Sugu wa Chadema eti anataka ashindane na mtu wa maana kabisa na mwenye kuipa Heshima Nchi na Bara la Africa.
Sidhani kama huko Mbeya Kuna watu wajinga.👇👇
My Take
Ila na sisi Watanzania Huwa...
Israel na Iran, zote zimekiri kuwa Israel, kabla ya kufanya shambulio dhidi ya Iran, kwanza iliitaarifu Iran juu ya muda na maeneo ambayo ingeyashambulia. U aweza kushangaa na kujiuliza, lengo...
WAZIRI NDEJEMBI AMEMUELEKEZA KATIBU MKUU WIZARA YA ARDHI KUWACHUKULIA HATUA ZA KINIDHAMU WATUMISHI 7 WA WIZARA YA ARDHI
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimefanya uchunguzi ,utafiti na ufuatiliaji mkubwa sana juu ya nafasi ya ubunge ndani ya CCM.nimekuja kuona kuwa mwakani kutakuwa na mnyukano mkali sana na ushindani wa...
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba leo tarehe 26/10/2024 kipyenga cha uchukuaji wa fomu za kugombea uenyekiti wa Serikali za Mitaa kimepulizwa Rasmi.
Na hivi ndivyo Chadema ilivyofanya...
Kwa nini hakwenda Samia na Waziri Kombo kama alivyokwenda Indonesia na Januari.?
Mi nadhani nchi yetu ina special relationship na UK,rais alipaswa kwenda kwenye ule mkutano.
After all Malkia ndiye...
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangala amesema kama Yeye angekuwa ndio mtoa maamuzi angepiga Marufuku Kamali na viambata vyake
Dr Kigwangala amesema hata kukusanya Kodi kwenye kamari ni haramu...
Dunia inakwenda kukutana na mabadiliko makubwa ya Kiuchumi katika siku chache zijazo
Tayari BRICS wamezindua pesa yao katika kukabiliana na mabadiliko hayo
Naomba kujua ndani ya Bunge la JMT...
RAIS SAMIA KUZINDUA RASMI ZOEZI LA KUANDIKISHA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atazindua rasmi Zoezi la Kuandikisha Wapiga...
Nichukue nafasi hii kuwakumbusha Watanzania wenzangu wote kuwa serikali za Mitaa ni muhimu na ndiyo sauti ya wananchi hivyo tujitokeze kujiandikisha katika daftari la mpiga kura.
Bila kujali...
Wabunge ambao walikuwa nauwezekano mkubwa wakuwa Mawaziri lakini hawajafanikiwa. je Ni kwanini.?
Naanza na Mh Charles Kimei mbunge wa jimbo la Vunjo.
Huyu watu wengine tulijua anaweza kuwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuanzia kesho Nchi inakwenda kusimama pale ambapo kutakuwa na zoezi la uchukuaji, ujazaji na Urejeshaji wa Fomu za serikali za mitaa katika maandalizi ya uchaguzi...
Aibu sana yaani kama vile takukuru haina makali maana hata waajiriwa wapya hawaogopi kabisa kufanya udanganyifu.michezo hii tunajua ipo kwa wakubwa huko ma senior waliozoea kazi ila cha...
Wakuu,
Naombeni mawazo yenu hapa tukikumbuka kuwa kushiriki siasa siyo tu haki ya kila mtu, lakini pia ni fursa ya pekee ya wanawake kuchangia kwenye maamuzi ya nchi, yanayoathiri maisha ya kila...
MWANAMKE ANAHAKI YA KUONGOZA TAÍFA HILI. WATU WAELEWE NCHI YETU HAIONGOZWI NA DINI WALA MILA NA DESTURI BALI INAONGOZWA NA KATIBA YA NCHI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Jàmani! Jàmani...
Habari wakuu,
Tunaelekea kwenye zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa/vijiji ambapo watanzania maeneo mbalimbali nchini watapata fursa ya kuwachagua viongozi ambao wanaamini watawasadia kuleta...
Chadema jaribuni kupunguza matumizi ya anasa ili mjenge chama;
1: Mikutano ya kamati kuu inafanyika kwenye hotel zenye hadhi ya nyota tano.
2: Viongozi wakuu kutembelea magari ya anasa.
3...
Kwenye kipande hiki cha video, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Benson Kigaila, anafichua udhaifu wa chama chake kwa jinsi walivyojaa vitisho visivyo na msingi na msimamo usio thabiti kuhusu chaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.