Kauli tata za viongozi wa CHADEMA zimeibua taharuki.
Kauli hizo zinaonesha hila za kisiasa na viashiria vya kuibua vurugu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025...
Imetokea Kasumba kana kwamba kila kitu anafanya Rais, Na hata wabunge wanamshukuru Rais kwa kuleta Miradi.., Wabunge hawa badala ya kuwa Wawakilishi wa Wananchi wamekuwa Wawakilishi wa Rais...
Tusizungukezunguke mkoa wa Tanga upewe Maua yake
Kuna tofauti Kubwa Kati ya Kuvuka Lengo na Kuvunja Rekodi
Tanga wamevuka lengo kwa kuandikisha 101.13%
Mikoa ya Pwani, DSM, Mwanza na Dodoma...
Hapa ndipo Tanzania ya Nyerere ilipofikishwa na Watukufu aliowaachia ambao wamejipa Uungu Mtu, Ngoja tuone Mwisho wao.
================
Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Aisha...
Nimemuona runingani Naibu Rais wa nchi Jirani akijifuta machozi huku akisema " sikujua kama Rais Naniliu yuko hivi"
Ndio nauliza kwa mfano Hapa CCM na Chadema Mgombea mwenza wa Rais...
Wakati yamebaki masaa kabla ya kukoma kwa zoezi la uandikishaji wapiga kura katika daftari la makazi kufikia ukomo leo Oktoba 20, Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga tarehe 19.10.2024...
Hili liwe angalizo kwa Watekaji na Wauaji na Viongozi wa Nchi ya Tanzania Wanaowatuma kuteka na kuua, Kwamba CHADEMA haitavunjika Moyo kutokana na Mauaji ya Mohamed Kibao, hizi mbinu za vitisho...
Mnamo tarehe 19 Novemba 2015, katibu mkuu mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na aliyekuwa mgombea urais, Dk. Willibrod Slaa, alitoa kauli kwamba “Chadema wanatekana,” akifichua...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Kiislam ya Iran zimesaini hati saba za makubaliano ili kukuza diplomasia ya uchumi baina ya mataifa hayo mawili.
Hafla ya kusaini hati hizo za...
Bahati Issa Suleimani, mwenye umri wa miaka 51 , mwenye watoto 6 alithubutu kuwania nafasi mbalimbali za uongozi, ikiwemo ya katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) katika mwaka 1995, na...
Ndugu zangu Watanzania,
Tuna mengi sana ya kujifunza katika tukio la kupigwa Risasi na Kujeruhiwa kwa Mheshimiwa Donald Trump,Rais Mstaafu wa Marekani na mgombea Urais kupitia chama cha...
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amesema, umewekwa utaratibu maalumu wa kuzuia udanganyifu katika uchaguzi ikiwamo mpiga kura mmoja...
Kwanza kabisa nianze kwa salam na kumshukuru Mungu kwa kuweza kutupa uhai pamoja na changamoto tunazo zipitia wananchi wa Tanzania.
Lakini pia naomba kukupongeza sana Mh. Mtatiro kwa kuteuliwa...
Kuibadili gesi asilia yetu kuwa mafuta ya petroli na dizeli kunaweza punguza gharama tunazotumia kuagiza mafuta hayo kutoka mataifa ya nje
Ni hivi wakuu,
Gesi asilia imeundwa kwa kampoundi...
Nimelazimika kurudi nyuma kwa vipindi tofauti Rais amesikika akitoa kauli tata mbele ya Umma bila kujua sisi ndio tunamlipia kila kitu kuanzia yeye mpaka wajukuu zake.
Hizi kauli zake zisiachwe...
Kwa utaratibu wa nchi yetu kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na zaidi ana kadi ya kupigia kura isipokuwa vijana ambao wangotimiza miaka 18 mwaka huu.
Tayari zoezi la uboreshaji wa daftari...
Kuna jambo la kushangaza ambalo limeshamiri sana kuanzia mwaka 2016, nalo ni mabango ya picha ya Rais kila mahali. Tabia hii haikuwahi kuonekana wakati wa utawala wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa wala...
Mohamed Omary Mchengerwa, Waziri wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo(Mb), ni moja ya Mawaziri vijana wanaohudumu katika Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluh Hassan...
Nimetafakari sana nimeona hii demokrasia tunayolazimishwa kuifuata inazidi kutudidimiza. Iko kinyume kabisa na shughuli za maendeleo. Mabeberu waliona mbali sana kwa kutuaminisha kuwa WENGI WAPE...
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeongeza muda wa kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa wakazi wa Kijiji cha Kikelelwa Kata ya Tarakea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.