Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nchi hii ifike mahali tuwe na chombo kinacho wasimamia hawa viongozi maana nikama wakisha kuwa na madaraka ya juu basi wapo overall, Haya ya kuendelea kuwaacha waongoze kwa utashi wao na sio...
0 Reactions
25 Replies
1K Views
The Continent TOLEO 178, OKTOBA 19 2024 Takwimu Serikali nyingi zinafanya vibaya katika kupambana na umaskini Kwa ajili ya Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Umaskini (17 Oktoba), hebu tuangalie...
0 Reactions
0 Replies
111 Views
Mhe. Jenista Mhagama, Waziri wa Afya, na Mbunge wa Jimbo la Peramiho, mkoani Ruvuma, Tanzania I. Usuli Kwa mujibu wa Dokezo la Kisera (Policy Brief) linalojadiliwa hapa, ninyi Waziri wa Afya...
2 Reactions
1 Replies
261 Views
Ushirikiano kati ya jinsia unahakikisha kwamba sera zinaundwa kwa mtazamo unaozingatia jinsia. Masuala kama haki za uzazi, malipo sawa, ukatili dhidi ya wanawake, na malezi ya familia yana...
0 Reactions
1 Replies
254 Views
Ni nani huwa anachapisha majina ya kupiga kura? Ni nani huwa anakusanya daftari la kuandikisha baada ya zoezi kuisha? Ni nani ambaye anahakiki majina ya waliojiandikisha? What l see in their...
7 Reactions
69 Replies
2K Views
Leo Oktoba 14, 2024 tunakumbuka kifo cha muasisi wa Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliyefariki siku na mwezi kama leo mwaka 1999 takribani miaka 25 sasa imepita Baada ya Tanzania kupata...
14 Reactions
83 Replies
2K Views
Mungu wewe unachukua majabali una chukua wanaume ambao kweli jando lao halikuwa la ganzi. Wanaume wenye misuli ya Imani na uwezo wakuona kesho kwa Imani na matendo. Kwa Tanzania Ulitupa Hayati...
71 Reactions
409 Replies
14K Views
Ushauri wangu kwa Viongozi wa juu fanyeni juu chini mpeleke pesa ngazi za chini za chama za Mitaa na kata huko ndiko kuna kazi kubwa na zinahitaji pesa sana. Hizo nguvu za juu mzilete chini...
0 Reactions
2 Replies
186 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza tarehe 18 Oktoba, 2024 Amejiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Kiwanda...
1 Reactions
16 Replies
475 Views
Kwa masikitiko makubwa, nashangaa kuona eti maisha na uhai wa watu unaweza kukatishwa kwa sababu zinazoitwa ni Siasa! Ni ujasiri uliopita kiwango cha Rehema za Mungu, mtu anapoamua kumdhuru mtu...
1 Reactions
5 Replies
266 Views
Wakuu salam, Msikilizeni Gambo hapa, eti hii ilikuwa siri baina yao, lakini Lema kasababisha hadi Gambo kaitoa nje!
0 Reactions
27 Replies
1K Views
Kwa kadri nilivyofuatilia Mchakato wa kumng'oa Naibu Rais wa Kenya nimejifunza kwamba tuna kazi kubwa sana ya kufanya ili kupata katiba inayolinda maslahi ya wananchi. Yaani hapa kwetu ukiwa wewe...
19 Reactions
115 Replies
3K Views
Nimekaa na kuwaza... Hivi kweli haiwezekani tukaleta mapinduzi kwenye mfumo wa kupiga kura hapa Tanzania? Tunajua jinsi uchaguzi unavyochukua muda mwingi, foleni zisizoisha, watu wanaokata tamaa...
0 Reactions
12 Replies
541 Views
Iran na makundi yake iliyoyapandikiza ndani ya nchi za kiarabu, serikali za nchi za kiarabu, inayatambua kuwa ni makundi ya kigaidi yaliyopandikizwa nchini mwao ili kuzidhoofisha serikali za nchi...
0 Reactions
1 Replies
300 Views
Mashabiki wa mpira wa miguu waliamua kutumia mabango mbalimbali wakati wa mchezo wa Simba na Yanga kupata picha za ukumbusho nje ya Uwanja wa Benjamini Mkapa ambazo zimetumika pia kutangaza...
1 Reactions
4 Replies
421 Views
SUMA FYANDOMO ATUA MBEYA VIJIJINI KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA "Tujiandikishe ili tuweze kumchagua kiongozi ambaye kila mtu anaona anafaa, kila mtu anayo hiari ya kuchagua Kiongozi ambaye...
0 Reactions
3 Replies
269 Views
Aliyekuwa Mbunge kwa tiketi ya CCM (2010 - 2015) Hasnain Murji awahimiza wananchi Mtwara kushiriki kwa kujiandikisha katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024. Hasnain aliyasema hayo mara baada...
0 Reactions
0 Replies
400 Views
UVCCM MOROGORO WAHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji Mkoa wa Morogoro (UVCCM) wametembelea Wilaya zote za Mkoa wa...
0 Reactions
0 Replies
223 Views
Wakuu, Ila CCM bana, sasa hili nalo ni jambo la kuita media na kuanza kubwabwaja? Mko na ujinga mwingi! Haya, wacha tuendelee kuangalia maigizo. "Lema mwenyewe amejiandikisha jana na makelel...
1 Reactions
3 Replies
395 Views
Naenda kwenye hoja moja kwa moja. Kwa kutambua mchango wa viongozi wa CCM wote ngazi ya kata nchini Mwenyekiti wa CCM taifa ametoa pikipiki kwa Makatibu CCM Kata na jumuiya zake. Ili wagawiwe...
2 Reactions
8 Replies
700 Views
Back
Top Bottom