Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
https://www.youtube.com/watch?v=kMc6CYfZzZE Nikifikiri kizazi cha watanzania wenye jeuri ya nchi yao kiliishia na Mwalimu Nyerere. Wakati wa Mwalimu, hakuna mwanasiasa wa nje ambaye alikuwa...
24 Reactions
142 Replies
3K Views
My Take Nilitarajia Nguvu kubwa iwekezwe kwenye Benki ya mbegu za asili za mazao mbalimbali ambazo ziko hatarini kutoweka na kuzibiresha hizo badala ya hizi za GMO. Ni vyema tukajua kama huu ndio...
8 Reactions
137 Replies
3K Views
Kuna rumours za wanamitandao na wanaharakati wanaodai kuwa Mohamed Mchengerwa aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Utawala Bora ni mkwe wa Rais, ameoa binti yake ambaye ni Mbunge viti maalum kutoka...
5 Reactions
126 Replies
26K Views
Mawakili 100, kwa walau shilingi million kumi kwa wakili, ni takribani bilioni moja. Mpina kazitoa wapi? Nani anamfadhili? Na kwa nini anasumbua viongozi na mambo yake, mpaka anawanyima muda wa...
9 Reactions
67 Replies
3K Views
Ninaikumbuka vema kauli ya mama Salma Kikwete kuwa nanukuu: " Mtoto wa mwenzio ni mtoto wako." Leo watoto wa wenzetu wameingia tatizo la kukosa mikopo ya elimu ya juu; tuwasaidie kama watoto wetu...
75 Reactions
386 Replies
114K Views
Mimi ni mtoto wa Polisi na mzee wangu alikuwa mkubwa sana kwa miaka mingi kwenye jeshi hili. Kuanzia IGP harun mahundi aondoke 1996 Polisi imegeuzwa genge la wahuni na mafia. IGP Mahita ndiye...
21 Reactions
91 Replies
8K Views
Huyu Ndiye Mohamed O. Mchengerwa Teuzi Mpya za Baraza la la Mawaziri zimemuibua kijana Mzalendo na Mchapakazi Mohamed Omar Mchengerwa. Mh.Mchengerwa ni Mbunge wa Rufiji toka 2015 akichukua nafasi...
29 Reactions
184 Replies
28K Views
Mhe. Mchengerwa leo amepelekwa wizara ya Maliasili kutoka Wizara ya Utamaduni, wala hatuna shida yoyote naye, lakini tunajiuliza ndani ya muda mfupi kuhamishwa wizara tatu tofauti maana yake nini...
19 Reactions
152 Replies
15K Views
Salaam, Shalom! Nchini petu tangu lini imewahi kutokea mtu akakamatwa live kwenye halaiki na watu walio na pingu kisha kumfunga mtu na kuondoka naye kisha kwenda kumuua na kumtupa vichakani...
26 Reactions
98 Replies
3K Views
Fuatilia live https://www.youtube.com/live/U8NqK_TVntc?si=C9W54zLUh1B9opJ2
2 Reactions
6 Replies
318 Views
Ratiba ya ccm ipo mkononi hapa inasema tarehe 21 na 22 mwezi huu wagombea kuchukua na kurudisha fomu. Tarehe 23 kupiga kura kwa wanachama katika matawi(kura za maoni) Tarehe 24 kamati ya siasa...
0 Reactions
3 Replies
461 Views
Kwa Dar es salaam Nina uhakika Vyama vya Upinzani havitapata Ushindi hata wa Mtaa mmoja Ujiji ACT Wazalendo wataambulia Mitaa miwili Mitatu halikadhalika Mbeya na Arusha CHADEMA wataambulia Mitaa...
0 Reactions
1 Replies
279 Views
Rais Samia Suluhu Hassan Aorodheshwa Kama Kiongozi Bora Afrika Mwaka 2023 Dar es Salaam, 15 Agosti 2024 – Rais Samia Suluhu Hassan ametambuliwa kama kiongozi bora Afrika kwa mwaka 2023 na gazeti...
9 Reactions
39 Replies
1K Views
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri...
42 Reactions
283 Replies
36K Views
Wanabodi, Kwanza anza na hii video https://youtu.be/kg56zhQjTOg?si=WL_ZQz4gr8fX1VV1 angalieni nchi za wenzetu,linganisha na kwetu, Dr Tulia wa IPU na Dr Tulia wa pale mjengoni kwetu, unaweza...
20 Reactions
137 Replies
3K Views
Mbowe na Lisu acheni ubabaishaji nendeni mkajiandikishe daftari la wapiga kura
1 Reactions
5 Replies
221 Views
Kennedy Mwamlima anasema alivyotekwa Mbeya mwezi April 2024, watekaji walimfunga pingu na kumvalisha mzula usoni ili asione lakini mzula huo ulikuwa unaangaza. Anadai gari hilo lilikuwa...
7 Reactions
14 Replies
581 Views
MLELE Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda ameshiriki zoezi la kujiandikisha kwenye orodha ya mpiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao...
1 Reactions
1 Replies
190 Views
Baada ya ziara yangu ya kichama kutoka Arusha hadi Mbeya kupitia Babati napendekeza majimbo ya uchaguzi ya Arusha mjini na Mbeya mjini yagawanye kutokana na wingi wa Wananchi na ukuaji mkubwa wa...
6 Reactions
65 Replies
2K Views
Ni wazi Uchaguzi mkuu 2025 Vita ya Kisiasa ndani ya CCM itakuwa kubwa sana zaidi ya ile ya 2025 Ushauri wangu Wanachama watakaoshindwa kifigisu kwenye Kura za maoni waruhusiwe kugombea Ubunge au...
1 Reactions
2 Replies
133 Views
Back
Top Bottom