashangazi? Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philiph Mpango, amesema zinahitajika tafiti za kina pamoja na mikakati katika...
29 Reactions
191 Replies
31K Views
Wadau hamjamboni nyote? —— Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa kushirikiana na Wizara ya Katiba na Sheria wamefanya kikao cha kikazi kilichokusudia kuandaa mkakati wa pamoja wa kutoa...
2 Reactions
2 Replies
429 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatatu Oktoba 28.2024 imetupilia mbali shauri lililokuwa limefunguliwa Mahakamani hapo na Watanzania watatu (3) ambao ni Bob Chacha...
0 Reactions
63 Replies
2K Views
Mkutano wa Kumi na Saba wa Bunge utaanza kesho Jumanne tarehe 29 Oktoba 2024 na kumalizika tarehe 8 Novemba 2024 Jijini Dodoma. Shughuli ambazo zinatarajiwa kufanyika wakati wa Mkutano huu ni...
5 Reactions
25 Replies
826 Views
Back
Top Bottom