Hii ilikuwa mwisho mwisho mwa mkutano wa hadhara uwanja wa Sheikh Amri Abeid juzi kule Arusha. Sikupata kwa ukaribu zaidi nini kilitokea lakini Mh.Rais aliwamaind sana watu walioandaliwa...
Nimepitia siasa za nchi hii, nimeona majimbo yafuatayo yatacjukuliwa na chadema kwenye uchaguzi mkuu 2025.
1. Kisesa
2. Mbeya Mjini
3. Arusha mjini
4. Kongwa
5. Iringa mjini
6. Hai
7. Arusha...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukimuangalia Rais Samia Unagundua ya kuwa Muda wote amejaa ari,nguvu na hamasa kubwa sana ya kufanya kazi. Unaona muda wote akiwa na morali na utayari wa kuwatumikia...
Kiutawala, mitaa ,vijiji na vitongoji ni ngazi iliyo karibu zaidi na wananchi na uchaguzi wa Serikali za mitaa ,vijiji na vitongoji ndio kipimo Cha vyama vya siasa kujipima kukubalika kwao na...
Mchujo wa ndani ya CCM chaguzi huwa mkali mno wa nani astahili kugombea. Pesa ,Rushwa huwa si kigezo cha mtu kuteuluwa na chama kugombea nafasi ndio maana Lowassa na pesa zake nyingi alishindwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona kwa siku za karibuni kuona Waziri au Mawaziri wakifanya kazi ya kukagua ama kuzindua ama kutembelea miradi isiyo chini ya wizara zao. Sasa katika utaratibu huu...
Askofu Dr Bagonza amesema Padre Martin Luther alipigilia bango lenye Hoja 95 kwenye Lango Kuu la Kanisa pale Ujerumani na kuleta Matengenezo ya Kanisa
Padre Martin Luther akawa Mchungaji...
Inaweza kuwa pia Chanzo kizuri cha mapato ya Serikali
Badala ya kulipishwa faini ya tsh 30,000 kwa kutanua wakati wa kukwepa foleni ni Heri magari binafsi yaruhusiwe kulipia barabara za...
Rais Mstaafu Kikwete nakusalim kwa jina la jamuhuri ya Muungano.
Ama kwa hakika nimekaa nikatafakari nakitafakuri nikasema niandike jambo kwenye JamiiForums labda watuwako wanaweza kukupa usome...
Habari za Jumapili Wanabodi,
Kati ya maeneo ambayo inawezekana Tanzania hatujaweza kuyatumia vizuri kunufaika kiuchumi basi ni hili eneo la Siasa ya kutofungamana na Upande Wowote
Sote tumeona...
John Nchimbi Mkurugenzi wa Halmashauri ya jiji la Mbeya amesema katika jiji hilo, hakuta kuwa na mwanafunzi atakayekaa chini kwa kukosa madawati baada ya miaka mitatu.
"Tunataka Mbeya iwe ya...
Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa...
Siku za karibuni kwa wafuatiliaji wa mambo ya ndani ya Nchi na Siasa za Bongo kumekuwa na kasumba ambayo haijazoeleka ya mawaziri kufungua au kukagua miradi isiyo ya sekta anayoisimamia. Ivi...
Zoezi hili limekuwa la AIBU kubwa kwa nchi inayoongozwa kwa sheria, taratibu na kanuni. Iweje marehemu, watoto wenye umri wa chini ya miaka 18, walioachana na waume zao na hawapo kwenye eneo...
Kuandikisha watoto ili kuiba kura mshinde muunde Serikali mnaweza, mna kila mbinu za wizi wa kura ili muongoze ila hamna mbinu za kutatua changamoto za mnaolazimisha kuwaongoza.
Au akili huishia...
Baada ya kupitia takwimu ya sensa 2022 ina jumla ya wananchi wapatao 61 mil. Na inaonyesha watoto wa Tanzania bara ni 29.365 mil sawa na 49.1%
Waziri TAMISEMI ameripoti idadi ya wapiga kura 31...
🇪🇹 Ethiopia surpasses export revenue goals, reaching $1.5 billion in first quarter of the current fiscal year
Ethiopia’s Ministry of Trade and Regional Integration has reported that export...
Tafakari
Wazanzibar ni Watu wanaojitambua sana tofauti na Watanganyika
Nawaangalia hapa ACT Wazalendo Zanzibar na ACT Wazalendo Tanganyika ni kama Vyama tofauti Kabisa
Au nasema uwongo ndugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.