India kama ilivyo China ni mzalishaji mkubwa wa pikipiki hasa kuna Brand nyingi sana ikiwemo Boxier ambazo zinauzwa sana huku Tanzania na zinapendwa sana na ni moja ya pikipiki ghari sana.
Wiki...
Makalla hana :-
1. Hoja na hajui kujenga/kupangua hoja (argumentative ability)
2. Mvuto kwa watu na hawezi kuiteka hadhira anapoongea.
3. Uwezo wa kutangulia mbele ya hoja yake na kuangalia...
Wakuu Kwema!
Leo nimekutana na moja ya mwanasiasa kutokea chama cha Mapinduzi ( CCM ) akijipigia kampeni kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa.
Tunafahamu kwamba CCM wametangaza ratiba za...
Hali ya sintofahamu imeibuka katika kitongoji cha kwa Kibosha, kata ya Mapinga wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, baada ya zoezi la kupiga kura za maoni, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)...
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Chatanda ni mmoja kati ya washiriki katika zoezi la kupiga kura za maoni kuchagua wawakilishi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga...
Naomba kuuliza kwenye huu uandikishaji wa daftari la wapiga kura ACT Wazalendo mbona hawaonekani kabisa? Naona vita kubwa kati ya CHADEMA na CCM tuu?
Nimetembelea mikoa ya Geita, Kagera, Mwanza...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, ametoa wito mzito kwa wanachama wa Chama cha Mapinduzi na wananchi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, akisisitiza...
Baada ya zoezi la uandikishaji kukamilika na waziri wa Tamisemi kutangaza kuwa walijitokeza kujianidkisha katika taftari la kupiga kura la wakazi, na Dodoma ikitajiwa kuwa na idadi kubwa ya...
Katika shindano la stories of change 2024 nilieleza kuwa katika uhalisia utaratibu uliopo wa tume huru ya taifa ya uchaguzi kuundwa na mgombea wa chama tawala sio sawa wala sio demokrasia...
Hivi sisi waafrika tunawezq nini hususani watanzania? UDART inakufa afadhri kupanda daladala kuliko kupanda hizi takataka wanazoita mwendo kasi.
Kutokq moroco tu mpaka kariakoo unatumia masaa...
Wakuu Salaam
Katika Swla la Upoteaji na utekaji wa Watu, Watu wa tiba Mbdala na Hospitali zichunguzwe biashara ya figo na viungo vya binadamu Tanzania
Tunaweza Walaumu Polisi, TISS, Machawa wa...
Bado haijajulikana sababu hasa ya Amos Makalla kumlilia Tundu Lissu, hasa ikizingatia kwamba hakuna hata mara moja Lissu amemzungumzia Makalla na huenda hata Hamfahamu.
Bali imejulikana kwamba...
Katika kuendeleza dhamira yake ya kuthamini na kuhimiza uzalishaji wa maudhui yenye ubora na tija mtandaoni, JamiiForums usiku wa leo, wakati wa hafla ya utoaji wa zawadi kwa washindi wa Shindano...
ZANZIBAR YASHINDA TUZO KUBWA YA UTALII DUNIANI KAMA ENEO BORA KWA MATUKIO BARANI AFRIKA 2024
Zanzibar imeendelea kujidhihirisha kuwa moja ya maeneo bora la utalii duniani baada ya kujinyakulia...
Ushiriki wa wanawake katika siasa kuanzia wakiwa wadogo ni hatua muhimu kuelekea kuleta usawa wa kijinsia katika uongozi na maamuzi.
Wanawake wanapohimizwa kujiingiza katika siasa tangu wakiwa...
Vyama vya Siasa sasa vijikite kwenye kampeni makini Ili tupate viongozi Bora na Siyo Bora viongozi
Sisi Wananchi tumeshakamilisha Wajibu wetu wa kujiandikisha tunasubiri Mtuuzie Sera Ili Tufanye...
Nipo katika halimashauri Moja huku bush nimeshuhudia harakati kubwa zinavyofanyika kwa mkakati maalumu
Kwanza kabisa sikuona mawakala wa upinzani Ila nimehisi Kuna mauzauza yanayopangwa kwa...
Leo nimeamshwa na ujumbe mfupi wa maneno kwenye kitochi nokia changu. Ujumbe kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM taifa na timu yake. Ujumbe ulionikumbusha:
Ndugu COMTE namba yako ya uanacham ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.