Leo tujadili mchakato wa kupiga kura, kuhesabu kura, kutangaza matokeo na kutangaza mshindi ili tupate uelewa wa pamoja juu ya mchakato huo katika ukuaji na uimarikaji wa demokrasia ya nchi yetu...
Na Thabit Madai,Zanzibar
UONGOZI ni ushawishi, dhana na taaluma inayompa mtu madaraka ya kuongoza ili kuleta maendeleo katika eneo ambalo anataka kuliongozi, Juhudi za wanawake kuwa viongozi...
Hivi karibuni, Tume ya Kimataifa ya Kusuluhisha Migogoro ya Uwekezaji, ambayo ni sehemu ya Benki ya Dunia, imefunga usuluhishi dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tume hiyo imetoa adhabu...
Wakuu,
Hapa ni Spika Tulia kwenye one and two akituonesha alivyobobea kwenye kuchanya saruji na kupangilia tofali kama picha zinavyoonesha. Nakumbuka na msanii Kigwa alipoenda kula kwa mama...
Inachosha kusikia drama kila baada ya siku mbili mtu katekwa tena kiongozi akiwa kwenye kwenye kutekeleza majukumu ya chama.
Ina maana ni mchana kweupe,
Swali mtu huyo alikuwa hana ulinzi? wakati...
Salaam Wakuu,
Hapa chini ni maelezo kwa Ufupi ya Mbunge Luhaga Mpina aliyo yatoa kwenye mahojiano na Waandishi wa habari wiki hii Jijini Dar Es Salaam alipokuwa akitoka Mahakamani.
Pia alitoa...
Wanabodi,
Niko hapa ukumbi wa Karimjee, nikiwaletea live, kikao kazi cha Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, NEEC, na wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF. kuhusiana na mambo...
Balozi wa Marekani nchini ameongea Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi aka Sugu na kusema kipigo alichopata akiwa Kizuizini hakikubaliki na Marekani inalaani kwa nguvu zote...
Mbele ya mkutano wa CHADEMA
https://m.youtube.com/watch?v=9Bd3y35Fuho
Katika mkutano mkubwa uliofanyika Nkasi Rukwa na kuhudhuriwa na wananchi wengi huku wengine wamevaa sare rasmi za CHADEMA...
In Tanzania, we have often heard that agriculture is the backbone of our country, emphasized repeatedly by leaders, institutions, and policies. While agriculture plays a significant role in...
Imeelezwa kuwa kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan, na viongozi wengine wa CCM wa ngazi mbalimbali kujitokeza...
https://www.youtube.com/live/iqytGMZ2IcA?si=lDqC4sL9BZTHvY1J
Muhtasari wa matokeo ya uandikishaji
Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura. Hii ni sawa na asilimia...
Kutokana na Kazi kubwa anayofanya mchungaji Msigwa Kwa ajili ya Chama na jinsi anavyopendwa na Wananchi ni vema Kamati Kuu ikamteua kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi.
Makalla arithi nafasi iliyo...
Kada maarufu wa CCM na Askofu wa kanisa la Arise and Shine, Dr Boniface Mwamposa (Buldozer) leo amewahimiza waumini wake waende wakajiandikishe kwenye daftari la kupiga kura na kuwapigia kura...
Mheshimiwa Amiri Jeshi Mkuu:
Anayekushauri utumie mkono wa chuma anataka upoteze msingi wako asilia wa ushindi na usimame juu ya msingi usioujua.
Kwenye mapigano ya asili, naweza kuwa mpiganaji...
Mbunge wa sasa wa Rorya ndugu Jaffari Chege yuko kwenye wakati mgumu kisiasa kutokana na wananchi wengi wa Jimbo hilo kumkataa hadharani,hii inajidhihirisha wakati huu anapozunguka maeneo...
Wakuu,
Tunajua ili mambo yabadilike lazima tuoneshe panapovuja lakini pia kushiriki kwenye kuboresha sehemu hiyo kwa namna mbalimbali. Mfano unaona kiongozi hafai unashiriki kwenye uchaguzi...
Ukipewa nafasi ya uongozi iwe kwa kuchaguliwa, kuteuliwa au kwa kudra za Mwenyezi Mungu, inatoa nafasi nzuri na halisia ya watu unaowaongoza kukufahamu kiuhalisia wewe ni mtu wa namna gani. Nafasi...
Wasalaam ndugu wana JF!
Nisikuchoshe, usinichoshe, tusichoshane. Twende kwenye mada yetu moja kwa moja
Kwa wale waumini wa dini karibu zote duniani yaani ukristo, uislam, Uyahudi, Wabuddha...
Proffessor Assad akihojiwa amewahi sema alimpeleka dereva kwenda kufanya kazi masjala isiyoendana na proffession yake
Hayo yalikuwa matumizi mabaya ya madaraka na kinyume cha sheria za maadili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.