Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Usikubari kuwa taahira na zuzu amekuhonga elfu 10 umchague na baada ya uchaguzi ukienda ofisini anachukua elfu 2 kila unapoomba barua ya utambulisho mara ngapi unaenda kuchukua hizo barua ? hakuna...
3 Reactions
19 Replies
8K Views
Kada na kiongozi muandamizi wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa, ameshutumu vikali chama hicho kwa kushindwa kujiandaa kikamilifu kwa uchaguzi wa serikali za mitaa, vitongoji, na vijiji...
2 Reactions
2 Replies
314 Views
Kwa takwimu za Mchengerwa watu wote wenye umri wa kupiga kura 98% wameandikishwa ambao wengi wao ni vijana. CHADEMA huwa mnajinadi kuwa chama chenu kina hazina kubwa ya vijana mnataka Mungu awape...
4 Reactions
13 Replies
294 Views
Mradi wa DART umepewa mkurugenzi mpya ambaye ni Kindammba. Kwa utendaji wa Kindammba kama mkuu wa mkoa sidhani kama huyu ni kiongozi wa nafasi za kitaalamu kama makampuni. Najiuliza baraza la...
9 Reactions
58 Replies
5K Views
Nilitegemea Viongozi wa CHADEMA wangekuwa busy kujipanga na uchaguzi wa Serikali za Mitaa Kumbe nilikosea Sana wao wako busy kuzusha Uwongo Kwamba Kura za maoni CCM zinafeli kila Mtaa Hawa...
4 Reactions
24 Replies
777 Views
NA. MWANDISHI WETU- WINDHOEK Tanzania imetajwa kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kwa kuwa na Kituo cha Ufuatiliaji wa Mwenendo wa Majanga na Tahadhari ya Mapema (National Emergency Operation and...
0 Reactions
1 Replies
180 Views
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bara, Ester Thomas amesema ACT Wazalendo imejipanga vyema kuhakikisha wanachama wake waliotia nia kugombea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
0 Reactions
2 Replies
303 Views
𝐍𝐈𝐒𝐇𝐀𝐓𝐈 𝐒𝐀𝐅𝐈 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐊𝐈𝐀 𝐘𝐀𝐏𝐄𝐖𝐀 𝐒𝐇𝐀𝐕𝐔 𝐉𝐔𝐌𝐔𝐈𝐘𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐃𝐎𝐋𝐀 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amezitaka Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola kuwa...
0 Reactions
1 Replies
231 Views
Kila nikiangalia mapokezi makubwa ya wanasiasa wa upinzani na mikutano yao,asilimia kubwa ya wanaojitokeza huku wakiwa wamehamasilka ni vijana hali inayooshiria wataikataa vibaya CCM kwenye...
9 Reactions
37 Replies
2K Views
Kwa kifupi aliyoyafanya Rais Samia Suluhu ni mengi summary hii hapa! 1-Mapato ya TRA kuongezeka kutoka wastani wa 1.5T Hadi 3 T(ongezeko Trilioni 2) 2-Makusanyo ya Halmashauri kuongeza kutoka...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kimsingi zoezi la uandikishaji wa wapiga kura linapaswa kufanywa na kusimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi pekee na sio watendaji wa serkali za mitaa ambao wanawajibika moja kwa moja kwa watawala wa...
2 Reactions
2 Replies
276 Views
Nimeona Mkuu wa Mkoa amezindua ziara za usiku mzima, tena akiwa na watumishi wa umma wa kike na kiume. Ninachofahamu, muda wa mtumishi wa umma kuwa ofisini mwisho saa tisa na nusu. Sasa...
13 Reactions
40 Replies
2K Views
Ni jambo la kushangaza na kustua kidogo kuona chama kikuu cha upinzani kinàandaa maandamano ambayo wahudhuriaji wakubwa ni vijana lakini hatukuona mwenyekiti wa taifa wa baraza la vijana John...
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Visasi vya kisiasa mara nyingi huzaa malicious prosecution. Malicious prosecution huharibu maisha ya watu kwa kuvuruga maisha yao na hata nyadhifa zao. Mpaka sasa inaonekana prosecution...
4 Reactions
70 Replies
5K Views
Hii nchi zinaimbwa miradi kuchwa nzima kuanzia Madaraja,mara Barabara mara reli na kadhalika. Ila huko huko kwenye hizo Barabara, Madaraja, reli kuna umasikini wa kutisha kabisa, Kule Kigongo...
0 Reactions
5 Replies
255 Views
Mikol Philemon Sarungi Doctor educator government official physician Mikol Philemon Sarungi is a Tanzanian government official, physician, surgeon, medical educator. Background Mikol Philemon...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Kwani Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa na Wajumbe wake wanalipwa Mishahara au Posho zozote? Au kuna Dili gani huko bwashee Lucas Mwashambwa? Mlale Unono 😀
4 Reactions
12 Replies
581 Views
Kumekuwepo na Upotoshaji juu ya Madai ya Waislam Juu ya kipengere Cha dini katika Sensa Kwanza kabisa Serikali ya CCM ndio wanaoleta Udini Katika Nchi na Kuwagawa Watanzania: 1. Mtu...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Kwako Rais Wetu Mpenda. Nianze kwa kukupa pole na majukumu yako ya kila siku, pia nikushukru jinsi unavyoongoza nchi kwa amani na utulivu. Bila kuacha kukupongeza kwa unavyopambana na miradi ya...
15 Reactions
171 Replies
11K Views
Viongozi wa kimila (Machifu), jijini Mbeya, wameiomba Serikali kuweka program ya elimu ya fedha kuwa endelevu ili kuwawezesha wananchi wengi zaidi kupata uelewa na kutatua changamoto mbalimbali za...
3 Reactions
2 Replies
370 Views
Back
Top Bottom