Watanzania wameshuhudia matamshi ya aliekuwa mtendaji mkuu wa chama wa zamani na msomi Dr Silaa akilalamika hadharani kuwa CHADEMA aliyotegemea ni tofauti na uhalisia kwa maana imepoteza mfano na...
Huu utaratibu ni mbaya na una dosari nyingi sana. Kama kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea ana kadi yake ya kupigia kura sasa kwa nini katika uchaguzi huu ingependeza kila...
Awamu ya sita ilipoingia madarakani hakuna rangi ambayo hatukuiona,mara ooh awamu ya tano ilitumia kodi za dhuluma.
Mara ooh walikuwa wauaji na watekaji mara ooh waliiba hela mara ooh uchaguzi...
Ushiriki wa vijana wa kike kwenye uchaguzi nchini Tanzania ni suala muhimu katika kuimarisha demokrasia na kuhakikisha uwakilishi sawa. Vijana wa kike wanakumbwa na changamoto nyingi, kama vile...
Wakuu jioni inaenda njema?
Ni kwamba safari hii hawana mpango wa kukamatwa wakiwa wanabox ya kura, mbinu hii ishasemwa sana na wao wenyewe, wakirudia tena saivi wameona upepo umeshabadilika...
Baada ya Dar kurejeshewa hadhi yake ya jiji, Je kuna haja ya Dodoma kutenguliwa hadhi haki ya jiji na kurejeshwa kuwa manisipaa tu?
Ukitizama vizuri Dodoma haina tofauti kubwa na Manisipaa ya...
Vurugu zimezuka kura za maoni Uchaguzi wa kumpata mgombea atakaekwenda kupeperusha bendera Serikali za mitaa Chama cha Mapinduzi mtaa wa Mwanga mkoani Kigoma mara baada ya wananchi kutoridhika na...
Ieleweke kwamba Sina kinyongo kwa mji mdogo na duni kama Dodoma kupewa hadhi ya jiji
Lakini je Kauli au amri ya Kiongozi ina uhalali wa kubadili Mji mdogo kuwa Jiji ? Huo ndio utaratibu wa...
Katika Kata ya Ibadakuli, Manispaa ya Shinyanga, kumetokea sintofahamu kubwa kati ya diwani wa kata hiyo, Msabila Malale, na diwani wa Vitimaalumu, Zuhura Waziri, wakati wa zoezi la kura za maoni...
ZIARA YA KATIBU MWENEZI ZANGINA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA, MALINYI
Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Ndugu Zangina S. Zangina katika...
Serikali imetangaza SGR imekusanya bil 15 kwa miezi hii michache japo haijasema matumizi ni kiasi gani bado kuna dalili njema kwamba mambo ni mazuri.
Serikali iuze share kwa watanzania , ili...
Tuweke siasa pembeni, lakini ni mtazamo wangu kama nakosea mtasema.
Ukifuatilia wagombea wengi wa serikali za mitaa ni darasa la saba, au hawajasoma kabisa na watu wa kipato cha chini je serikali...
Rejea thread hii kwanza:
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma yawasilisha malalamiko kuhusu Prof. Eliamini M. Sedoyeka
Pia soma majibu ya Prof. Sedoyeka hapa:
Majibu ya Mkuu wa Chuo cha...
Leo kwenye kipindi chao cha minyama kitenge ametoa maoni yake ya kwamba hivi sasa watu wanapenda kugombea nafasi ndani ya CCM kuliko awamu iliyopita kwa sababu awamu iliyopita kuna maeneo watu...
Katika falisafa ya Uongozi Matumizi ya nguvu sana huwa siyo jambo linalopewq kipaumbele.
Mwanafalsafa mmoja aliwahi kufananisha Matumizi ya nguvu na Sabuni.
Unajua kadiri unavyoitumia sana...
Duniani kote hakuna kitu kinachoogopwa na serikali dhalimu kama idadi kubwa ya wapiga kura.
Baada ya Tume inayosimamia uchaguzi TAMISEMI kudanganya idadi halisi ya waliojiandikisha, kazi iliyo...
Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura Serikali za Mitaa umefanywa ‘kihuni sana’ hapa Songea
Moja ya changamoto kubwa ambayo niliiona katika mchakato wa Uandikishaji Wapiga Kura katika Daftari...
Kuna tabia ya ajabu hapa stand kuu Arusha, mabasi makubwa hasa yanayotoka Moshi hayapakii abiria hata km kuna nafasi. Ila matajiri wanamdharau huyu rais wa sasa, haya mambo sikuyaona kabla, wakati...
Kata ya Msigani inapatikana Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam, Kata hii inajumla ya Mitaa mitano ambayo ni Mtaa wa Msigani, Mtaa wa Temboni, Mtaa wa Malamba Mawili, Mtaa wa Msingwa na Mtaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.