Wana Jf, wazima? Leo katika pita pita zangu, nilikuwa Kigamboni.
Unaambiwa usanii sio tu kwenye uandikishwaji kwenye daftari. Nimeongea na watu kadhaa pale Kigamboni, Kata ya Vijibweni wanasema...
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa, Amos Makalla akizungumza hayo leo Oktoba 22, 2024 wakati wa hafla ya kupokea taarifa ya zoezi la uandikishaji wa daftari la mkazi la uchaguzi wa...
Wakuu,
Hapa ni Bashungwa kwenye one & two akituonesha vile alivyo humble na kushirikiana vizuri na Watanzania wanyonge kwenye maisha ya kawaida, mpaka anawasaidia kupanda mshikaki, bila kuwa na...
BILIONI 11 ZIMETENGWA UJENZI SHULE 10 ZA MICHEZO
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo chini ya Makamu Mwenyekiti Mhe. Musa Sima imepokea na kujadili taarifa kuhusu maendeleo...
Leo mkijifanya mnasherehekea kwa mbwembwe na ukwasi mkubwa kumbukumbu ya mashujaa, nimekaa hapa na askari mstaafu wa JWTZ aliyeishia cheo cha Staff Sargent na alikatikia mguu akiwa vitani Uganda...
Wakuu katika pitapita zangu hii imenishangaza kidogo,
Hivi inawezekana wanafunzi wa form one kuwa wamefikisha umri wa miaka 18 hata kama mtoto alichelewa kuanza shule hivi inawezekana kweli...
1. Wa kwanza ni Mzee Emilio Mzena, huyu aliongoza mwaka 1961 hadi mwaka 1975. Ndiye Mkurugenzi wa TISS aliyeongoza idara hii kwa miaka mingi zaidi kuliko wengine (miaka 14).
Wengine ni kama...
Rais ni Comforter-in-Chief hatakiwi kuonyesha upendeleo kwa wananchi wake anaowaongoza kwa namna yeyote ile.
Hivi karibuni tumeanza kuona kujengeka kwa tabia ya Rais kutojali madhila ya watu...
Chadema wanataka mtu asiyekuwa na elimu ya form six kuendelea asichukue form ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wa serikali za mitaa
Lakini imekuwa tofauti kwa watesi wao kusoma na kuandika...
Wana JamiiForums, bila shaka wote ni wazima. Leo nimeleta mada hii kwenu, ninaomba tuijadili kwa logic kubwa , hasa wale wenye uwezo mkubwa wa kurisoni (critical thinker).
Mjadala huu itakuwa...
Wakuu,
Mambo hayo, angalia mwenyewe baadhi ya maeneo idadi ya watu walioandikishwa wamezidi idadi ya watu waliohesabiwa tena pakubwa! Mchengerwa safari hii lazima badamu bachuruzike!
Dar es...
Niwanasiasa pekee wanao weza kuturudishia Tanzania tuliyopewa na Mungu
Tanzania isiyokuwa na ukabila
Tanzania inayoheshimu Maharaja
Tanzania inayothamini haki za kuishi
Mwisho Tanzania...
Ukiacha ushabiki na mihemko ya uchawa ukweli ni kuwa spika ameshindwa kujibu moja kwa moja maswali aliyoulizwa badala yake aka[anoc na kuhemka na kuanza kunibu maswali kwa maswali badala ya...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Jimbo la Siha Mkoani Kilimanjaro, Imma Saro anadai katika ziara ya kuangalia majina yaliobandikwa aliyofanya amekuta Kitongoji chenye Makazi 101 kimeandikishwa Watu zaidi ya...
My Take
1.Utaamini chama ambacho kwanachaguana Kwa rushwa?
2.Utaamini chama ambacho kina viongozi wanaonunulika kama nyanya?
3.Utaamini chama ambacho hakina Sera?
4.Utaamini chama ambacho...
Morris Makoi, Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi Vijijini amefanya kile kilichowashinda wengi baada ya kufanikiwq kuisambaratisha ngome ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Nchi zetu zinazoendelea hususani barani Afrika kiongozi mkuu wa Nchi yaani Rais Wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu Anaweza leta nuru ama giza katika Taifa na mioyoni mwa...
Ni wazi sasa Tanzania ingekuwa mbali sana kama tungekuwa na vyama pinzani ambavyo ni 50/50 kuliko sasa nchi yetu iko chini ya udikteta wa walarushwa nawabinafsi wa CCM.
Tungekuwa mbele kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.