Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wahariri wa TBC siwaelewi, wana access ya Mkuu wa Majeshi, Msemaji wa Jeshi, lakini bado wanakosea. Hata katika taarifa ya habari ya saa moja usiku wa leo, habari inahusu Mkoa wa Mwanza, caption...
4 Reactions
65 Replies
2K Views
Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mtaa wa Viwandani kata ya Unga Limited Jijini Arusha, wametishia kutompa kura za ndio mgombea wa uenyekiti wa mtaa huo kupitia chama hicho...
1 Reactions
2 Replies
543 Views
Katika kikao kinachoendelea bungeni Mbunge Ndaisaba Ruhoro wa Ngara alihoji kuhusu maboresho ya pensheni za wastaafu kutokana na kupanda kwa hali ya msisha. Naibu Waziri Katambi kajibu kwa hoja za...
2 Reactions
1 Replies
191 Views
▪️Agawa viti mwendo 20 kwa wanafunzi na wenye ulemavu ▪️Mbunge Keisha apongeza juhudi za Mbunge Mavunde kwa watu wenye ulemavu 𝐃𝐨𝐝𝐨𝐦𝐚 Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde amegawa...
0 Reactions
0 Replies
130 Views
Inaniuma sana kuona mimi raia wa kawaida kabisa nisiye na taaluma yoyote ya mambo ya ujenzi ninaweza kufikiri hatari ya kujenga pale jangwani kwani inajulikana kabisa kuwa ule ni mkondo wa maji...
1 Reactions
1 Replies
222 Views
Zitto Kabwe amesema kuwa ofisi ya mtaa ni ya raia wote, baada ya kukuta CCM wamejenga Jiwe la Umoja wa Vijana CCM mbele ya ofisi ya serikali ya mtaa ya Bujimile, kata ya Nyamhongolo huko Ilemela...
2 Reactions
17 Replies
488 Views
Tangu Bashungwa amekabidhiwa wizara hii ni wazi na ukweli ulio wazi ameharibu kila kona hasa kule Tanroad! Cha kushangaza zaidi ni uamuzi wake wa kuruhusu barabara ambazo hazikabidhiwa kuanza...
5 Reactions
22 Replies
978 Views
Habari JF , binafsi ni mnufaika wa mfuko wa Taifa wa bima NHIF niseme sijawahi jilaumu kwa kujiunga humu kulingana na michango na huduma nazo zipata . Tumesikia mengi sana kuhusu NHIF na...
1 Reactions
13 Replies
809 Views
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amewaelekeza wasimamizi wa uchaguzi katika mamlaka za serikali za Mitaa kuendelea kuhamasisha na kuweka mabango yanayoelekeza vituo vya...
0 Reactions
3 Replies
345 Views
Imeelezwa kuna uwepo wa mgogoro wa viongozi wa CCM katika Mtaa wa Nera, Kata ya Isamilo, Manispaa ya Nyamagana. Hayo yanajiri baada ya viongozi kutohitaji uwepo wa jina la Mwenyekiti aliyemliza...
1 Reactions
2 Replies
330 Views
Nakupongeza sana Fr. Kitima kwa kutoa Elimu ya Uraia kwa Waamini wako. Waamini wengi hawajihusishi na Siasa kwa kudhani kwamba ni dhambi, kumbe sivyo. Tunapoelekea kufanya uchaguzi wa serikali za...
7 Reactions
17 Replies
666 Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema wamejipanga kuwafikia wananchi kupitia ziara zinazofanywa na viongozi wao ikiwa ni maandalizi kuelekea uchaguzi...
2 Reactions
7 Replies
516 Views
Tanzania ni taifa ambalo katika miaka kadhaa nyuma lilikumbwa na mauaji makubwa ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) haswa kipindi cha uchaguzi kilipokuwa kinakaribia. Licha ya matukio hayo...
1 Reactions
1 Replies
197 Views
Ni Habari njema watanzania ni kikao cha wajuvi wa mambo kilikaaa sirini toka Magufuli afariki Dunia ikawa kwamba Samia ni nahodha tu anyeivusha meli upande wa pili wa pili baada ya Nahodha mkubwa...
11 Reactions
65 Replies
5K Views
Wakati zoezi la uchukuaji fomu za kugombea uenyekiti na ujumbe wa serikali za mitaa likiendelea nchini, wakazi wa Mtaa wa Kambarage mjini Njombe wameomba kampeni za kistaarabu zisizo na lugha za...
0 Reactions
1 Replies
201 Views
CPA Amos Makalla ametoa angalizo kwa vyama vya upinzani hususan CHADEMA kuwa kimeanza kutafuta visingizio vya kishindwa uchaguzi wakati ambapo hakijajiandaa kabisa na uchaguzi. “unachokipanda...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Mtendaji wakitongoji cha Idugumbi kata ya utengule usongwe Jimbo la Mbeya vijijini amekimbia Ofisi nakuzima simu zake zote. Kumekuwepo na huu mchezo ofisi za vijiji na mitaa kufungwa muda ambao...
1 Reactions
20 Replies
902 Views
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, wananchi wamehimizwa kushiriki kikamilifu katika kampeni za wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi. Wito huo...
0 Reactions
2 Replies
250 Views
Bila shaka wote wazima, afya njema. Mchawi wa taifa hili pendwa la Tanzania kwa uwelewa wangu sio katiba, bali ni kukosa mifumo bora ya uwadilifu na uwajibikaji. Hii ni kuanzia ngazi ya familia...
4 Reactions
25 Replies
450 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa kila jambo na wakati wake na majira yake kwa sababu maalumu.huu ni wakati na muda muafaka kabisa kuchapisha noti zitakazokuwa na picha na sura ya Rais wetu Mpendwa na...
-11 Reactions
320 Replies
5K Views
Back
Top Bottom