Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hatuwezi kuwa na Taífa la matapeli, wanyonyaji na dhulma tupu. Alafu serikali ibariki unyonyaji huo.
Inashangaza kumwona Kiongozi akishadadia na kuhamasisha...
Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Maendeleo ya Kidijitali ya Comoro, Muinou Ahamada.
Katika mazungumzo yao, Mhe...
Halima Mdee
Alikuwa Mbunge wa Kawe kuanzia 2010 hadi 2020 (CHADEMA) akiwa miongoni mwa Wanawake wachache walioweza kuingia Bungeni kwa kupitia vyama vya Upinzani. Aliwahi pia kuwa mwenyekiti wa...
Nimeona hii clip ya Waziri wa Ardhi akiongea na wafanyakazi wa Ardhi wenye tuhuma mbali mbali.
Kinachokosekana hapo kwenye kikao ni kahawa na vitafunio.
Waziri ana chat na watuhumiwa, tutafika...
Mbunge wa Chemba, Mohammed Moni ameuliza Swali leo bungeni ambapo amelalamikia asilimia 80 ya miradi ya Maji haijakamilika akiitaja miradi hiyo kwa idadi Isiyopungua 17, Mbunge huyu wa Chemba...
Yunus Nurdin amechukua fomu kugombea Uenyekiti wa Kijiji cha Mihima kilichopo Jimbo la Mtama Mkoani Lindi. Yunus na wenzake walikuwa CCM, wamejiunga ACT wazalendo na kupokewa na Makamu Mwenyekiti...
Pazia la kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa ambao utafanyika mwaka huu 2024 limefunguliwa Jana Oktoba 26, 2024 kwa mujibu wa TAMISEMI.
Zoezi hilo...
Wazee wa vizuizi wameyatimba, Morogoro Road shwari Madambwe ya Rushwa na kubambikia Madereva vyeti yameondolewa.
Tumeshaandika thread nyingi humu kulalamika kuhusu Jeshi letu kuongeza barriers...
Kwa miaka mingi tangu nianze kushiriki chaguzi ze serikali za mitaa, sijawahi kuona uchaguzi ambao CCM itashinda vijiji, mitaa, na vitongoji vyote kama mwaka huu.
Ukitaka kujua hili tazame...
Ndugu zangu Watanzania, kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama...
Nawasalimu nyote katika Jina la JMT
Sasa naomba Majawabu ya Maswali yote matatu Ili niweke sawa kumbukumbu Zangu
Ahsanteni sana
cc: Lucas Mwashambwa na Pascal Mayalla
Ni wazee wastaafu wa mashirika yaliyokuwa chini ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kama Posta, railway n.k
Kwa kawaida huwa wanapokea pensheni zao kila baada ya miezi 3 lakini safari hii mpaka leo...
Kwa sasa, Bunge linaendelea na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza maswali na mawaziri wanatoa majibu kwa hoja zinazotolewa.
Endelea kuwa nasi tukifuatilia yanayojiri moja kwa...
Spika kabisa unaona poa kushadadi ajira za kujitolea yaani mtu anasoma mpaka university halafu manaona kumpa cheap labour ndo halali yake, kweli.
Badala ya spika wa bunge kukemea hilo we ndo...
Tukianza na Sugu Lema Lisu Zito Mbowe na kama msigwa asingetoka na mdee kujichanganya basi walikuwa wanarudi vilevile.
Nilitegemea kuona sura mpya baada ya miaka takribani 15 lakini hakuna dalili...
Ni wazi kuwa Tanzania ipo katika msimu wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu, ambapo Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inatarajia kuandaa Kanuni za Maadili ya Uchaguzi. Hii itafanywa kwa...
Salaam Wakuu,
Kwa mujibu wa Taasisi ya Kitaifa ya Kidemokrasia (NDI), katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, wanawake waliochaguliwa kwa nafasi za ubunge ni asilimia 9.5, wabunge wa viti maalumu ni...
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Ninaombi moja kutoka kwenu, wanajamiii forum.
Ninaomba tuanzishe kampeni ya kupinga Rushwa, mafisadi na uchawa wote, hawa ndio adui wa taifa letu hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.