Kama kuna la kujifunza wengine wajifunze sasa. Na ni lazima wajilazimishe kutambua ya kwamba kuna kesho. Na kesho ni kubwa kuliko leo
Watoto wa wanasiasa.. Wazazi wenu baadhi mikono yao imejaa...
1. Mimi nadhani, my intuition inaniambia kuwa kufuatana na hali ya sasa ya usalama wa wananchi na yanayoendela ya utekaji, and the like, ANGELITEKWA NA KUPOTEZWA
Wewe unasemaje?
Serikali inapaswa kuangazia kwa makini hali ya mji wa Moshi, uliopo mkoani Kilimanjaro, ambao umekuwa ukivunja rekodi nchini Tanzania. Kuitwa mji wa kwanza kuingiza malori yenye uzito wa tani 80...
Mwanaume aliyenukuliwa katika kipande kifupi cha video kwa kauli yake tata kuhusu jinsia yake baada ya kudai kuwa yeye ni mwanamke, licha ya kuwa ni mwanaume kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi...
Wanabodi
Juzi September Mosi Imetolewa taarifa ya Ikulu kumhusu aliyekuwa Balozi Dr. Wilbroad Slaa kufutiwa hadhi ya Ubalozi, taarifa hiyo ya Ikulu haikutoa sababu za kumfutia hadhi hiyo ya...
RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.
Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu...
Wakuu ni rasmi sasa mnara wa babeli wa CCM unaaanza kuanguka.
Huko Kigamboni kwenye mkutano wao wa ndani ya chama umevurugika na kumetokea vurugu wakati wapo kwenye mchakato wa kura za maoni...
Ukisikia uhaba wa Vitambulisho vya NIDA usifikiri ni kwa wote, ni Watanganyika pekeee ndio wanao tembea na number badala ya Kitambulisho, wageni wanavyo sasa sijajua Wageni na Watanzania wenye...
Naona JK hapendezewi na kamata kamata ya wapinzani na kuwabana wasifanye siasa...ndani ya nchi......Mzee wa Demokrasia!!
========
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ameelezea umuhimu wa utawala bora...
Habari za uzima ndugu zangu. Siku za hivi karibuni nimekuwa nikisikia neno "Bunge la Wananchi" najiuliza bunge hili lipo kisheria? Lilichaguliwa lini? Liliteuliwa lini na nani kwa madhumuni gani...
Mimi ni mmoja wa makada wa CHADEMA ambao tulikuwa tunasimamia uchaguzi mkoani Geita eneo la NMC
Kama moja ya wasimamizi wa uchaguzi huo, mara baada ya majina kubandikwa nimegundua udanganyifu...
Wakuu,
Tumefikia huku, watu tumekuwa wazito kushiriki kwenye shughuli za uchaguzi na siasa kwa ujumla mpaka ka hela kahusike!
===
Mbunge wa jimbo la Isimani ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi...
Huko Babati kuna mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa kijiji,ameambulia kura moja kijijini kwake.
Cha ajabu ana mke na watoto kadhaa hapo kijijini
Kaibiwa kura? Familia imemtosa?
Mimi na wewe...
Hisia ,chuki na mihemko vikitawala mambo mengi sana huwa hayaendi sawa.
Ripoti za CAG zinatolewa, madudu mengi yanaonekana, pesa nyingi zinaliwa na kupotea.
Kwa sasa hali ilivyo utapiga mtoto...
Mfano mzuri ni huu Uchaguzi wa Serikali za mitaa huwezi kukuta CCM au hata Chawa wake akina Lucas, Choicevariable na Mchungaji Msigwa wakivizungumzia Vyama vingine zaidi ya CHADEMA
Tumeambiwa na...
1. Ujaji ni "fadhilia" ya Executive arm
2. Bado kwa nyakati za KATIBA hii, hakuna jaji anyeweza kutoa maamuzi dhidi ya Bunge. Lazima apigiwe simu kama alivyosema Rostam.
3. Kuna kesi nyingi...
NA AMRAT KOMBO, ZANZIBAR
Usawa wenye hadhi sawa unamaanisha kwamba watu wote katika jamii wanapaswa kuwa na fursa sawa za kushiriki katika ngazi ya maamuzi na uongozi. Hali hii inategemea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.