Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Umaskini barani Afrika ni chanzo cha ufisadi wa vizazi na vizazi tangu uhuru. Tatizo hili haliwezi kutatuliwa katika nchi yoyote na rais fisadi. Mungu atupatie rais mwenye sifa za kupambana na...
22 Reactions
67 Replies
3K Views
Mdude anachokisema inaonekana hakijui lakini acha tumweleweshe. 1. Katika historia, viongozi kama Mobutu Sese Seko wa Zaire waliendesha tawala za kidikteta kwa kulazimisha watu kuwa wanachama wa...
2 Reactions
19 Replies
794 Views
Salaam, Shalom!! Utulivu kiasi umeendelea kutamalaki mioyoni mwa Watanzania wenzangu baada ya kuondoshwa Kwa waliokuwa mawaziri vijana wa Makamo / Wazee wachanga, Nape Nnauye na January Makamba...
5 Reactions
57 Replies
2K Views
Hizi falsafa zinabebwa na ujumbe gani? Ndani ya fumo mzima wa jamii ambayo unategemea msaada kutoka inchi za ulaya na Marekani. Nchi yetu inasafari ndefu sana kuanzia juu mpaka mizizi ni uozo...
1 Reactions
3 Replies
138 Views
UKALI WA MCHENGERWA KWA WAKANDARASI NI CHACHU KATIKA KUKAMILISHA MIRADI KWA WAKATI. Na, John Swai Mhe. Mohammed Mchengerwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Na Mwandishi Wetu, ARUSHA MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha imeutaka upande wa mashtaka katika kesi ya Uhujumu uchumi inayomkabili Mfanyabiashara na Mwekezaji Saleh Salim Alamry (54) na mwenzake...
1 Reactions
5 Replies
804 Views
Msimamizi wa Uchanguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wilaya ya Nachingwea mhandisi Chionda Kawawa ametangaza rasmi jumla ya vituo 525 vitatumika kupiga kura katika uchaguzi wa mwaka...
0 Reactions
0 Replies
254 Views
Wakuu, Hili suala limenitafakarisha. Nchi hii ina watu wengi wenye asili ya Asia , wengi Sana. Ajabu ni nadra kukuta kiongozi serikalin ni wa jamii hizo. Je watu hawa hawana elimu au nin sababu...
10 Reactions
155 Replies
7K Views
Hiki ni kihoja cha mwaka wakuu Mgombea wa Uenyekiti wa Kitongoji wa Chama cha Mapinduzi (CCM) huko Makete amezua gumzo baada ya kudai kuwa yeye ni mwanamke, licha ya kuwa ni mwanaume. Tukio hilo...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
RAIS SAMIA ANAWAJIBIKA UJENZI WA VYUO VYA UFUNDI - VETA NCHINI. Ujenzi wa vyuo vya ufundi (VETA) umefungua Fursa kwa vijana kujifunza fani mbalimbali. Huu ni uwekezaji Mkubwa katika kuimarisha...
0 Reactions
0 Replies
200 Views
NA. MWANDISHI WETU – WINDHOEK NAMIBIA Tanzania itaendelea kuimarisha misingi ya uhusiano wa diplomasia baina yake na nchi ya Namibia katika kuimarisha mahusiano yaliyopo katika nyanja mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
195 Views
Matarajio ya CCM kushinda viti vingi vya wagombea wao katika Uchaguzi ujao wa Serikali Mitaa huenda yasitimie kwa sababu ya figisu za wao kwa wao kwenye uteuzi wao wa ndani hali itakayopelekea...
4 Reactions
15 Replies
820 Views
Achana na kile kituko cha jana kwenye utambulisho wa mkandarasi wa kichina kupitia kampuni iitwayo CCC.. KItuko chenyewe ni kitu kipya nilichokisikia kwa mara ya kwanza pochi la mama/ pochi la...
18 Reactions
69 Replies
10K Views
Viongozi mjifunze si lazima kiongozi akate utepe kuzindua kitu .Arusha mtoto akata utepe kwenye shule ya msingi aliyokarabati kwa pesa zake akiwa na ndiye mgeni Rasmi...
17 Reactions
60 Replies
4K Views
Taarifa yao waliyoisambaza kwa vyombo vya Habari hii hapa Maandamano ya amani Jimbo la Arusha mjini ya kupinga ukiukwaji wa taratibu na kanuni kwenye zoezi la uandikishaji wa daftari la wapiga...
7 Reactions
48 Replies
2K Views
Tanzania tuliweka maandamano ya amani kisheria Kwasababu tunajua kuwa amani Haiwezi kuvuruga mani ya nchi, lakini hivi karibuni kumekuwa na baadhi ya askari wanaopinga uwepo wa maandamano hayo ya...
1 Reactions
0 Replies
142 Views
Viongozi wa nchi za Madola zilizoathiriwa na biashara ya Utumwa wamepanga kuitaka Serikali ya Uingereza iwalipe fidia Miongoni mwa nchi Hizi zenye madhara ya Utumwa hadi Leo ni Tanzania Madai...
6 Reactions
31 Replies
733 Views
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola wamekutana Oktoba 24, 2024 kujadili na kupitisha ajenda Kuu ya Mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola (CHOGM) ya...
0 Reactions
0 Replies
229 Views
Maji ni muhimu sana kwa maisha ya viumbe hai. Sasa inapotokea huduma hii haipatikana tena kwa nchi iliyobarikiwa vyanzo vingi vya maji kama Tanzania, natatizika sana moyoni mwangu. Wenzangu...
3 Reactions
18 Replies
558 Views
Taarifa za kusikitisha kutoka Wilayani Kyela zinaeleza kwamba, ule Mradi mkubwa wa ujenzi wa Barabara kutoka Ibanda (Njia panda ya boda) hadi Kajunjumele kuelekea Itungi Port umeyeyuka huku...
3 Reactions
31 Replies
794 Views
Back
Top Bottom