Wakuu,
Baada ya JK kusema siku chache zilizopita kuwa ukitaka nchi itulie wewe kamata wazee, inaonekana vijana wa UVCCM wameanza kupita mule mule
Shamira Mshangama ambaye ni mwanafamilia wa WCB...
WAFANYAKAZI WA UBALOZI WATEMBELEA MJI MKONGWE WA COMORO
Wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro wametembelea mji mkongwe wa Comoro na kujionea maeneo yanayoweza kuwa na ushirikiano na...
Tamko la Maimamu Tanzania kwa Ummah kufuatia kikao cha dharura kilichofanyika leo tarehe 27, Oktoba 2024.
Lifuatayo ni TAMKO LA AZIMIO LA MAIMAMU KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.
TAMKO...
Salaam Wakuu,
Ni aibu kubwa baada ya miaka 60 ya uhuru kuona Watanzania bado Wanajisaidia Vichakani.
Hii inatokana na kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa Wasiowajibika.
Uchaguzi wa 2024 uwe...
Salaam Wakuu
Kipindi cha Kampeni, kumekuwa na tabia ya Wanasiasa ya kubandika Mabango ya Kampeni kwenye Mitaa, Barabarani na hata kwenye kuta za nyimba za watu. Lakini Uchaguzi Ukiisha hawarudi...
KIchwa cha habari kimejieleza tayari punda haendi bila mijeledi utawala wa awamu ya tano ulikuwa bora sana kuwahi kutokea nchi hii kulikua na heshima sana husikii nguchiro anapiga kelele!
Hapa bongo kuna kila aina ya vituko moja ya kituko kinacho niacha hoi ni huu utaratibu wa viongozi wa kitaifa eti kuifanya wanahamasisha michezo wakati ukweli ni kwamba wanajijenga zaidi kisiasa...
Ujumbe umewafikia Chadema na Mabwana zao Mabeberu.👇👇
Ndugu zangu wananchi ili tuendelee kupata tunayoyapata haya miradi ya kila aina, vituo vya umeme na mambo mengine msiende kufanya makosa...
Habari za muda huu,
Naamini nafasi za uongozi zinahitaji watu wenye akili na uelewa (intelligence), siyo tu kuwa na ushawishi au pesa. Tanzania kwa sasa, tunaongozwa na watu wenye nguvu ya...
Wale Wakongwe mnakumbuka tulivyofanya udalali kwa Wahindi kwenda kuwabadilishia Fedha zao BoT
Hili zoezi la Sasa la Dr Mwigullu PhD na Prof Kitila limenikumbusha ile Vita ya Wahujumu Uchumi chini...
Huku mkoani Geita, Mtaa wa NMC kumekuwa na udanganyifu mkubwa sana wakati zoezi la uandikishaji likiwa linaendelea.
Kumekuwepo na suala la uandikishwaji hewa wa Wapiga Kura huku idadi ya Watu...
Hili andiko Kutoka Kitabu Kitakatifu limenijaza Moyo wa Shukrani Kwa Mungu wa mbinguni
Hizi ni Siku za Mwisho na Timotheo ameelezea habari ya Hatari za Siku za Mwisho
Moja ya hatari hizo ni...
Machawa wa Hasina wa Bangladesh kwa Sasa wanaojua shubiri. Wanaishi maisha ya kujificha na wanawindwa kweli popote walipo. Ila muda wa miezi michache wao ndio walikuwa wababe wa Bangladesh na...
Nama la mama raisi wetu kipenzi
Raisi Samia Suluhu Hassan
Nani Kama mama
Wenye kumtungia uongo wajinyonge
https://m.youtube.com/watch?v=OllZtjchN2U&pp=ygURSksgYWZ1bmdhIG1hZnVuem8%3D
Somo...
Baadhi ya Wakazi katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamepewa elimu juu ya umuhimu wa marekebisho ya Katiba iliyopo sasa.
Wakufunzi katika mafunzo hayo Mwl. Deus Kibamba ambaye ni Mhadhiri wa...
Watu wengi wanachukulia kuwa Iran na Israel ni maadui wakati wote, na wengine kwa kutoelewa wanadhani uhasama wa Israel na Iran umechangiwa na utofauti wa imani za kidini. Kama unafikiria hivyo...
Mkuu wa mkoa wa Singida mh Halima Dendegu amewataka Wananchi kujitokeza kupiga Kura 27 November kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa
RC Halima amesema Kupiga Kura ni swala lililoanzishwa na...
Habari wakuu. Kwa wale tunaomfahamu MH Balozi Humphrey Polepole tangu miaka ya 2010 tunaweza kukiri kuwa amebadilika sana.
Alikuwa ni Mwanaharakati mpenda maendeleo na haki sawa kwa wote. Mpenda...
Akiongea katika Ibada ya kuwaaga Watumishi wa Dayosisi ya Kati, Singida Majini, amesema Raisi Samia hakuingia madarakani kwa bahati mbaya Bali kwa Mpango wa Mungu.
Amesema Raisi Samia haitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.